Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

Hivi Wiliam, kweli unaona ukituandikia Ki english tutakuelewa zaidi ya kishwahili, kigogo au kinyakyusa ambazo ni lugha zako? Tatizo ni nini? Au ni maisha ya Amerika yamekuathili!? Be careful.

Kwa nafasi anayogombea ni sawa kabisa kutumia kiingereza.
 
hahaha. Wewe ndo uliandka kuwa u studied at UDSM. Mbn katk huu mlolongo wa matukio yako hujaweka?

Mkuu UDSM wamesoma vipanga kina Nassari, Silinde, Zitto, Mkumbo, nk. Huyu hata kwenye Maticulation Exam za UDSM asingepita!
 
Haha haha ha haa aaa!
Kwa hiyo Division IV ndio unaona ni Division ya kutambia humu JF na kule EAC. Yani wewe huna tofauti na Livingstone Lusinde na Lameki Airo. Muulize Nassari uone alipata ngapi na ujilinganishe na wewe.

Alafu Mungu Bwana ni Mwema sana. Watoto wote wa Vigogo siku zote wanaambulia Division IV na Zero. Nape Div IV, William Div IV, Mwanaasha Div IV, nk.
Nakuhakikishia watu wote waliofeli mtihani wa form IV kwa kupata division IV au ZERO huwa wana IQ ndogo sana. they cant make strong decisions. Mfano huyu jamaa hata maswali ya msingi kuhusu EAC anayakimbia kujibu, kiingereza chake ni cha ngumbalu licha ya kukaa NYC miaka zaidi ya 20 kwa mujibu wa yeye. Anyway ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa mbunge. Maji ya bwawa la Mtera huenda yanaharibu ubongo, mfano Le Mutuz na Lusinde
 
futa kwanza hio undelinede..we c=have to protect our country and our country is not land only
tukija kwenye common visa naona hujui chochote labda hii makala itakusaidia isome bila uvivu then come with the solutions from this uzi. na suala la fear woga na maneno mengine ya ajabu achana nayo ..tema cheche

- Like I said before I am not a believer of fear policies which is what your article stands for, nothing but fear!

William.
 
William are we ready for eac common market?
[h=2][/h]
 
- Like I said before I am not a believer of fear policies which is what your article stands for, nothing but fear!

William.
so sad, i cant see any different from other ccm's huna tofauti nao unakimbia hoja hawa ccm wameua hadi kampuni letu la ndege ..ukienda mikoa ya kaskazini utakuta watu wengi wanatumia product za kenya kwa sababu za ujinga wenu na hawa wazazi wenu leo hii huna hoja unautakla ubunge na unakaribia kuupata ..nina uhakika wewe utasaidia sana kuipeleka Tanzania shimoni.
 
.
Unajua watu walisema mengi kuhusu huyu jamaa kuwa hafai wengine wakasema ni Looming Disaster to our Nation – kila mtu alisema chake.

Sasa baada ya huyu jamaa kuleta hapa "my case" zake za kugombea nikaona duh! Ndiyo haya?! – bora angenyamaza kimya … maana baada tu ya kuanza kujieleza ndipo wasiwasi uliponiingia na ndipo nimefahamu kuwa huyu hafai kuliwakilisha Taifa letu Afrika Mashariki!

My friend William, all I can say is ... tafuta kazi nyingine ya kufanya!

"Better to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove all doubt." -- Abraham Lincoln

.
 
William are we ready for eac common market?

- We are in the Common Market now after going through Customs, it is important now that EAC assembly works to legislate new policies that will integrate markets with products, and if elected I promise that to be my priority!

- Anyway, i have to run now to the Kanumba's Family to pay my respect, so will see you guys later!

William
 
Haha haha ha haa aaa!
Kwa hiyo Division IV ndio unaona ni Division ya kutambia humu JF na kule EAC. Yani wewe huna tofauti na Livingstone Lusinde na Lameki Airo. Muulize Nassari uone alipata ngapi na ujilinganishe na wewe.

Alafu Mungu Bwana ni Mwema sana. Watoto wote wa Vigogo siku zote wanaambulia Division IV na Zero. Nape Div IV, William Div IV, Mwanaasha Div IV, nk.

Hata wewe una shida kichwani kama bado unafikiri kuwa na division four ni kufeli.Unamlaumu aliyepata division four au mfumo mbovu ambao unaonesha mtu kafaulu ilhali kwenye jamii anaonekana hafai?Tunataka sera sio vyeti au mbwembwe za upinzani bila policy.
 
Kila la heri! Ila kwa kiingereza utatuangusha mazee, kibovu kama cha Januari & Nape. Nachelea utaishia kukaa kimya na kupiga makofi kama alivyokuwa Kawawa (RIP)
 
- Well, I am division 4 if that is a failed grade then you have a point. That is my Education!

William.

Dah! Sasa kama Form IV ulipata Division IV mziki wa A-level ungepata ngapi Mkuu? Haya tuambie ulikuwa na Credit ngapi? Na hapo najua Mathematics F, (Physics F, Chemistry F, Biology F, Book Keeping F, Commerce F - Kama ulifanya).
 
Mkuu bado nipo nasubiri jibu langu kuhusu Free movement of labor...

Kama umenipotezea niruhusu nitoke mkuu. Najua pale kuna suala kuunganisha kiingereza ili upate sentensi zilizonyooka but hata ukinijibu kwa Kiswahili sina shida mkuu, tena itasaidia wengi kujua kama unaifahamu East Africa au Diasporalysis itakuangusha. Huwezi jua, huenda ukakutana na swali hili hili siku hiyo.
 
Jaman tuhamie kwenye thread za maana huyu uwezo Hana ni kama kubishana na lusinde au mam yake
 
Anyway ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa mbunge. Maji ya bwawa la Mtera huenda yanaharibu ubongo, mfano Le Mutuz na Lusinde

Mkuu Ulukolokwitanga,
Yani sasa hivi hata Waganga wa kienyeji wanakuwa wabunge ndani ya CCM! Mfano mzuri ni Profesa Maji Marefu!
 
- Well, I am division 4 if that is a failed grade then you have a point, remember what I said early I am not here to fake all bullshit, this is me and that is my Education!

William.

William!please watch your step!How come the legislator to-be- to use such kind of untoward language?Please try to be affably otherwise en masse will brand you as detestable candidate!
 
- We are in the Common Market now after going through Customs, it is important now that EAC assembly works to legislate new policies that will integrate markets with products, and if elected I promise that to be my priority!

- Anyway, i have to run now to the Kanumba's Family to pay my respect, so will see you guys later!

William
Pambaf unataka kumtumia kanumba kupata umaarufu wa kijinga
 
Hata wewe una shida kichwani kama bado unafikiri kuwa na division four ni kufeli.Unamlaumu aliyepata division four au mfumo mbovu ambao unaonesha mtu kafaulu ilhali kwenye jamii anaonekana hafai?Tunataka sera sio vyeti au mbwembwe za upinzani bila policy.
Acha kutetea ujinga wewe Kilaza. Wenzio wazungu huwa wanachukua CREAM of the nation linapokuja suala la uongozi. Mnamlaumu leo JK kuwa anaboronga lakini chanzo cha kuboronga GPA ya 2.1 aliyopata inaeleza. Hata huyu Le Mutuz atakuwa alipata GPA ya 2. Kama ni kilaza na ulipata div4 lazima utakuwa muoga sana inapokuja ishu ya Risk taking and Innovation kwa kuogopa kushindwa
 
Hata wewe una shida kichwani kama bado unafikiri kuwa na division four ni kufeli.Unamlaumu aliyepata division four au mfumo mbovu ambao unaonesha mtu kafaulu ilhali kwenye jamii anaonekana hafai?Tunataka sera sio vyeti au mbwembwe za upinzani bila policy.

Haya Bwana! Naona Division IV mnateteana. Kama ishu ni mfumo iweje Joshua Nassari aliyesomea kijijini bila umeme wala maktaba akapata Division I wakati huyu alikuwa anaishi Oysterbay kwa baba yake akaambulia Division IV.
 
Back
Top Bottom