Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Hiyo labda kwa mume unayelala naye kila siku, lkn hawa wetu tunaokutana twice a year ni taabu tupu, utaamshwa hata mara 3!!

Wewe utakuwa mtoto wa kichaga.. huwa ni wachovu kweli kitandani japokuwa ni warembo
 
hata mimi nashangaa kwa nini nafanyaga hivyo... labda nakuwa sikumbuki kile kilichonipeleka pale ... au sijui natakaiwa kufanya tendo gani... au nakuwa siamini kama kweli nafanywa matusi leo........ au kuanza inaweza pelekea nisidekezwe........ila kuringa ringa inautamu wake......

hahahaa misi bana kama hukumbuki weka alarm kwenye simu au mie ntakuwa naku-remind kuwa unaendavuliwa kyupi
Big up mama yeyoo kwa michango yako.Aashe naleng`

Mi napendaga nyie masai,Maana narusha rubega tu pembeni kitu kishajizamia deep sea
 
hahahaa misi bana kama hukumbuki weka alarm kwenye simu au mie ntakuwa naku-remind kuwa unaendavuliwa kyupi
Big up mama yeyoo kwa michango yako.Aashe naleng`

Ha ha ha ha nitaweka alarm.. ukinikumbusha wewe unaweza taka kukumbusha kwa vitendo
 
bora useme ukweli tu maana hawa wadada ukiwapeleka hadi huko bado tena anataka umbembekeze ili akupe
 
Ha ha ha ha nitaweka alarm.. ukinikumbusha wewe unaweza taka kukumbusha kwa vitendo
Don`t worry my dia, a donkey will remain a donkey for all his life,carrying ,pulling cart is among his duties.Wewe nitumie tu ntakukumbusha bila mazara. mie kama punda wala siwezi badilika nikachukua nafasi ya binadamu.

hahahahhaaaa...wavue kama Clark anavyochana shati wakati wa kuwa Superman
 
bora useme ukweli tu maana hawa wadada ukiwapeleka hadi huko bado tena anataka umbembekeze ili akupe

wakati amekubali mwenyewe kwenda huko na anajua nini kinatakiwa kufanyika...matatizo haya, bora mtu akatae tuu ijulikane moja
 
Mi nakuangalia tu...! Haja ka uongo sijui ulikaanza lini. Twice a yr? Hahaaa, atoto buana!!

Hahahaaaaa! Umenifanya nicheke kwa nguvu! Kwahiyo we unahisi natumika kila siku!! We hebu nitake radhi.

alafu kuna mahali nilikuita ukanichunia, nimekununia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom