Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 617
- 554
Unatamani sana kuwa karibu na viongozi wakubwa, wafanya biashara wakubwa.
Au watu wa aina yoyote wenye mafanikio fulani.
Uwe rafiki yao wa malengo, wakukubali na wawe miongoni mwa list ya watu wanaokuzunguka na kukushauri katika maisha yako.
✍️Zifuatazo ni mbinu ambazo unapaswa kuzitumia ili kujenga mtandao imara wa watu sahihi unaowataka.
✍️HUDHURIA SEHEMU ZINAZOKUTANISHA WATU WENYE MALENGO.
Ukiuliza watu wengi watakwambia mtu fulani nilikutana nae kwenye tukio fulani.
Jambo la muhimu, fahamu unataka uwe nani baadaye, kama ni mfanyabiashara, mwanasiasa au katika angle yoyote.
Anza kufuatilia makutano ya aina ya watu unaowataka kama ni biashara, uongozi au fani yoyote kwendana na wewe unavyotaka uwe baadaye.
Itakuwa rahisi kukutana nao na kuanzisha ukaribu nao.
✍️JIFUNZE MAZUNGUMZO.
Namna unavyoanza mazungumzo ndivyo itamfanya aruhusu uwe karibu yake au akupuuze.
Usikimbilie kuomba msaada, bali jifunze kuzungumza katika namna ambayo yeye ataona unataka kujifunza kwake na kumtii yeye na sio kuomba msaada.
✍️JENGA UHUSIANO NA SIO CONTACTS.
kosa la wengi wanaamini wakichukua namba basi tayari wamemaliza na wapo karibu yao.
Wewe chukua mawasiliano mtafute mara kwa mara hata hasipokujibu tafuta namna ya kumfikia ofsini au eneo analopatikana.
Mkumbushe kuwa wewe ni fulani na ulikutana nae eneo fulani na kwasasa umerudi tena kwake kwasababu ya kujifunza kwake.
Kabla ujamtafuta, tafuta sababu ya msingi na mpangilio mzuri wa maneno mafupi utakayomwambia.
✍️WAFUNGAMANISHE WATU.
Kama watu wanamalengo sawa, basi mchukue wa kwanza mkutanishe na wa pili.
Then, Wafanye wawe kama ndugu wanaosaidiana kila jambo.
Wakifanikiwa hata wakiwa wanazungumza watakukumbuka wewe kwasababu wasingeweza kukutana bila wewe.
Hivyo hata siku ukiwahitaji wana respond haraka sana mana hata makutano yao wewe ndiye uliyehusika.
Na hiyo ndiyo itakuwa network yako ya maana sana.
✍️JENGA THAMANI YAKO.
Tafuta ujuzi, au utaalamu wa kitu chochote.
Hata ukikutana nao jitambulishe kupitia ujuzi au fani yako inayokupa thamani.
Hivyo hata wao wanahamasika zaidi na wewe kwasababu una kitu ambacho hata wao wataona kabisa kuwa kitawasaidia baadaye✍️