Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na changamoto ya mtandao wa Halotel hasa internet na mawasiliano ya kawaida, lakini kibaya zaidi kampuni haitoi ushirikiano kwa wateja wake na ukiangalia kila mteja analipia huduma hivyo ni lazima aipate sio ombi tena kwa maana ameshailipia.
Pia soma: KERO -...
Jana asubuhi niliweka vocha za Tsh.15,000. Tsh 5000 nikaunga MB na kiasi kilichobaki nikakiacha nije niunge Salio maana nilikuwa bado na kifurushi.
Baada ya muda nakuta kwenye ile 10000 Kuna upungufu wa sh. 400. Hapo sina huduma yoyote niliyojiunga. Ilipofika mida ya saa 12 jioni nikakuta tena...
Halotel Tanzania ina zaidi ya miaka 8 katika utoaji wa huduma ya mawasiliano nchini lakini inashangaza kuna mambo madogo madogo tu wanashindwa kuyaweka sawa ili kuiboresha huduma yao kimawasiliano
Jambo la kwanza ni namba kuwa busy pale unampompigia mtu wa halotel ukiwa na laini ya Halotel pia...
Wakuu,
Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa mitandao yote, yaani Voda, Airtel ns mingine.
Cha kushangaza shida hii ya mtandao inabagua baadhi ya...
Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi!
Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu...
Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
Halotel hawana 4G
Narudia hawana 4G
Ninaishi katikati ya mji kabisa mita kadhaa tu kutoka minara yao ilipo lakini cha ajabu speed yake ni ya kobe yaani hata kb haifiki inatembea 5 bps yaan byte yaani hata kb hawafiki.
Ukiona imesoma hata 2.2k/s hapo ndo imejitahidi.
Nilidhani ni nyumbani...
Kwanza niwape salamu kabisa, shikamononi halotel Tanzania.
Hivi inakuaje Taasisi kubwa kama hii kukosea kuandika? Unamaana wao hawaoni au maIT wao hawapo serious na kazi?
Au mimi ndio sielewi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.