Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Mimi nawazimia wale mkifika eneo la tukio anaomba taulo akaoge, ukimpa taulo anavua mbele yako halafu anaenda kuoga mlango wazi sasa ni wewe tu uamue umfuate bafuni au umsubiri!

Nimeipenda hiyo iko poa sana
 
doo..........takwenyAaaa............umenikumbusha vaste, nilifundishwa suluvai, vava takwenyaaaa.......
 
hili jukwaa la mapenzi so tunaongea mapenzi ukitegeka anguka hahah

ndo maana ukiwa intelligence na mada zao za wachawi usiku haulali hahhahh kwa hiyo upo sahihi kutegeka 😂😂

Mapenzi, Mahusiano, na Urafiki ni dhana pana, japo ngono ni sehemu yake ndogo!
 
Back
Top Bottom