Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

Wasikupe shida hao wapumbavu, kikawaida waafrika wakishavuka boda na kubahatika kuishi kwenye developed countries hasa Marekani baada ya muda wanaanza kujiona na wao ni wamarekani kuliko hata wamarekani wenyewe, utakuta wanaadapt kwanzia culture,style ya maisha yaan mpaka lafudhi ya kuonge eti na wenyewe wanaanza kuongea black english kama ya akina Lil wayne.

Na wanaenda mbali zaidi eti chochote anachokichukia mmarekani basi na wenyewe wanakichukia hata kama ni mataifa waliyotoka, na ndio maana wahamiaji weusi hasa kutoka afrika ndio wanaoadharauliwa sana huko US sababu ni wajinga hakuna anayewaheshimu kama nasema waje wenyewe wakanushe hapa, black/african immigrants are the lowest class and most disrespected group of immigrants in America, they can come here and refute this claim.

Hivyo basi usishangae kabisa kuona hao akina Nyani ngabu,kiranga na wabeba box wengine wakimchukia Traore sababu yeye mwenyewe tayari ni adui wa marekani na pia ni mshirika mzuri wa Russia(ambaye ni adui mkubwa wa marekani).

Hao pro-west huwa wanaona viongozi mafisadi wa kiafrika wanaoingia madarakani kwa demokrasia ya kiini macho ni bora kuliko kiongozi mchapakazi aliyepata madaraka kwa mapindizi kama Traore, yaani wao uongozi bora ni lazima upatikane kwa zile danganya toto za kidemokrasia.. wapumbavu kweli hawa Yoda na wenzie wakafie na demokrasia yao ambayo imeshindwa kuleta impacts zozote za maana kwenye bara hili tangu uhuru.
Igweeeeeeeee 😹😹
Huu ukweli mchungu, haya min -me ita wahamiaji haramu wenzio mna ujumbe wenu huku..!! 🤣
 
1745427447461.jpg
 
Huyu kijana mwanajeshi ana impose tawala mpya afrika, naam tawala za kijeshi baada ya tawala za kidemokrasia kuwa za abrakadabra tu, ila anachemka kuegemea kwa kina putin na kim. Hao eastern ni walafi kama western tu
Ukipigana na Zimwi mmoja lazima kwa mbali uwe na Zimwi jingine; (the devil you know) hii itakusaidia yule mwingine asikudhuru (politics needs calculations);

Hili lilitokea kwa IRAN alivyojaribu ku Nationalize mafuta yao
The 1953 Iranian coup d'état, known in Iran as the 28 Mordad coup d'état (Persian: کودتای ۲۸ مرداد), was the overthrow of Prime Minister Mohammad Mosaddegh on 19 August 1953. Led by the Iranian army and supported by the United States and the United Kingdom, the coup aimed at strengthening the autocratic rule of the shah Mohammad Reza Pahlavi. A key motive was to protect British oil interests in Iran after its government refused to concede to western oil demands

Kwa kujua hilo Saddam Hussein alifanya hilo hilo ila kwa kuwa na support ya Russia na French; Kwahio the good Leader ni kuangalia Opportunity Costs.... na Pros and Cons za different strategies
 
Wasikupe shida hao wapumbavu, kikawaida waafrika wakishavuka boda na kubahatika kuishi kwenye developed countries hasa Marekani baada ya muda wanaanza kujiona na wao ni wamarekani kuliko hata wamarekani wenyewe, utakuta wanaadapt kwanzia culture,style ya maisha yaan mpaka lafudhi ya kuonge eti na wenyewe wanaanza kuongea black english kama ya akina Lil wayne.

Na wanaenda mbali zaidi eti chochote anachokichukia mmarekani basi na wenyewe wanakichukia hata kama ni mataifa waliyotoka, na ndio maana wahamiaji weusi hasa kutoka afrika ndio wanaoadharauliwa sana huko US sababu ni wajinga hakuna anayewaheshimu kama nasema waje wenyewe wakanushe hapa, black/african immigrants are the lowest class and most disrespected group of immigrants in America, they can come here and refute this claim.

Hivyo basi usishangae kabisa kuona hao akina Nyani ngabu,kiranga na wabeba box wengine wakimchukia Traore sababu yeye mwenyewe tayari ni adui wa marekani na pia ni mshirika mzuri wa Russia(ambaye ni adui mkubwa wa marekani).

Hao pro-west huwa wanaona viongozi mafisadi wa kiafrika wanaoingia madarakani kwa demokrasia ya kiini macho ni bora kuliko kiongozi mchapakazi aliyepata madaraka kwa mapindizi kama Traore, yaani wao uongozi bora ni lazima upatikane kwa zile danganya toto za kidemokrasia.. wapumbavu kweli hawa Yoda na wenzie wakafie na demokrasia yao ambayo imeshindwa kuleta impacts zozote za maana kwenye bara hili tangu uhuru.
Kama sio husda chuki na wivu vinakusumbua , ulichosema ni uwongo mkubwa kwani diaspora wa Burkina wote wapo pamoja na traore ingia club house tafuta group la bukinabe diaspora usikilize.
 
Moja ya tatizo kubwa la siasa za watu masikini wasio na elimu ni siasa za kujadili watu badala ya kujadili sera.

Watu hawa wana tatizo la kutoweza kufanya fikra dhahania, abstract thinking.

Hawawezi ku conceptualize dhana bila kuweka jina la mtu.

Katika siasa za kuangalia watu badala ya dhana, wanapigwa kwa mazingaombwe mengi sana na hadaa za kisiasa. Wanakuwa kama watoto wanaopigwa katika mchezo wa karata tatu, nyekundu hapa, nyeupe hapa. Wanapigwa.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika mkutano wake na waandishi wa habari Kilimanjaro Hotel mwaka 1995, alienda kuongelea sifa anazotakiwa kuwa nazo rais wa Tanzania. Wakati huo Augustin Mrema alikuwa anavuma sana. Kuna waandishi walimtaka amuongelee Mrema.

Nyerere akasema kama waandishi wale walifikiri amekuja pale kujadili watu, atafunga virago vyake na kurudi nyumbani. Alisema hakuenda pale kujadili majina ya watu. Alienda pale kujadili sifa ambazo mtu anayefaa kuwa rais anatakiwa kuwa nazo.

Mwalimu Nyerere alielewa fikra dhahania, abstract thinking, he was meta. Aliongelea sifa za rais bora, si jina la rais bora. Aliepuka tatizo la Waafrika wengi la kujadili majina badala ya dhana.

Naona somo alilolitoa Nyerere mpaka leo bado halijaeleweka. Watu bado wanajadili majina badala ya sera na abstract concepts.

Hiki ndicho kinachotokea hapa.
 
Moja ya tatizo kubwa la siasa za watu masikini wasio na elimu ni siasa za kujadili watu badala ya kujadili sera.

Watu hawa wana tatizo la kufanya fikra dhahania, abstract thinking.

Hawawezi ku conceptualize dhana bila kuweka jina la mtu.

Katika siasa za kuangalia watu badala ya dhana, wanapigwa kwa mazingaombwe mengi sana.

Mkuu, nje ya mada. Hivi kwa nini Mwl. Nyerere hakuwa muumini mkubwa wa demokrasia?
 
Moja ya tatizo kubwa la siasa za watu masikini wasio na elimu ni siasa za kujadili watu badala ya kujadili sera.

Watu hawa wana tatizo la kutoweza kufanya fikra dhahania, abstract thinking.

Hawawezi ku conceptualize dhana bila kuweka jina la mtu.

Katika siasa za kuangalia watu badala ya dhana, wanapigwa kwa mazingaombwe mengi sana.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika mkutano wake na waandishi wa habari Kilimanjaro Hotel mwaka 1995, alienda kuongelea sifa anazotakiwa kuwa nazo rais wa Tanzania. Wakati huo Augustin Mrema alikuwa anavuma sana. Kuna waandishi walimtaka amuongelee Mrema.

Nyerere akasema kama waandishi wale walifikiri amekuja pale kujadili watu, atafunga virago vyake na kurudi nyumbani. Alisema hakuenda pale kujadili majina ya watu. Alienda pale kujadili sifa ambazo mtu anayefaa kuwa rais anatakiwa kuwa nazo.

Mwalimu Nyerere alielewa fikra dhahania, abstract thinking, he was meta. Aliongelea sifa za rais bora, si jina la rais bora. Aliepuka tatizo la Waafrika wengi la kujadili majina badala ya dhana.

Naona somo alilolitoa Nyerere mpaka leo bado halijaeleweka. Watu bado wanajadili majina badala ya sera na abstract concepts.

Hiki ndicho kinachotokea hapa.
Uzi ufungwe ,comments za mtu mwenye akili timamu hata haupati shida kuzitambua.
 
Kwasababu waliitwa chumbani kupewa kodi wakaingia
 
Tupe data za nchi nyingine za Africa KWA kigezo cha upper income
Role model ni Algeria, Gini coefficient yao ni on par na nchi za ulaya, na poverty rate ni kama asilimia 1.5, asilimia 6 ya Algeria wanaishi chini ya Dola 15 kwa siku.

images (2).png

In short nchi za south Africa zote income inequality ni kubwa, sisi Africa Mashariki tupo kati na kati, nchi za Africa Mashariki ya juu, North Africa, Sahel na baadhi ya West Africa zipo vizuri, halafu kuna na Algeria ambao wapo vyema kushinda wote.
 
Kuna maelfu ya raia wa Zimbabwe huko Botswana, Botswana ni mojawapo ya nchi zinazoongoza kuvutia madaktari kuhamia kutoka nchi nyingine za Africa.
Sawa ila daktari si low income, anaenda kufanya kazi kwenye hio High income circle. Hakuna mtu anakataa Botswana haina matajiri, mada ninayo present hapa ina masikini, Asilimia kama 60 ya Nchi wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa, wa juu wanamiliki utajiri mkubwa sana na wa chini wana umasikini mkubwa sana.
 
Screenshot_20250514-141540_Google.jpg

Kama TZS 18,000($6.85) kwa siku ni umasikini wa kutupwa basi Watanzania wengi watakuwa wanaishi Jehanamu na wangetamani kuwa Botswana ilipofikia.
 
Sawa ila daktari si low income, anaenda kufanya kazi kwenye hio High income circle. Hakuna mtu anakataa Botswana haina matajiri, mada ninayo present hapa ina masikini, Asilimia kama 60 ya Nchi wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa, wa juu wanamiliki utajiri mkubwa sana na wa chini wana umasikini mkubwa sana.
Wewe jamaa uchumi unaujua mimi kila nikipita hapo Botswana ukitokea Gaborone mpaka Nata watu wanaomba lift sio mchezo hata Tanzania hiyo haipo imepelekea wengine wanajiuza kwa madereva wa magari makubwa kisa lift tu ila njoo kwenye makaratasi uanvyoona sio unavyosikia wengi ya wasiosafiri wakisema kuhusu Botswana nawakubalia ili muda uende tu ila ni Nchi ambayo watu wake wengi wanapata tabu kuliko maelezo..
 
Back
Top Bottom