miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
my dear unaringaje??? hili ndo swali na swala kubwa? weeee kuwa mtundu kuringa ringa achia watoto fanya kazi tena kwa utundu wa hali ya juu lile ni eneo lako usifiche ujuzi wako hata kidogo... sasa ukauoneshe wapi wakati pale ndo eneo la tukio
kama una point 10 za jikoni na zinahitanika 50 kwa ujumla basi una uwezo wa kupata 40 zote eneo hilo ukicheza vizuri mpenzi
yaani unafika unaanza kukata kucha?????????? atakuvumilia siku ya kwanza siku ya pili atakubaka siku ya tatu atakutafutia msaidizi
usitafute mchawi
Duh ngoja nianze makeke kudadadeki