Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Hahahaaaaa! Umenifanya nicheke kwa nguvu! Kwahiyo we unahisi natumika kila siku!! We hebu nitake radhi.

alafu kuna mahali nilikuita ukanichunia, nimekununia.


Hahaha, hivi ni kutumika eeeh! Huyu mpendwa anapakua bikra kila mkutanapo, coz twice a yr means mpapa lazma urudi kuwa wa mtoto!
Mbona sijaona notification yoyote!
 
Hahaha, hivi ni kutumika eeeh! Huyu mpendwa anapakua bikra kila mkutanapo, coz twice a yr means mpapa lazma urudi kuwa wa mtoto!
Mbona sijaona notification yoyote!

Kabisaaaa yaani, kitu kinakuwa brand new daily
 
Mapenza hayajazaliwa tu TANGA jaman... Ata sisi MAMONG'OO tunayafanya tena vizuri tuu
 
Don`t worry my dia, a donkey will remain a donkey for all his life,carrying ,pulling cart is among his duties.Wewe nitumie tu ntakukumbusha bila mazara. mie kama punda wala siwezi badilika nikachukua nafasi ya binadamu.

ha ha haha maneno ya wezi mazuri sana ....
 
Mimi sioni logic kabisa kwa mfano mmeenda kabisa eneo la tukio eti unaona ukianza mautundu wewe kama mtoto wa kike basi utaonekana malaya nop my dear.

Kwanza mpaka wewe ufike pale eneo la tukio either Lodge au Guest house au nyumbani kwa jamaa tena chumbani jua tayari uko stage nyingine kabisa acha kujitia utoto wewe kila siku unataka kubakwa? Hata nyie mlioolewa kila siku unataka mapambano ya kuvuana nguo ili iweje?

Na sio kuvua wewe mwenyewe mvue wewe hata kama sio mara zote basi walau mara moja moja haya kama unataka kuvuliwa uwe na nguo chache na nyepesi.

Sasa mtu umevaa dera ndani una shumizi ndani ya shumizi una bukta pana tu nda ni ya bukta una skintight ndani yake kuna chupi khaa! Kwanini usibakwe wewe?

Muanze jamaa kuwa mtundu jamani yaani kusubiri kila siku kubakwa unalala na jezi kitandani.

HUTA ENJOY MAPENZI MPAKA UNAINGIA KABURINI

Hahahaaaa "engaai mikiiya paingnurisho"
Kuvuliwa rahaa jmn ila sio ndio uvae manguo meengi kama hayo yaliyosemwa..
 
baeleze hawa ba kinamama na mautundu yanapunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kupata virusi.
 
Mhh, inachosha sana hiyo. Mimi wawili wa mwanzoni niliwaacha nikidhani hawataki kweli!!!
 
Alianza kwa kusema anahisia na wanawake wenzake......
Akaja na kuingiliwa kinyume na maumbile
Kaja sasa na kuanza kuomba mchezo.......
 
Ogopa watoto wa kichagga ww! akina manka! Wana vtu flan amazing!
 
Back
Top Bottom