Na wengi wa Watanganyika wanashindwa kuitafsiri na kuita dharau.Nafkiri mkuu sio wote ila wengi wenye pesa wana confidence ya hali ya juu sana.
Tajiri ni nani? Wewe ni tajiri?!Sio kwamba hasalimii wengi ni waoga matajiri wengi hua tunaogopa watu ambao wana life la kawaida kujihami ni muhimu umebeba simu la million 4 unaendesha gari ya million 200 lazima uwe na tahadhari, usipokua makini unaweza ukafa mapema
R.I.P Lucky Dube
Huwezi ridhisha kila mtu mkuu.Sidhani
Ndio mana wanasema ukiwa na pesa tabia yako halisi inaonekana!ni tabia ya mtu! inayosababishwa na fedha
Yeah, dharau ni tabia ya mtu!Na tabia yenyewe ni dharau
Hili nalo neno haswa. Umeona mbali kaka!Tafuta pesa wewe halafu uone kama utakubali kusumbuliwa na vijing jinga vyenye roho ya kichawi
Ukiwa na pesa ile tabia yako halisi itaonekana either dharau au la!..inategemea na mtu na tabia zake!So tuconclude kwamba ukiwa na pesa lazima utakua na dharau