Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

BIBLIA INASEMA PESA NI JAWABU LA MAMBO YOTE

Jibu Langu Hili Hapa, Pesa Ipo Karibu Na Dharau Kwa Sababu Wengi Hawana Pesa Na Ni Ngum Sana Kuipata Ndio Mana Hatuwezi Fanana Viwango Vya Pesa Ndio Mana Unamkuta Mtu Anapesa Kidogo Anadharau Balaa.

Na Pili Hamna Mtu Ambaye Hana Dharau NI YESU TU NDIO ALIKUWA HANA DHARAU Kila Mtu Anadharau Sema Tunatofautiana Namna Ya Kuidhibiti Hata Wewe Ulie ANDIKA UZI HUU UNA DHARAU Ukisema Huna Utakuwa Mnafiki.

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
 
For sure kwasasa sina
 
Wakuu habarini
I hope mko poa

Da! hivi ni kwanini pesa iko sambamba na dharau yaani mtu akiwa na pesa tu anajiona mwamba, dharau zinamjaa,, hasalimi watu anawaona kama kijambo wakati akifa watu aliokua anawadharau ndio na mchimbia kariburi lake na kumzika.

Mimi binafsi siezi kuwa na dharau eti kisa nina pesa.

Je, wewe unadhani nini hasa kinafanya mtu mwenye pesa kuwa na dharau ya hali ya juu?

NB. Pesa ni sabuni ya roho na pia ni shetani.
Tafuta pesa wewe halafu uone kama utakubali kusumbuliwa na vijing jinga vyenye roho ya kichawi
 
Wanasema ""Pata Pesa Uijue Tabia yako""na wala si kukujua tabia yako,,, Kaka Pesa ni shennzyyy!!MuulizeYuda!!
 
Ipate kwanza pesa ndo utaona hiyo unayoisema ni dharau hua inakuja vipi
 
shobo zako ndio dharau sasa
Ni shobo ndiyo, salamu inaongeza nini? Maana hata mimi mtu akinipigia simu isiyo na tija kwa lengo la kunisalimia huwa namuona kama hana kazi though sio tajiri.
 
Pesa huambatana na shughuli nyingi zinazokufanya kuwa na mambo mengi kila wakati.....jamaa na marafiki wanakuhitaji lakini unashindwa kuonana nao kutokana na ratiba ngumu.....

Muda mchache unaopata nafasi ya kupumzika unautumia kulala na kupumzika na familia.......

Lakini hayo yanayotokea ni wewe pekee ndiye unaotambua washkaji na jamaa hawajui......na wao wanakuhukumu kwa utashi wao na sio kwa uhalisia wako....ndio baadae huzaliwa neno anajisikia na anaringa.....

Wachache waelewa mambo yanavyokwenda wanaendelea na mishe zao na kukuombea neema.......

Unapojaribu kujiiba ili kwenda kubalishana nao mawazo unajikuta kimawazo na fikra mnaishi duniani mbili tofauti...... maongezi Yao na fikra zako vinakufanya ujione mgeni eneo hilo.....

Wakati unajaribu kujichanganya na kutafakari mada na maongezi unapigiwa simu kuwa mzigo wako bandarini umeshafika.....mara unapigiwa simu kuwa gari lako na biashara limeparamia nyumba za watu......unajikuta unaondoka ili upate muda wa kupambana na mambo yako huku utasikia anajiona........
many do not know about it at the end of the day they end up judging
but there are also those with money and contemp
 
Pesa ni kitu ingine bro..mi mwenyewe nimeziotea mwaka jana yaani nimekuwa na matabia ya hovyo hovyo na ya ajabu hadi ndugu zangu wananishangaa,hivi hapa napambana nirudi kama zamani lakini wapi
Aise jitahidi urudie asili yako.... dharau ni mbaya sana
 
Ni shobo ndiyo, salamu inaongeza nini? Maana hata mimi mtu akinipigia simu isiyo na tija kwa lengo la kunisalimia huwa namuona kama hana kazi though sio tajiri.
salamu inaongeza nini??? naomba nikuulize ni kwa nini ikawepo??
 
Mtu mwenye pesa mfanya Biashara tycoon hawezi kuwa na dharau maana anahitaji watu ili atimize michongo yake then tupe Tafsiri ya dharau maana hata Mimi Sina pesa lakini sipendi kusalimia watu.
Dharau ni tabia ya kutokuthamini au kuheshimu mtu au watu.kisa unakitu Fulani let say pesa
 
Back
Top Bottom