Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

Nimekupa price range zote, Hata dar ukienda Supermarket mtama haufiki hio bei.

Nitafutie hata site ya vichochoroni inayoonesha Cost of living ya Botswana ni ndogo.
Hakuna mtama unaouzwa supermarket Dar, mtama unauzwa masokoni huko Tandika n.k
 
Kama sio husda chuki na wivu vinakusumbua , ulichosema ni uwongo mkubwa kwani diaspora wa Burkina wote wapo pamoja na traore ingia club house tafuta group la bukinabe diaspora usikilize.
Sasa wewe ndio umezidi kuthibitisha nilichokisema hapo kwenye comment yangu.

Hii comment yako imekuonesha vile ulivyo mjinga tena mjinga wa mwisho kabisa.

Hivi hujaelewa hapo nilivyosema asilimia kubwa ya diaspora wa kiafrika huwa mnazichukia sana serikali zenu mkishafika huko kwa mabeberu? Na mnazichukia kwa sababu zile zile ambazo mabeberu wanazitumia kuchukia serikali za kiafrika?

Hao diaspora wa burknabe huko club house si ni wajinga wenzenu tu ambao ni wasaliti wakubwa na wameungana na mabeberu kueneza chuki dhidi ya Traore? Si ndio hao hao ambao waliandamana huko Ufaransa eti wanapinga utawala wa kidikteta wa Traore? Wapumbavu wale.

Halafu kingine mimi naanzaje kukuonea wivu wewe na wakati huko ulipo unaishi kama second class individual? Yaan wewe mmatumbi ukipanda lift kwa wakati mmoja na mzungu huyo mzungu anakuwa makini na wewe kuliko kawaida, yaan kama ni wallet anaishikilia kwa nguvu, kama ni begi analiweka mbele aliweki mgongoni... yote hiyo ni kwa sababu anakuona wewe una tabia za kinyani na wizi ni asili yako sababu ya rangi ya ngozi yako, na umakini huo hawezi kuwa nao pale anapokuwa na watu wa races zingine... sasa ndio eti mimi nikuone wivu mtu unayeishi maisha kama hayo?
 
Natumaini haujasoma comment yangu vizuri ukaielewa naomba urudie tena
 
Pia madai yako ya aya ya mwisho umekariri au umepotoshwa
 
Kwahiyo mjinga mwenzio anayejiita Simpy madiwani ndio umemuona hapo ameandika kitu cha maana hadi ukaone uje utupostie hiyo screenshot yake?

Eti "primitive marxist authoritarian regime" sasa kama hiyo authoritarian regime imeleta significant impacts kwenye maisha ya watu kuliko hizo democratic regimes kwani watu wasiipende hiyo authoritarian regime?

Honestly, waafrika wa aina yako na huyo jamaa uliyeleta screenshot yake mnastahili KUFA hili bara letu lisonge mbele, maana watu wa aina yako ni adui namba moja wa bara hili. Hamkawii kushirikiana na hao mabwanyenye kumpoteza kiongozi aina ya Traore mkipata nafasi.
 
Natumaini haujasoma comment yangu vizuri ukaielewa naomba urudie tena
Nimeilewa vizuri sana kwani ulivyoandika

"kwani diaspora wa Burkina wote wapo pamoja na traore ingia club house tafuta group la bukinabe diaspora usikilize."

Wewe uliandika hii comment baada ya kutonielewa mimi nilichokisema, na mimi nikaona nicomment kuhusiana na comment yako japo haina uhusiano wowote wa kimantiki na comment yangu mimi.

Ni kweli sio madiaspora wote wanamsapoti Traore na sababu ziko wazj kabisa, ambazo ziko wazi kabisa nimeshazielezea hapo kwenye comment yangu.
 
Hakuna mtama unaouzwa supermarket Dar, mtama unauzwa masokoni huko Tandika n.k
We jamaa mshamba sana, Either sio Mtanzania ama hujawahi fanya hata shopping masoko Makubwa ya Tanzania.

Mazao yote unayoyaona Nchi hii yapo Supermarket na masoko mengine makubwa yanayo target watu wenye vipato vikubwa, sababu yanatarget watu wenye vipato vikubwa huwa wanachagua quality kubwa, Kama ni Mchele utatolewa Chuya, watahakikisha chenga chenga zinatolewa inakuwa pisi moja moja nzima etc.

Sio tu mtama hadi mchicha, tembele, sukuma wiki linauzwa Super market.
 
Nimeilewa vizuri sana kwani ulivyoandika

"kwani diaspora wa Burkina wote wapo pamoja na traore ingia club house tafuta group la bukinabe diaspora usikilize."

Wewe uliandika hii comment baada ya kutonielewa mimi nilichokisema, na mimi nikaona nicomment kuhusiana na comment yako japo haina uhusiano wowote wa kimantiki na comment yangu mimi.

Ni kweli sio madiaspora wote wanamsapoti Traore na sababu ziko wazj kabisa, ambazo ziko wazi kabisa nimeshazielezea hapo kwenye comment yangu.
Namaanisha wote wanaumuunga mkono traore nimekosea kumradhi
 
Wasikupe shida hao wapumbavu, kikawaida waafrika wakishavuka boda na kubahatika kuishi kwenye developed countries hasa Marekani baada ya muda wanaanza kujiona na wao ni wamarekani kuliko hata wamarekani wenyewe, utakuta wanaadapt kwanzia culture,style ya maisha yaan mpaka lafudhi ya kuonge eti na wenyewe wanaanza kuongea black english kama ya akina Lil wayne.

Na wanaenda mbali zaidi eti chochote anachokichukia mmarekani basi na wenyewe wanakichukia hata kama ni mataifa waliyotoka, na ndio maana wahamiaji weusi hasa kutoka afrika ndio wanaoadharauliwa sana huko US sababu ni wajinga hakuna anayewaheshimu kama nasema waje wenyewe wakanushe hapa, black/african immigrants are the lowest class and most disrespected group of immigrants in America, they can come here and refute this claim.

Hivyo basi usishangae kabisa kuona hao akina Nyani ngabu,kiranga na wabeba box wengine wakimchukia Traore sababu yeye mwenyewe tayari ni adui wa marekani na pia ni mshirika mzuri wa Russia(ambaye ni adui mkubwa wa marekani).

Hao pro-west huwa wanaona viongozi mafisadi wa kiafrika wanaoingia madarakani kwa demokrasia ya kiini macho ni bora kuliko kiongozi mchapakazi aliyepata madaraka kwa mapindizi kama Traore, yaani wao uongozi bora ni lazima upatikane kwa zile danganya toto za kidemokrasia.. wapumbavu kweli hawa Yoda na wenzie wakafie na demokrasia yao ambayo imeshindwa kuleta impacts zozote za maana kwenye bara hili tangu uhuru.
Ngoja nikufundishe kidogo:
Kila moja ana haki ya kuamua upande gani aunge mkono na kwa mantiki hiyo ndio maana wengine wanaunga mkono upande wa Marekani sawa na wewe anavyoifagilia Russia na hakuna aliye kupinga.

Pili elewa kwamba mataifa ya kiafrika yaliachana na fikra za kuwa na serikali za kidemokrasia punde tu baada ya kupata uhuru na ndio hakuna kabisa maendeleo yaliyopatikana kwa kufuata hiyo mifumo ya kidikteta.

Hii mifumo ya kidemokrasia imeanza tu kwenye miaka ya tisini baada ya kusambaratika kwa zile zilizokuwa tawala za kikomunisti za Ulaya mashariki ikiwemo na USSR.

PLEASE BE INFORMED ACCORDINGLY.
 
Mzuka wana jamvi ??

Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana.

Tukianza na Hawa ;

Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake uchwara vingi kumsema Kamanda wetu.

MK254 ; huyu anampiga vita sana humu Mwamba Putin , operation ya Russia Ukraine pamoja na kusapoti Marekani nae amefuata mkumbo katika kumsema Kamanda wetu.

Nyani Ngabu ; huyu ni Mmatumbi mwenzetu lakini anajikuta Mmarekani na kuwa DieHard chawa wa USA na yeye anaendeleza kampeni chafu dhidi yake

Exception

Maghayo The Mongolian Savage ; hili ni chawa la kutupwa la Netanyahu na USA lakini kwa hili la Ibrahim Traore nampongeza kusimama kidete kutetereka Umatumbi na kumsapoti Kamanda wetu mzalendo.

My Take

Captain Ibrahim Traore hajalipa mtu am promote wala awe chawa wake bali kazi na misimamo yake inajiuza ndio maana amekuwa trending Duniani haswa Afrika na kupendwa na vijana wengi , sasa Pro_West kama mmekosa mada achaneni na propaganda dhidi ya Kamanda wetu kazi zipo nyingi hata Magimbi mnaweza mkalima na kuwa mmefanya la maanaView attachment 3333329

#Nyau de adriz
Wee uumbwaa adriz Mimi simchukii.

Nyau de adriz
 
Ngoja tumuulize Nyani Ngabu anaweza kutusaidia.
 
Kwahiyo mjinga mwenzio anayejiita Simpy madiwani ndio umemuona hapo ameandika kitu cha maana hadi ukaone uje utupostie hiyo screenshot yake?

Eti "primitive marxist authoritarian regime" sasa kama hiyo authoritarian regime imeleta significant impacts kwenye maisha ya watu kuliko hizo democratic regimes kwani watu wasiipende hiyo authoritarian regime?

Honestly, waafrika wa aina yako na huyo jamaa uliyeleta screenshot yake mnastahili KUFA hili bara letu lisonge mbele, maana watu wa aina yako ni adui namba moja wa bara hili. Hamkawii kushirikiana na hao mabwanyenye kumpoteza kiongozi aina ya Traore mkipata nafasi.
Nionyeshe nchi yoyote duniani iliyoendelea chini ya utawala wa primitive marxist regime nikuonyeshe kuku anayenyonyesha.
 
Ni nadra Sana kupata Viongozi wazuri ndani a Afrika.
Sababu baadhi za kukosa Viongozi wazuri ni . ..
1. Uwezo duni wa kufikiri kwa ujumla
2. Malezi duni yanayodumaza potentiality ya hata wale wenye uwezo mzuri.
3. Influence duni pia.

Sasa Ibrahim traore ni miongoni mwa Viongozi wa Afrika ambao wengi wao Wana matatizo mengi miongoni mwapi ndo hayo nimeyataja.

Sasa ni ngum kumwamini kiongozi yoyote wa kiafrika kichwa kichwa lazima uwe makini.

Watu kama museven, magufuli, P. L. O wa congo, sadam Hussein, na wengine wote hata akina mkapa.

Ni ngum kufaham ule u extrimist wao ni sabab ya uzalendo au vipi.

So ivo tu. Sio anachukiaa Ila haaminiki. Au hajaeleweka bado.
 
Back
Top Bottom