Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

haa haaa haaa waaabieeeee mama yoyooooo

Me nakereka sana unakuta amepigiaa mbukta wakee mpanaaa km mkoroga zege
 
Baelezee baelewe...habari ya kujitupia mipensi ya jinsi na mipuchi ya V.I.P kwa ndani kama mnaenda kwenye vita hatutaki.,
 
Mimi sioni logic kabisa kwa mfano mmeenda kabisa eneo la tukio eti...Sasa mtu umevaa dera ndani una shumizi ndani ya shumizi una bukta pana tu nda ni ya bukta una skintight ndani yake kuna chupi khaa!....

....Eti gagulo, skintight na bukta, lol!....huyu ndo dada wa kimasai buana!
 
haa haaa haaa waaabieeeee mama yoyooooo

Me nakereka sana unakuta amepigiaa mbukta wakee mpanaaa km mkoroga zege

mwambie tu au mnunulie nguo unazopenda
kuhusu vitendo hapo ndo naposhindwa kupatA picha mwambie baby fanya hivi nipe mautundu bana
sijui kwanini mtu anaona kufanya ma skills ya nanmna hiyo ni dhambi wakati u akuta aligangulia lodge hahahaha alafu hatakupiga maiki anaona ni dhambi kubwa sana sembuse kuanza yeye maujanja
 
Mwanaume atakula kwa jasho lake.Hakuna jambo rahisi kwa mtoto wa kiume.OVER!
 
Baelezee baelewe...habari ya kujitupia mipensi ya jinsi na mipuchi ya V.I.P kwa ndani kama mnaenda kwenye vita hatutaki.,

ila ifikie hatua umnunulie unachopenda au mumbie unapenda nini kwa vitendo
 
Sasa mtu umevaa dera ndani una shumizi ndani ya shumizi una bukta pana tu nda ni ya bukta una skintight ndani yake kuna chupi khaa! Kwanini usibakwe ?
 
#Masai dada,

mada zake zote ni za kutegana tu.
hili jukwaa la mapenzi so tunaongea mapenzi ukitegeka anguka hahah

ndo maana ukiwa intelligence na mada zao za wachawi usiku haulali hahhahh kwa hiyo upo sahihi kutegeka 😂😂
 
Sasa mtu umevaa dera ndani una shumizi ndani ya shumizi una bukta pana tu nda ni ya bukta una skintight ndani yake kuna chupi khaa! Kwanini usibakwe ?
na kanga juu haha
 
Back
Top Bottom