Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Masai eeh nimevumilia nimechoka naona bora nitangaze Nia tu ukini white hair poa ukini magufulize natangaza ndoa as soon as possible mana nahisi uko special na tofauti na wengine,Nasubiri Mrejesho bhana
 
Mapenzi ni ya mama tu,hayo ya kwenu ni Kujamiiana+Udanganyifu.OVER!

udanganyifu kwenye issue gani???? nimezungumzia mapenzi na sio mahusiano mi eneo langu ni hapo kwenye miguu minne hayo ya kudanganyana sina muda nayo
 
Masai eeh nimevumilia nimechoka naona bora nitangaze Nia tu ukini white hair poa ukini magufulize natangaza ndoa as soon as possible mana nahisi uko special na tofauti na wengine,Nasubiri Mrejesho bhana
mrekebishe tu mamsap mbona ukiongea nae atakupa mambo adimu
siku unafika home unamkuta kapendeza na kamtandio ka dera hahah unaijua ile mitandio hHhh ahhahah
 
Masai dada katika ubora wake.
Wsh a cud hav u one nait
 
Sasa kuna wale wengine anaweza alale mtupu lakini Mara utasikia 'kichwa kinauma', 'tumbo linasokota', 'nakaribia siku', 'Leo tulale tuu'. Wiki inakatika hujagusa...
Sa ingine unaviziwa umechoooooooka ndo unapewa
 
....umevaa dera ndani una shumizi ndani ya shumizi una bukta pana tu nda ni ya bukta una skintight ndani yake kuna chupi khaa....

naona mfungo unakaribia kuisha na ndoa kuvunjikaaaa
 
Wanawake wa wapi hao? Kuanza sio lazima kwa maneno hata kwa vitendo, mie nikiwa na hamu sisubiri kuanzwa.
 
huyu wangu analala na suruali huku kaipiga suspender basi naishia kubaishi.....tu mpaka asubuhi,mpaka nawaza nikafwate mahali yangu
 
Wanawake wa wapi hao? Kuanza sio lazima kwa maneno hata kwa vitendo, mie nikiwa na hamu sisubiri kuanzwa.
hata akiwa amelala sio lazima umuamshe yeye kwani unataka kupiga stori usiku???? hhahah wewe dili na kilichokuamsha hahah imba sana solo akishutaka akuuu ushafika dakika ya 30 tangu filimbi ipulizwe hahhahah
 
Back
Top Bottom