Kahtaan
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI

Meriam Webster dictionary imeandika seminary ni "1 : a private school at or above the high school level, 2 : a school for the training of priests, ministers, or rabbis." Sasa za wakatoliki nia yake ni hii ya pili. Angezitaifisha mapadre etc wangefundishiwa wapi?. Kwa maana ya kwanza ndio zile shule nyingi ambazo zilitaifishwa kama St. Francis College Pugu (Sasa ni Pugu Secondary School). Kufundisha mapadre sio jukumu la serikali (kwa tanzania) hivyo hakuna mantiki ya kutaifisha seminary unless kama nia ni kuuwa hizi dini.
Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI
Kibasila sec ilikuwa chini ya katoliki ikiitwa St. Fransis Xavier. Sasa ni ya serikali. Fanya tafiti kidogo kabla ya kurusha thread!
tosamaganga iringa ilitaifishwamoja ya nguzo za azimio la arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya uchumi ikiwamo mabenki, mashirika ya bima, vyuo & shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha shule za seminari za kanisa katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa katoliki? Tafakari
Hakuna taasisi ya dini ilitoa shule kwa Serikali wakati wa Azimio la Arusha kama Katoliki haipo kama ipo naomba nielimishwe.
tosamaganga iringa ilitaifishwamoja ya nguzo za azimio la arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya uchumi ikiwamo mabenki, mashirika ya bima, vyuo & shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha shule za seminari za kanisa katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa katoliki? Tafakari
Mbona swali lako halieleweki?
umevimbiwa viroba .tosamaganga lilikuwa madrasa?