Kwanini mtu huogopa? Hasa kufa kwa nini?

Kwanini mtu huogopa? Hasa kufa kwa nini?

Kwa sababu kuna MwenyeziMungu

Na hiyo ni dalili tosha miongoni mwa dalili kuwa kunaye mungu muweza wa yote


(Wanaosoma elimu ya dini ya kiislamu wanaelewa sana)
 
Kifo ni mwisho wa uhai wa binadamu ni sawasawa na hakuna ni kama vile mtu hajazaliwa yeye hakuna tofauti tu ni alikuwepo ila kifo si cha kuogopa ni hali ya maisha lazima tufe tubalance ecosystem
 
Mbona mimi siogopi ? tatizo mnatishwa sana kuhusu kifo wakati unaenda kumpuzika .
 
Kuna mambo kadha wa kadha hasa ya kiimani, kijamii na kiuchumi

Dini zinasema siku ya mwisho ukifa utaenda kuchomwa moto hasa sisi wenye dhambi na ukiangalia kila mtu ana dhambi

Woga wa kufa kwani hujui huko uendako kama utafufuliwa au ndo utabaki milele kuwa mbolea.

Tunaogopa kufa kwasababu tutaacha fahari zetu majumba yetu, magari yetu, pombe zetu mademu zetu n.k

Wengine wanakuwa na hofu ya kufa kwasababu hawajui watakufaje taani kifo gani

NB Ningekuwa namwona huyu kifo ningemuhonga niendelee kula mema ya dunia kabla ya mwili wangu hujaanza kuliwa na kuwa mbolea na mali zangu zikigombaniwa na wavivu niliowaacha.
 
Fear of unknown

Kufa ingekua kama kuhama bara yaani Africa to America, kila mtu angetazamia kifo chake kwa upendo na furaha
 
Fear is your brain's built-in alarm system designed to keep you alive. It is a natural and healthy emotion that helps you react quickly to danger.
Most people don't fear Death (as Death) but many people Fear on How or the Cause of their Death. To die is a MUST/OBLIGATORY, is natural, and sometimes there are some people who pray to die soon esp. the elderly people. But NONE of them pray for the course/the way which will lead to their death - Never. That is actually what they fear.
 
Back
Top Bottom