Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,889
- 35,950
Wimbo huoUmecoment kitaalamu
Wimbo huoUmecoment kitaalamu
ila mkuu sio wote wenye tabia hiyo? Wapo watu wanapesa lakini hawana dharau, washamba wa mafanikio wasiojua namna ya KUISHI NA MASKINI ndio hua na dharau,Ni tabia ya kutokuthamini au kumuheshimu mtu au watu kisa una kitu Fulani masalani pesa... nk
Kwani viashiria ya dharau ni vipi? [emoji848]Hii hua inatokea accidentally baada ya mtu kupata fedha
Eti kucheza kiduku mbele ya mlemavu we unafikri atakuchuliaje....ila mkuu sio wote wenye tabia hiyo? Wapo watu wanapesa lakini hawana dharau, washamba wa mafanikio wasiojua namna ya KUISHI NA MASKINI ndio hua na dharau,
Kiukweli maskini hapendi dharau kabisa , muda mwingine hua sio dharau bali ni kujishtukia tu , na sawa na kucheza kiduku mbele ya mlemavu wa miguu huku ukimuangalia yeye tu ! Unadhani atakufikiliaje?
Hilo sipingiIla asilimia kubwa ya watu wenye pesa wanadharua
NotedPesa ni aina moja ya Power, ukiwa nayo confidence inaongezeka sababu unajua hakuna atakayekufanya chochote hivyo unafanya unachotaka na kuacha usichotaka. Ikiwemo salamu nyingi sizizo na muhimu na people pleasing behaviors. Simple.
Ni Watanzania wengi kama siyo wote, mtu ukijiamini hata kidogo tu utaitwa mjuaji na una dharau. Ni 'majinga' sana!.Mwenye pesa huwa ana confidence au kujiamini. Hivyo Kuna tofauti Kati ya mwenye dharau na mwenye confidence.
Tafuta pesa utagundua hiyo tofauti.
Wenye confidence wamenielewa. Tafuta pesa.Andika vizuri ueleweke
Sio kweli, maskini wana inferiority complex dhidi ya wenye nacho, nime experience sana hicho kitu, hata mwenye uwezo akijisogeza kwao wanaona anajionyesha, ni internal natural chuki kama huna. Mfano ukiwanunulia bia washkaji wenye kipato hafifu wakati wanadaiwa kodi kifupi hawapendi, ingawa ww unakua hujuiNi sawa ila pesa inaleta dharau kwa kias flan ivi nime experience hii kitu
mtoa mada maelezo yako yanaonesha hauna helaaWakuu habarini
I hope mko poa
Da! hivi ni kwanini pesa iko sambamba na dharau yaani mtu akiwa na pesa tu anajiona mwamba, dharau zinamjaa,, hasalimi watu anawaona kama kijambo wakati akifa watu aliokua anawadharau ndio na mchimbia kariburi lake na kumzika.
Mimi binafsi siezi kuwa na dharau eti kisa nina pesa.
Je, wewe unadhani nini hasa kinafanya mtu mwenye pesa kuwa na dharau ya hali ya juu?
NB. Pesa ni sabuni ya roho na pia ni shetani.
nimeshamwambia mtoa mada, yaani kulingana na maelezo hana hela kabisaPesa / KIPATO /waliofanikiwa
Mara nyingi hu focus na mambo muhimu (mambo yao na biashara)
Maskin hu focus na mambo ya watu na namna wengine wanavyoishi.
Vp mtoa mada ushawah milik pesa ata kwa mwaka mmoja
Aiseee [emoji848]Kutokuthamini na kuheshimu wenzio simpo