masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,472
- 19,730
- Thread starter
- #161
alifanyaje????ina athiri ki saikologia nilisha wahi kukutana na mtu wa ivo alinitoa mxhezoni kabisa'!
alifanyaje????ina athiri ki saikologia nilisha wahi kukutana na mtu wa ivo alinitoa mxhezoni kabisa'!
Absolutely, if thats the case...banaaa hadi akomee, hamna cha bure hapa..akitolee jasho kwanza!Am still waiting, ataenjoy tu, if he deserves it, u kno wht i mean right?
Absolutely, if thats the case...banaaa hadi akomee, hamna cha bure hapa..akitolee jasho kwanza!
namuongelea yule jamaa anayetaka kula bila kununua..teeh!Hahahaaaa! Nani unamuongelea labda??
namuongelea yule jamaa anayetaka kula bila kununua..teeh!
aweza kuwa mimi, japo sio mimi...mie nikitaka kula hakyanani nakuja kwenu moja kwa moja!Yupi huyo? Any1 in specific?
aweza kuwa mimi, japo sio mimi...mie nikitaka kula hakyanani nakuja kwenu moja kwa moja!
hahahhq anataka umbembeleze wakati jina la guest yeye ndo alisuggest
hhaha au unamwambia twende guest/lodge flani anakwambia pale kuna kunguni hapana alafu mkifika kwingine anaanza kungata kucha hahahahahahhahaAli-suggest mpaka chumba. Kile hapana, AC mbovu - duh!
Hahahaa hihii hi!Wewe lasima ushangae iyo fitu manake wewe si unatupia ile rupeka tu na ndani inafaa ile bukuta.I was at ngorongoro for a couple of months.kotii na suruali ya jinsi na soksi na gloves na kanga juuu???? msalimu tafadhali
hahqh unakuta mtu kapiga overali;soksi na boshori na sweta la shingo ndefu alafu mnalala as if anapanda mlimaHahahaa hihii hi!Wewe lasima ushangae iyo fitu manake wewe si unatupia ile rupeka tu na ndani inafaa ile bukuta.I was at ngorongoro for a couple of months.
Mimi sioni logic kabisa kwa mfano mmeenda kabisa eneo la tukio eti unaona ukianza mautundu wewe kama mtoto wa kike basi utaonekana malaya nop my dear.
Kwanza mpaka wewe ufike pale eneo la tukio either Lodge au Guest house au nyumbani kwa jamaa tena chumbani jua tayari uko stage nyingine kabisa acha kujitia utoto wewe kila siku unataka kubakwa? Hata nyie mlioolewa kila siku unataka mapambano ya kuvuana nguo ili iweje?
Na sio kuvua wewe mwenyewe mvue wewe hata kama sio mara zote basi walau mara moja moja haya kama unataka kuvuliwa uwe na nguo chache na nyepesi.
Sasa mtu umevaa dera ndani una shumizi ndani ya shumizi una bukta pana tu nda ni ya bukta una skintight ndani yake kuna chupi khaa! Kwanini usibakwe wewe?
Muanze jamaa kuwa mtundu jamani yaani kusubiri kila siku kubakwa unalala na jezi kitandani.
HUTA ENJOY MAPENZI MPAKA UNAINGIA KABURINI
hahahaaa zile suruali za kuvaa ukimaliza jasho linatokaWengine wanaingia na ki tight jeans kimebana balaa! sijui huwa wanafikiria nini hawa? halafu hawavui wanasubiri uwavue, sasa kuvua iyo jeans unakuta mpaka alale chini kwenye floor anyooshe miguu uvute jeans kama unavuta gogo la mnazi, by the time umemaliza kumvua, na hamu yote imeisha, mna anza kutafuta nyege upya!
wewe na wewe ni muhanga wa hayo mazaga????
leo nakuona umeamua kunifanyia screening kwdnye mada zangu na last vistor ni wewe hahaahmasai dada bhana!!...anajibu hoja baada ya hoja!!