Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Binafsi inabadilisha how we feel, pesa Ina magnify who are you. Yaani inakuza Tabia yako.
Pesa inabadilisha hisia zako Kama ulavyo chakula kitamu,unafurahia mbususu ,mziki,bia,ke nzuri akitokea mbele yako unapoteza networks,ukiona kitu kizuri,ukikasirishwa.

Kwa kifupi hela inaendesha binadamu na ni binadamu wachache mno wanaoweza kuiendesha hela.
Ukipata bilioni moja ya betpawa labda ndio tutaona dhahiri Tabia yako.
Saivi labda unajificha Mana unaishi unategemea watu so unanyenyekea Ila ukishakuwa na pesa ndefu huko billioni above 500 ndio tutakujua mkuu so saivi hatukujui. Hata jpm aliwabadilikia waliomuweka kwenye system.

Yaani Kuna pesa,sex and power ogopa hizi mambo mkuu.

Sema kikubwa pesa Mana zitaleta sex and power
Pesa pesa pesa pesa
 
Wakuu habarini
I hope mko poa

Da! hivi ni kwanini pesa iko sambamba na dharau yaani mtu akiwa na pesa tu anajiona mwamba, dharau zinamjaa,, hasalimi watu anawaona kama kijambo wakati akifa watu aliokua anawadharau ndio na mchimbia kariburi lake na kumzika.

Mimi binafsi siezi kuwa na dharau eti kisa nina pesa.

Je, wewe unadhani nini hasa kinafanya mtu mwenye pesa kuwa na dharau ya hali ya juu?

NB. Pesa ni sabuni ya roho na pia ni shetani.
Miliki kwanza pesa ndio uje useme ww huwezi kuwa na dharau ukipata pesa
 
Sasa bila roho mbaya hela itakaa? Ukijifanya unaroho ya huruma utaishiwa mapema tu maana kuna ndugu na jamaa wanajua sana kuomba
Huyo alizipata Kwa Mbinu haramu .

Hawa Moja Kwa Moja wanakuaga na Roho mbaya maana Mungu hayupo Ndani yao .


Na ni wengi sana 80% ya matajiri Wana Roho mbaya, dharau sana
 
Mtaani ukipita na gari kwa mwendo wa haraka wanasema unajiona, ukipita mwendo wa taratibu watasema waturingishia
 
salamu inaongeza nini??? naomba nikuulize ni kwa nini ikawepo??
usiniambie habari za kwanini ilikuwepo? Wewe umeshakuwa sasa na una ufahamu wa nini inaongeza, inapunguza au inabaki neutral baki na unavyoichukulia salamu...
 
usiniambie habari za kwanini ilikuwepo? Wewe umeshakuwa sasa na una ufahamu wa nini inaongeza, inapunguza au inabaki neutral baki na unavyoichukulia salamu...
Basi inapunguza haingozi
 
Kule juu kuna mchangiaji mmoja kasema hakuna mtu ambae hana dharau, halafu watu maskini wanapenda kuwaudhi watu waliovizuri zaidi yao hii inafanyika kama utani kumbe wanakujaribu ili waweze kusema eidha una dharau ama la.
Umeona ee
 
Sio wote lakini wenye pesa za mawazo au nyepesinyepesi ndio Wana hizo dharau. Watu wengi wenye pesa au utajiri wa kyeleweka na mafanikio thabiti, hawana dharau. Hawana sababu ya kufanya hivyo. Shida ipo kwetu tukibahatisha kidogo tunataka watu wote wajue Hali yetu ndio maana dharau na makelele yanakua mengi.
 
Back
Top Bottom