Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,721
- 54,654
Mnaheshimiana sana na USB😂Tutapigwa ujue ohh 😹😹😹
Mnaheshimiana sana na USB😂Tutapigwa ujue ohh 😹😹😹
😹😹😹 Eti USB ujue mwanzo nilihisi typing error halafu nikaja kushtukia mchezo umeweka code mwenyewe..!! 🤣Mnaheshimiana sana na USB😂
🤣🤣🤣🤣Nakupendeaga hapo tu kichwa chako kipo sharp kwenda na code😹😹😹 Eti USB ujue mwanzo nilihisi typing error halafu nikaja kushtukia mchezo umeweka code mwenyewe..!! 🤣
😹😹😹 Tunakoelekea tutapigwa sis mi sina nguvu ujue ni kamdomo tu namiliki..!!🤣🤣🤣🤣Nakupendeaga hapo tu kichwa chako kipo sharp kwenda na code
Basi tufunge mdomo...🤣😹😹😹 Tunakoelekea tutapigwa sis mi sina nguvu ujue ni kamdomo tu namiliki..!!
Kwani hiyo "primitive marxist regime" ikoje? Au ni kipi ambacho haiwezi kufanya?Nionyeshe nchi yoyote duniani iliyoendelea chini ya utawala wa primitive marxist regime nikuonyeshe kuku anayenyonyesha.
Kwa hiyo hapa ndio umenifundisha nini sasa na wewe naye? Kwamba mimi sijui kila mtu ana uhuru wa kuchagua upande/mlengo wa kisiasa anaona unamfaa kwa sababu zake au?Ngoja nikufundishe kidogo:
Kila moja ana haki ya kuamua upande gani aunge mkono na kwa mantiki hiyo ndio maana wengine wanaunga mkono upande wa Marekani sawa na wewe anavyoifagilia Russia na hakuna aliye kupinga.
Pili elewa kwamba mataifa ya kiafrika yaliachana na fikra za kuwa na serikali za kidemokrasia punde tu baada ya kupata uhuru na ndio hakuna kabisa maendeleo yaliyopatikana kwa kufuata hiyo mifumo ya kidikteta.
Hii mifumo ya kidemokrasia imeanza tu kwenye miaka ya tisini baada ya kusambaratika kwa zile zilizokuwa tawala za kikomunisti za Ulaya mashariki ikiwemo na USSR.
PLEASE BE INFORMED ACCORDINGLY.
Afrika kuna demokrasia gani wakati watawala wanawatia raia wao ufukara kila siku na ndio bara lenye watu maskini kuliko mabara yote duniani.Kwa hiyo hapa ndio umenifundisha nini sasa na wewe naye? Kwamba mimi sijui kila mtu ana uhuru wa kuchagua upande/mlengo wa kisiasa anaona unamfaa kwa sababu zake au?
Wewe bhana fahamu kuwa tunachokiongelea hapa na kutugadhabisha ni hao kenge wa pro-west wanavyoonesha chuki za wazi wazi kwa Traore huku wakitutukana mpaka sisi wafuasi wake kwamba hatuna akili sijui tunapenda tawala zinazoendekeza ujima.
Sasa kama ambavyo wao wanatumia uhuru wao kututukana sisi na Traore, hivyo hivyo na sisi tuna uhuru wa kuwatukana mashoga wakubwa wafirwaji hao ambao wanaamini hili na akili lazima upende hizo demokrasia uchwara ambazo hazijawahi kuletea impact yoyote ya maana hapa afrika.
Umenielewa hata comment yangu kweli wewe???Afrika kuna demokrasia gani wakati watawala wanawatia raia wao ufukara kila siku na ndio bara lenye watu maskini kuliko mabara yote duniani.