de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,165
- 22,105
- Thread starter
- #41
OK. So kwako maumivu ndo hofu yenyewe?Mimi naogopa tu yale maumivu ya kwenye mchakato wa kifo mfano ugonjwa wa maumivu makali ajali
Ila kama naweza kufa kwa amani mfano usingizini au nimekaa zangu sebuleni wala hakuna tabu š„°
Maana kuna wengine huogopa kile wasiicho kijua baada ya kufa..
Wamekuwa attached na maisha to the point akiambiwa aache kila kitu afe anapata hofu..