Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

- We are in the Common Market now after going through Customs, it is important now that EAC assembly works to legislate new policies that will integrate markets with products, and if elected I promise that to be my priority!

- Anyway, i have to run now to the Kanumba's Family to pay my respect, so will see you guys later!

William
Umeamua mwenyewe kujipima humu ndani sasa unakimbia nini, any way mimi nitakusubiri ukirudi tu nataka jibu langu la Free Movement of Labor. Nyie wakoloni weusi mnatafuna sana kodi zetu hatutakiwa kuwa intertain kabisa. Naskia mmebakia wewe na Lowassa tu mnaokataa kutembelea kaburi la Baba wa Taifa, wewe unasingizia eti kwa vile alisema baba yako hafai kuongoza nchi pale alipomtungia kitabu.
 
- My Bro we chose to join the EAC so now we need to work towards eliminating Fears, we need to work hard and find a way to balance our economic stand with other EAC members using the best asset in our disposal, I mean our land!

- How do you join the EAC and later claim that you want nothing to do with the EAC Viza, I am reading you right? I mean we need one Viza for EAC in order to Micro-economy, our people must free to move around so that with open policies on trade they can sell and buy products from point one to point B without interruptions, understand that sometimes the markets requires guarantee of movement of the people and security for their products and their lives.

- I do not believe in fear minded policies which you seem to preach and believe in!

William.

I'm not your supporter but I concur with you in your stance on the EAC common market.Our half-baked graduate fear competing in these era of increasing global competition.We have two choices,join them or perish,aftes it is the market forces ruling the world.Today we are complaining about our neighbours easily forgetting the Nigerians and Chinese are not only in our towns but can also be found in rural areas,common guys the world is fast becoming a village.For how long shall we keep living in bygone days,an era of isolation.While we are proudly talking of land,others are talking of services,24 hour economy yet here even Dar most shops close down even before 7pm!We either compete or fall even more backwards.For how long have we had that land that we cherish and proudly boast of?Why has it not helped us that much?
 
My profile:
1. Born in Tukuyu.
2. Jamhuri Primary School, Mnazi Mmoja; DSM.
3. Kwiro Secondary School, Mahenge; Morogoro.
4. Kidatu Sugar Instituon, Kilombero; Morogoro.
5. DSM Marine Engineering School (DMTU), DSM.
6. Field Kagera Sugar Factory, Kyaka; Bukoba.
7. Field Mv. Bukoba, Mwanza; Mv. Mwongozo & Liemba; Kigoma.
8. JKT Oljoro/Makuyuni, Camps; Arusha.
9. CMB Marine Engineering Insistute; Antwerpen, Belgium.
10. Field CMB-Belgian Shipping Line ( as Assistant Engineer)
11. Worked Tanzania/Chinese Shipping Company; DSM/Hongkong.
12. Associate Degree in Criminology & Police Science; Westchester College in New York, USA.
13. BA in Political science, Lehman University at New York City, USA.
14. One year Internship at Dominican Republic Permanent Representative to the UN, General Assembly; New York; USA.
15. Worked at Sterycircle Inc, as Class A Haz Mat & Poison at Disposal Facilities. Dealing with (Transportation + Financial Covering the Incinerator)
16. Started CCM branch in New York City, USA.

- Now aspiring to represent our Nation, to the EAC Assembly.

William.
Yanatosha haya uliyoyafanya pumzika sasa
 
Best wishes

Ila kuondoa gongano la lugha andika lugha unayoiweza zaidi

Mkuu, nashukuru kwamba nawe pia umeliona hilo katika andishi lake ktk lugha ile.
Huwa sielewi kwa nini wa-Tz wengi hupenda kutumia lugha wasizozijua vizuri, wakati wanaokusudiwa ujumbe husika wanajulikana wanatumia lugha gani.

Hata hivyo mkuu, WJM, nakuunga mkono ktk nia yako kama una uhakika wa kutupatia uwakilishi uliotukuka na si wa maslahi binafsi tu.
 
- Well, I am not worried at all with your rants, I am in I mean big league politics as I had promised while I was in US that I will soon join them and now I am in, I mean I never heard before that to be a good EAC MP you must have lived near Arusha for a decade, REALLY? Daaaaaamn!

William.

too low
 
All the blessings brother. You need to make your case much nore clearer. We accept your positive intention, you are now bound to state the reasons why you think you deserve the seat. Make it now, that you can shape your voters Mjengoni whom over 50 percent read Jamii Forums. Go William go
 
- Seriously bro you are out of touch, my dad was never involved with my anything rather than just hearing from me that I am here or there and for that you can say anything you want but there is a lot of people who knows the truth of how I was able to go to Europe and America, and if you want talk to any MP so that he can ask me this questions in Dodoma during the process, I would love to make this case of mine very clear and straight to the public, of how I acquired my education and how was I able to travel all over the World!

William.

....taratibu mkuu!!
 
Umeamua mwenyewe kujipima humu ndani sasa unakimbia nini, any way mimi nitakusubiri ukirudi tu nataka jibu langu la Free Movement of Labor. Nyie wakoloni weusi mnatafuna sana kodi zetu hatutakiwa kuwa intertain kabisa. Naskia mmebakia wewe na Lowassa tu mnaokataa kutembelea kaburi la Baba wa Taifa, wewe unasingizia eti kwa vile alisema baba yako hafai kuongoza nchi pale alipomtungia kitabu.

Tumechoka na wimbo wa baba wa Taifa!Hata wachina pamoja na kumuenzi Mao walibadili mindset na kuamua kuacha kujitenga na dunia,wakakubali ushindani. Ndio maana leo pamoja na kwamba China na Tanzania kuwa na uhusiano mzuri na wa siku nyingi kuliko wenzetu Kenya,makampuni yote yanapiga kambi Nairobi kama makao makuu ya kanda hii.Deep down wanajua tulivyo wavivu kwenye ushindani wa kibiashara.Tumuenzi mwalimu lakini tukubali mawazo yake ni ya enzi zake kamwe hayawezi kutusaidia katika enzi hizi.Hatuwezi kuushinda utandawazi ndio maana wachina,wanaijeria,wakongo na wakenya wametapakaa nchini hata bila ya kupitisha hio free movement of labour.
 
Nimesoma post nyingi hapa na nilichobaini Willy anakuwa more attacked kwa sababu ya UCCM na wala sio WILLY as Willy. Jamani ebu tuache party affiliations na tujadili issues badala ya mtu. Willy kwangu mimi is a hero kwani kile kitendo cha kuthubutu kutia mguu katika jukwa la siasa (field) sio jambo jepesi. Willy ni mpambanaji pamoja na madhaifu yake ambayo to me ni madogo. Wengi tupo hapa lakini kusogelea jukwaa live ni pamoto, tutambue katika siasa hizi tunazocheza nazo tunapaswa kutambua no body is perfect (no an angel here despite God alitimua baadhi yao kwa mapungufu pia).

Tukiendelea kuhusudisha vyama hapa na kutumia kigezo cha kumkatisha tamaa mtu kwa sababu ni Magamba haya mambo yatatugharimu in future. Huyu ni Kijana mwenzetu na kiukweli ana moyo wa kupambana japo mwanzoni nilidhani anatania. Tumuunge mkono na kama ana madhaifu yake much better kumuelimisha na sio kumu-insult yeye na hasa familia yake.

Wengi wetu tumetangaza hapa kuwania baadhi ya majimbo kibao, tambueni huko si kwepesi hivyo kwani dhambi hizi tunazoziasisi hapa ndizo tutakazo kutana nazo jukwaani kisiasa. Hakuna atakaye kosa shutuma,skendo ama tusi jukwaani. Narudia tena ni vizuri hapa tujadili issues (ideas) na wala sio mtu (people) ama matukio (events).
 
..Kama tunataka mwakilishi ktk bunge la EAC mwenye mwili mkubwa na sauti nzito, WJM is our man! teh teh! Willy umekaa sana ughaibuni kiasi kwamba huna roots kabisa na maisha na hata siasa za Tanzania. Narudia tena, wewe ni mtu aliyeona nafasi (ya ubunge EAC) na watu wakakushawishi ugombee na wewe ukashawishika kugombea kwa kuwa unadhani unajua kiingereza na umefanya kazi ulaya! Willy, ulitakiwa uanzie mahali fulani pa chini, sio ubunge wa EAC.

Mimi nimekusikia jana redio Uhuru, hukuwa na logical flow-kitu ambacho ni muhimu sana. Hata hivyo sina shida na wewe kuingia kwenye siasa kama familia yako, ni haki yako kama mtanzania.
 
Willy,

Mafanikio mema mkuu. Usikatishwe na kelele za haters wa hapa JF.

Muhimu ni conviction yako katika hiyo kazi unayoomba. Ninaamini ukifanikiwa utasaidia kuingiza mtazamo mpya na mawazo mapya huko EA.

Kikubwa tu mkuu ukifanikiwa usituangushe. Watanzania ni mabingwa sana wa maneno lakini vitendo sifuri. Jikite kwenye kutatua matatizo na bahati mbaya kwenye EA yapo mengi sana.

Nimepitia majina ya wagombea na una qualifications zote za kutuwakilisha vizuri kuliko wengi wa hao waliopitishwa maana uzoefu ni mwalimu mzuri kuliko elimu ya madarasa. Inahitaji uwezo kuingia huko kwenye mameli na mpaka ukafika sehemu na kufanya mambo yako bila kubebwa na mtu. Hiyo ndio shule ya maana na ya kweli na sio kuwa na uwezo mkubwa wa kukariri ili kufaulu mitihani.

Wengine tungependa kuona watu wengi ambao wamepikika hapa JF wanachukua nafasi za uongozi kwa faida ya nchi yetu.

Mafanikio mema mkuu,
Mtanzania aka Mwakalinga.
 
Mkuu Willy ukirudi wala usiendelee na hoja hii.Nimejaribu kupita ukurasa kwa ukurasa na hoja zako zote si za kujenga zaidi unajibomoa.Nakushauri kwanza usubiri upite kwanza mchakato wa Chama chako,ila kama unaona hapa ni mahala muafaka wewe kuomba uungwaji basi uache jazba na kejeli na usimamie kwenye maudhui ya hoja uliyoanzisha.(KWA NINI NINAGOMBEA UBUNGE WA EAC-MY CASE) na uweke mlolongo wa kwanini ..............unaomba kuungwa mkono kuwa Mbunge toka TZ-kwenye EAC.

Note.Do not forget that JF can be a good place for you to play a card (plea for support) but mostly this will depend on how you present you are case and handle the members opnions.Do not forget too that some of the JF members may be the CCM -Mps of whom you are expected to face at the final stage,hence patient is vital for you during this debate.

My profile:
1. Born in Tukuyu.
2. Jamhuri Primary School, Mnazi Mmoja; DSM.
3. Kwiro Secondary School, Mahenge; Morogoro.
4. Kidatu Sugar Instituon, Kilombero; Morogoro.
5. DSM Marine Engineering School (DMTU), DSM.
6. Field Kagera Sugar Factory, Kyaka; Bukoba.
7. Field Mv. Bukoba, Mwanza; Mv. Mwongozo & Liemba; Kigoma.
8. JKT Oljoro/Makuyuni, Camps; Arusha.
9. CMB Marine Engineering Insistute; Antwerpen, Belgium.
10. Field CMB-Belgian Shipping Line ( as Assistant Engineer)
11. Worked Tanzania/Chinese Shipping Company; DSM/Hongkong.
12. Associate Degree in Criminology & Police Science; Westchester College in New York, USA.
13. BA in Political science, Lehman University at New York City, USA.
14. One year Internship at Dominican Republic Permanent Representative to the UN, General Assembly; New York; USA.
15. Worked at Sterycircle Inc, as Class A Haz Mat & Poison at Disposal Facilities. Dealing with (Transportation + Financial Covering the Incinerator)
16. Started CCM branch in New York City, USA.

- Now aspiring to represent our Nation, to the EAC Assembly.

William.

ndio maana wanakuita le baharia ha ha ha wao wanapesa sisi tuna Mungu if u believe in God utashinda tu kaka
 
kuna wakati alikuwa anapost ujinga mara sijui jana nilikuwa disco NYC,mara kesho naenda OHIO kula bata,so wat?nikamwambia aache kupost ujinga watu wanateseka huko mtera kwasababu ya ujinga wa babayake,ananiblock facebook..
 
Acha kutetea ujinga wewe Kilaza. Wenzio wazungu huwa wanachukua CREAM of the nation linapokuja suala la uongozi. Mnamlaumu leo JK kuwa anaboronga lakini chanzo cha kuboronga GPA ya 2.1 aliyopata inaeleza. Hata huyu Le Mutuz atakuwa alipata GPA ya 2. Kama ni kilaza na ulipata div4 lazima utakuwa muoga sana inapokuja ishu ya Risk taking and Innovation kwa kuogopa kushindwa

We acha kudhalilisha Viongozi wetu wasio na cream unayotaka wewe. Sugu, Machemli,Lema,Vincent Nyerere,Mbowe kwa hiyo hawatufai?.Tuwe makini na lugha za ovyo ovyo kama hizi unazoleta hapa. Mbona umekuwa ukipiga kelele kuwa Maprof wa Magamba mbali ya kuwa na vyeti ni wabovu,wezi na si viongozi. Hawa ndio wenye hizo cream unazotaka za akina Chenge.Tupe shule yako na nini umesaidia katika Nchi yako badala ya porojo na nondo hewa, mkishafaulu kwa desa basi you are champions to insult others huku work done equals to zero katika kazi zenu.

Tambua waliosoma vizuri na kupata hizo cream huwa hawajitapi bali through actions you can see.
 
Nimesoma post nyingi hapa na nilichobaini Willy anakuwa more attacked kwa sababu ya UCCM na wala sio WILLY as Willy. Jamani ebu tuache party affiliations na tujadili issues badala ya mtu. Willy kwangu mimi is a hero kwani kile kitendo cha kuthubutu kutia mguu katika jukwa la siasa (field) sio jambo jepesi. Willy ni mpambanaji pamoja na madhaifu yake ambayo to me ni madogo. Wengi tupo hapa lakini kusogelea jukwaa live ni pamoto, tutambue katika siasa hizi tunazocheza nazo tunapaswa kutambua no body is perfect (no an angel here despite God alitimua baadhi yao kwa mapungufu pia).

Tukiendelea kuhusudisha vyama hapa na kutumia kigezo cha kumkatisha tamaa mtu kwa sababu ni Magamba haya mambo yatatugharimu in future. Huyu ni Kijana mwenzetu na kiukweli ana moyo wa kupambana japo mwanzoni nilidhani anatania. Tumuunge mkono na kama ana madhaifu yake much better kumuelimisha na sio kumu-insult yeye na hasa familia yake.

Wengi wetu tumetangaza hapa kuwania baadhi ya majimbo kibao, tambueni huko si kwepesi hivyo kwani dhambi hizi tunazoziasisi hapa ndizo tutakazo kutana nazo jukwaani kisiasa. Hakuna atakaye kosa shutuma,skendo ama tusi jukwaani. Narudia tena ni vizuri hapa tujadili issues (ideas) na wala sio mtu (people) ama matukio (events).

.
Mkuu, naona wewe hujaelewa!

Hawi attacked kwa sababu ya UCCM wake!... hata kidogo! ... mbona kuna watu ndani ya CCM wanakubalika na Watanzania wengi? .. watu makini wenye uelewa, busara na wanaoweka maslahi ya nchi mbele!.

Sasa, hivi wewe unae-mtetea umesoma vizuri anachoandika, ume-read between lines akili yake?, yaani vitu kama IQ na vingine ... sasa huyu bwana IQ au ufahamu wake ni wa chini mno na hicho ndicho kinacho-watatiza watu wengi hapa na wala si UCCM wake!

Sasa mfano mtu anataka kugombania nafasi fulani alafu hajui anaamini nini juu ya hicho kitu, msimamo wake unayumbayumba, hajui madhara au faida ya msimamo atakao-utetea, Je - hajui watanzania wanataka nini kwenye EAC!, hana maono ya kwamba labda in 30 or 50 years from now anataka EAC iwe vipi!.

Sasa ndugu, mtu kama huyo wa nini? - si atatuletea matatizo tu huko mbele ya safari?! - na hata kama yupo kwenye chama chako au hata kama yupo kwenye chama kingine unamweleza tu kuwa atawazamisha Watanzania.

Mkuu, ingawa watu wengi hawaipendi CCM, lakini katika hili ni bora CCM ikatafuta watu wengine makini kwa ajili ya Taifa letu lakini siyo huyu bwana ambae hata hajitambui!

Huyu bwana bado ana u-toto utoto hivi kwenye kichwa chake na ufahamu wake au tuite IQ yeke bado, na hivi vitu si vya darasani, unaweza ukapata hata PhD lakini hivi vitu havijatoka kichwani - sasa huo ni UCCM?

Anaongelea mustakabali wa Tanzania yetu kwenye EAC kama yupo jukwaa la JF-CHIT-CHAT

Sasa ndugu yangu mtu wa dizaini hii .. wa nini?

.
 
Nakuhakikishia watu wote waliofeli mtihani wa form IV kwa kupata division IV au ZERO huwa wana IQ ndogo sana. they cant make strong decisions. Mfano huyu jamaa hata maswali ya msingi kuhusu EAC anayakimbia kujibu, kiingereza chake ni cha ngumbalu licha ya kukaa NYC miaka zaidi ya 20 kwa mujibu wa yeye. Anyway ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa mbunge. Maji ya bwawa la Mtera huenda yanaharibu ubongo, mfano Le Mutuz na Lusinde

Toka lini mtihani wa kidato cha nne ukawa kipimo cha IQ?Unaijua IQ?Je,tusioamini katika IQ?Kina Edison ambao waliishia darasa la pili nao wana IQ ndogo?
 
Jamani ebu tuache party affiliations na tujadili issues badala ya mtu. Willy kwangu mimi is a hero kwani kile kitendo cha kuthubutu kutia mguu katika jukwa la siasa (field) sio jambo jepesi. Willy ni mpambanaji pamoja na madhaifu yake ambayo to me ni madogo.

Tukiendelea kuhusudisha vyama hapa na kutumia kigezo cha kumkatisha tamaa mtu kwa sababu ni Magamba haya mambo yatatugharimu in future. Huyu ni Kijana mwenzetu na kiukweli ana moyo wa kupambana japo mwanzoni nilidhani anatania. Tumuunge mkono na kama ana madhaifu yake much better kumuelimisha na sio kumu-insult yeye na hasa familia yake.

Wengi wetu tumetangaza hapa kuwania baadhi ya majimbo kibao, tambueni huko si kwepesi hivyo kwani dhambi hizi tunazoziasisi hapa ndizo tutakazo kutana nazo jukwaani kisiasa. Hakuna atakaye kosa shutuma,skendo ama tusi jukwaani. Narudia tena ni vizuri hapa tujadili issues (ideas) na wala sio mtu (people) ama matukio (events).

Mussa Wangota,
Umejitahidi sana kumnadi William Malecela lakini ukweli unabaki pale pale kuwa hachaguliki! Unasema kwako wewe Willy is a hero na kwamba ni mpambanaji mzuri pamoja na madhaifu yake. Kwanza ulipaswa udemonstrate upambanaji wake hapa nchini maana sisi tunajua sehemu kubwa ya maisha yake hasa ya ujana kaishi ughaibuni miaka tele.

Tunachokumbuka ni kuwa baada ya kupata Division IV alikimbia nchi. Swala la kwamba Willy kwako ni hero siyo hoja kwetu maana kuna mtu mwingine anaweza nae akaja hapa akatuambia kwamba Wassira nae ni hero kwake kwa hiyo tumsapoti tumpe Urais. Is that make sense?

Unadai pia wengi wetu tumetangaza hapa kuwania baadhi ya majimbo kibao na kwamba dhambi hizi tunazoziasisi hapa ndizo tutakazokutana nazo kwenye majukwaa ya kisiasa. Na kwamba Hakuna atakaye kosa shutuma, skendo ama tusi jukwaani. Mimi naomba nikuulize hivi Nassari alikuwa na skendo wakati anaomba kura Arumeru? Pia unadai ni vizuri tujadili issues (ideas) na wala sio mtu (people) ama matukio (events) lakini unasahau kwamba hiso issue zinabebwe na ubongo wa mtu ambae nusura afeli Form IV, tutegemee nini katika mang'amuzi ya mambo mazito ndani ya Bunge la EAC?
 
Kila la heri! Ila kwa kiingereza utatuangusha mazee, kibovu kama cha Januari & Nape. Nachelea utaishia kukaa kimya na kupiga makofi kama alivyokuwa Kawawa (RIP)

Utakuwa unamuonea ukimponda kwa kuwa na kiingereza kibovu,laumu mfumo wetu wa elimu kwani sitashangaa hata wewe ukiandika au kuongea hio broken English,ndio mazao ya mfumo wetu mbovu.Wahadhiri wa mlimani tunawaona wanavyopata vigugumizi kwenye kuongea Kiingereza kwenye kipindi cha This week in Perspective...ni tatizo letu sote tuliopitia kwenye mfumo wa elimu ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom