Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Sio wote lakini wenye pesa za mawazo au nyepesinyepesi ndio Wana hizo dharau. Watu wengi wenye pesa au utajiri wa kyeleweka na mafanikio thabiti, hawana dharau. Hawana sababu ya kufanya hivyo. Shida ipo kwetu tukibahatisha kidogo tunataka watu wote wajue Hali yetu ndio maana dharau na makelele yanakua mengi.
[emoji115] wanakera sana
 
Tafuta kwanza pesa ukishapata utajua tu kwann watu wanakuwa hvyooo
 
[emoji115] wanakera sana

Usizingatie Kila jambo linalofanywa na wengine mkuu, utaishia kutumia sana.

Lakini pia unachokiona dharau kwako huenda kikawa kitu tofauti Kwa mwingine. Kuna wale wenye hulka na asili ya dharau bila kujali anahali Gani, awe na pesa au asiwe nazo ni dharau tu.
 
Nimekuelewa mkuu
 
hawana dharau ila wapo serious namambo yao weunaamka asubuhi unawaza kuslimiwatu huu niupuuzi usio namfano tafuta pesa uyafurahie mema ya nchi
 
Mtu mwenye pesa na asiyekuwa na pesa ni level mbili tofaut we utamuona anadharau ila akikutana na wenzie wenye pesa wanamuona kawaida tu.

Hata wewe ukipata pesa utakuwa na watu wa level hiyo hiyo na maskini watakuona unadharau.

Ndio maisha yalivyo bwana mdogo.
 
Sawa izzy
 
Sisi wenye pesa wala hatuna dharau ,ni jinsi tu nyie mnatuchukulia ,kulingana na viwango vyenu vya namna ya kuishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni utan tu.
 
Back
Top Bottom