Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Wakuu habarini
I hope mko poa

Da! hivi ni kwanini pesa iko sambamba na dharau yaani mtu akiwa na pesa tu anajiona mwamba, dharau zinamjaa,, hasalimi watu anawaona kama kijambo wakati akifa watu aliokua anawadharau ndio na mchimbia kariburi lake na kumzika.

Mimi binafsi siezi kuwa na dharau eti kisa nina pesa.

Je, wewe unadhani nini hasa kinafanya mtu mwenye pesa kuwa na dharau ya hali ya juu?

NB. Pesa ni sabuni ya roho na pia ni shetani.
Dharau anayekudharau
Muheshimu anayekuheshimu

Its that simple 😁
 
hasalimi watu anawaona kama kijambo
Sio kwamba hasalimii wengi ni waoga matajiri wengi hua tunaogopa watu ambao wana life la kawaida kujihami ni muhimu umebeba simu la million 4 unaendesha gari ya million 200 lazima uwe na tahadhari, usipokua makini unaweza ukafa mapema

R.I.P Lucky Dube
 
Huyo alizipata Kwa Mbinu haramu .

Hawa Moja Kwa Moja wanakuaga na Roho mbaya maana Mungu hayupo Ndani yao .


Na ni wengi sana 80% ya matajiri Wana Roho mbaya, dharau sana
 
Unachanganya limbukeni na mtafutaji.
Hakuna tajiri mtafutaji mwenye dharau, ukiona mwenye pesa ni tajiri yupo makundi haya mtumishi wa umma, mwizi, kapiga madini, mtoa kafara
 
Back
Top Bottom