Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,686
- 10,087
- Thread starter
- #21
Huu uzi unazungumzia Tanzania sio china.Nioneshe mke wa Putin au Modi China juzi ?
Huu uzi unazungumzia Tanzania sio china.Nioneshe mke wa Putin au Modi China juzi ?
Hatari kubwa sana hii.Wanawake wote wakipata pesa ndio wapogo hivyo,kimsingi wanawake c watu
Unazungumzia viongoziHuu uzi unazungumzia Tanzania sio china.
Pole sana.Nilioa mke wangu hakuwa na kazi ya maana,mimi ndio nilimlisha kwa Kila kitu,alipotapa kazi anaanza kuradharu na kazi yangu,Sasa na mimi nataka kumfundisha somo moja kubwa
Ngoja waje.Si humu huwa mnajua kupondea singo mazas, na wasimbe sasa nchi inaongozwa na msimbe na mmetulia tuliii
UmeelewekaMafanikio ya mwanamke huwa ni yake na wanawe lakin mafanikio ya mwanaume huwa ya familia nzima.
Kumbuka pia wanawake wenye mafanikio kuliko waume zao wengi huona aibu kuambatana na waume zao .
Kwa upande mwingine mwanaume pia si vizuri kutembelea nyota ya mkeo.
Ni sahihi. Tunataka tumuone "First Gentleman wetu"JPM kuna maneno ya chini kwamba alikuwa ana mgogoro na wife wake, lakini baada ya kuwa rais ikabidi wife wake apelekwe jumba jeupe chap...
Kwa Mkapa pia ilikuwa hivyo...
Mkuu umeuliza swali la msingi sana..
Kwa hilo umekosea mkuu. Hakuna faragha kwa Public figure na kiongozi mkuu wa nchi. Huo ni muongozo na taratibu.Kama unajibu kejel kuzan mm ni chawa unakosea, lakn kuhusu kuingilia faragha za watu huo ni ushoga maana hakuna sehemu ilipoandikwa lazma atembee nae na hakuna anaejua kama hatembei nae pia
Hao walioonesha wake zao walisaidia nini nchi? Ukionesha mke/mume ndio utatuhakikishia uongozi bora au uhakika wa maendeleo
desturi na mila zetuUadi
Uadilifu ktk jamii
Hebu niambie hao ambao tumeona wake zao wameonesha uadilifu gani? Si ndio watu wanashinda humu kuwatukana/kuwalaumu?Uadi
Uadilifu ktk jamii
Naaam.Uadi
Uadilifu ktk jamii
Nioneshe mke wa Putin au Modi China juzi ?
Balaa juu ya balaa.![]()
Putin kabla ya kauchana na mkewe walishaonekana mara kadhaa mara moja kwenye ikulu na ziara baadhi pale Russia, 2013 walipoachana Putin alitangaza kwa taifa lake hali halisi kwamba yeye na mkewe wameachana.
Sasa huku kwenu mambo ni hovyo hovyo haijulikani kipi ni kipi... mnabaki kujiuliza kulikoni?