itoko jr
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,126
- 2,542
Wakuu habarini
I hope mko poa
Da! hivi ni kwanini pesa iko sambamba na dharau yaani mtu akiwa na pesa tu anajiona mwamba, dharau zinamjaa,, hasalimi watu anawaona kama kijambo wakati akifa watu aliokua anawadharau ndio na mchimbia kariburi lake na kumzika.
Mimi binafsi siezi kuwa na dharau eti kisa nina pesa.
Je, wewe unadhani nini hasa kinafanya mtu mwenye pesa kuwa na dharau ya hali ya juu?
NB. Pesa ni sabuni ya roho na pia ni shetani.