Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Kabla sijawa na gari nilikuwa napita mtaani nasalimia hawaitiki na Wala hakuna mwenye time na Mimi, ila baada ya MWENYEEZI MUNGU kunibariki nikapata gari sasa[emoji23][emoji23][emoji23] "huyu bwana Toka apate hako kamkangafu dharau nyingi hasalimii Tena anajiona matawi anatutimulia vumbi muacheni tu tutauona mwisho wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] taabu tupu
[emoji15] [emoji119]
 
Wakuu habarini
I hope mko poa

Da! hivi ni kwanini pesa iko sambamba na dharau yaani mtu akiwa na pesa tu anajiona mwamba, dharau zinamjaa,, hasalimi watu anawaona kama kijambo wakati akifa watu aliokua anawadharau ndio na mchimbia kariburi lake na kumzika.

Mimi binafsi siezi kuwa na dharau eti kisa nina pesa.

Je, wewe unadhani nini hasa kinafanya mtu mwenye pesa kuwa na dharau ya hali ya juu?

NB. Pesa ni sabuni ya roho na pia ni shetani.
Ngoja upate pesa ndo tutajua kama na wewe unadharau au laah unadhaani wenye pesa wanajijua kama wanadharau nop hawajui wao wanaona ni kawaida tu na ndivyo wanavyotakiwa kuishi ila sasa sisi maskini ndio tunaona wanadharau.
 
Watanzania twaombeana mabaya sana
 
"Mtu mwenye pesa atakuwa na marafiki wengi lakini watakatifu kwake itakuwa ngumu,

Hawezi ishi milele ,oooh milele

Kila kitu atapinga lakini neno la Mungu atashindwa .

Cheza mbali sana na mtu mwenye pesa,mwenye pesa sio mwenzako oooh ,atafanya baya au zuri alitakalo ,lakini sio yeye ni pesa ni pesaaaa zinazomzuzuza eeeeh"
 
Ngoja upate pesa ndo tutajua kama na wewe unadharau au laah unadhaani wenye pesa wanajijua kama wanadharau nop hawajui wao wanaona ni kawaida tu na ndivyo wanavyotakiwa kuishi ila sasa sisi maskini ndio tunaona wanadharau.
Haya bana sipingi kitu
 
Wakuu habarini
I hope mko poa

Da! hivi ni kwanini pesa iko sambamba na dharau yaani mtu akiwa na pesa tu anajiona mwamba, dharau zinamjaa,, hasalimi watu anawaona kama kijambo wakati akifa watu aliokua anawadharau ndio na mchimbia kariburi lake na kumzika.

Mimi binafsi siezi kuwa na dharau eti kisa nina pesa.

Je, wewe unadhani nini hasa kinafanya mtu mwenye pesa kuwa na dharau ya hali ya juu?

NB. Pesa ni sabuni ya roho na pia ni shetani.
Ipate tujue Tabia Zako
 
"Mtu mwenye pesa atakuwa na marafiki wengi lakini watakatifu kwake itakuwa ngumu,

Hawezi ishi milele ,oooh milele

Kila kitu atapinga lakini neno la Mungu atashindwa .

Cheza mbali sana na mtu mwenye pesa,mwenye pesa sio mwenzako oooh ,atafanya baya au zuri alitakalo ,lakini sio yeye ni pesa ni pesaaaa zinazomzuzuza eeeeh"
Umecoment kitaalamu
 
Back
Top Bottom