Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

huyu wangu analala na suruali huku kaipiga suspender basi naishia kubaishi.....tu mpaka asubuhi,mpaka nawaza nikafwate mahali yangu
chukua mkasi ukate hiyo saspenda hahhah
 
hata akiwa amelala sio lazima umuamshe yeye kwani unataka kupiga stori usiku???? hhahah wewe dili na kilichokuamsha hahah imba sana solo akishutaka akuuu ushafika dakika ya 30 tangu filimbi ipulizwe hahhahah

Hapo pa kuamshwa hata mie nachukia maana napenda usingizi mnoo na sipendi kuamshwa.
 
Hapo pa kuamshwa hata mie nachukia maana napenda usingizi mnoo na sipendi kuamshwa.

kama ukumpa kwanini usiamshwe????? mpe shughuli ya ukweli akilala anakuwa hoii unazani atakusumbua ukilala?
 
kama ukumpa kwanini usiamshwe????? mpe shughuli ya ukweli akilala anakuwa hoii unazani atakusumbua ukilala?

Hiyo labda kwa mume unayelala naye kila siku, lkn hawa wetu tunaokutana twice a year ni taabu tupu, utaamshwa hata mara 3!!
 
Hiyo labda kwa mume unayelala naye kila siku, lkn hawa wetu tunaokutana twice a year ni taabu tupu, utaamshwa hata mara 3!!

amka hata mara 6 utalala mchana au weekend😊😊
 
Sijakutana na ''shumizi'' siku nyingi sana. Najua vijana wengi hata hawajui ni kitu gani hii.
 
wanawake wa wapi hao mnawazungumzia?

huku tuliko wengine tulishasahau mambo ya shumizi na gagulo na skin loose sijui skin tight....sometimes hata pichu tunasahau kuvaa:redfaces:
 
Nataka nilualike kule kwetu Terati na Laroi ili uwafunde wananchi wangu
 
Hapo mnakuwa mmeonana w.end na j3 kazini, patia picha huo usingizi wake.

usiichukulie poa kazi ya usiku my dear by the way kama nyinyi ni wapenzi lazima mjue ile kama ratiba nzima ya kila mmoja

japo mimi sipendi mapenzi ya ratiba hivi kweli unataka kjniam ia dakik 20 mpaka 40 kwa suiku mmoja kesho yake utashindwa kufanya kazi vizuri????
 
Mimi sioni logic kabisa kwa mfano mmeenda kabisa eneo la tukio eti unaona ukianza mautundu wewe kama mtoto wa kike basi utaonekana malaya nop my dear.

Kwanza mpaka wewe ufike pale eneo la tukio either Lodge au Guest house au nyumbani kwa jamaa tena chumbani jua tayari uko stage nyingine kabisa acha kujitia utoto wewe kila siku unataka kubakwa? Hata nyie mlioolewa kila siku unataka mapambano ya kuvuana nguo ili iweje?

Na sio kuvua wewe mwenyewe mvue wewe hata kama sio mara zote basi walau mara moja moja haya kama unataka kuvuliwa uwe na nguo chache na nyepesi.

Sasa mtu umevaa dera ndani una shumizi ndani ya shumizi una bukta pana tu nda ni ya bukta una skintight ndani yake kuna chupi khaa! Kwanini usibakwe wewe?

Muanze jamaa kuwa mtundu jamani yaani kusubiri kila siku kubakwa unalala na jezi kitandani.

HUTA ENJOY MAPENZI MPAKA UNAINGIA KABURINI

We Dada hivi umeolewa wewe lakini??
 
wanawake wa wapi hao mnawazungumzia?

huku tuliko wengine tulishasahau mambo ya shumizi na gagulo na skin loose sijui skin tight....sometimes hata pichu tunasahau kuvaa:redfaces:
haaha utayakumbuka maneno yangu siku umikutana nalo
 
usiichukulie poa kazi ya usiku my dear by the way kama nyinyi ni wapenzi lazima mjue ile kama ratiba nzima ya kila mmoja

japo mimi sipendi mapenzi ya ratiba hivi kweli unataka kjniam ia dakik 20 mpaka 40 kwa suiku mmoja kesho yake utashindwa kufanya kazi vizuri????

Hakuna anayependa, mihangaiko ya maisha ndio sometyms hupelekea hayo kutokea
 
Back
Top Bottom