BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Ndio maana wanawake siku hizi wanataka mwanaume mwenye nazo tayari...mambo ya kuchuma wote halafu akatumbue mwingine nani anataka
usikariri mkuu mbona nac tunawajua wanao ishi vyema na kupendanaMke wa pili ni janga ndani ya familia ya mke wa kwanza. Ushuhuda ni mwingi na wengi kama hawakusambaratisha ndoa ya kwanza basi mke mkubwa alijiongeza hadi huyo wa pili akafukuzwa.
Unajua KARANJA nimepitia mengi sana wakati mdogo na niliapa sitofanya kosa alofanya mzazi kwa watoto wangu,labda mwenyezi mungu atake lakini ntajitahidi na nazidi kumuomba mwenyezi mungu,wanaume hawa kawii kubadilika,ndio mana staki kuja kujuta when its too late,hapa nna nusu ya Team ya mpira ukiondoka kwake huyu bwana atakae chukua mzigo wote nani?lol bora nijipange Karanja ...Daah hakika wewe una siasa kali,yaani ungekuwa mke wangu nisinge hata jaribu kuota kuongeza mke,maana unaweza ukanikaanga kama samaki,anyway hongera kwa msimamo.
Kabisa tenaaaaaaaa choka nafsi zetu kula shida na mwenzio na hara anakula na mwengine anaejua kufunga kucha navaa Wig..Ndio maana wanawake siku hizi wanataka mwanaume mwenye nazo tayari...mambo ya kuchuma wote halafu akatumbue mwingine nani anataka
aiseee. nakusalimia.mke wa pili anakuwa na tamaaa wengi wanaoa baada ya kuwa wamejijenga sana so kwa vile mali hajatolea jasho ndo anajikakamua mrad aonekane nae yupo
mi wangu nitamlisha yamini hakuna kuoa tena
Yaani mule mule, ndoa inalelewa haijiendei endei tu.hiyo pia kweli wapo baadhi ya wanawake wakisha olewa ndio basi hawajijui tena wanadhani wameshafika na akishakua na watoto ndio oooh anitoe nani ndani ya nyumba...
lakini cha zamani nacho kina Raha yake ivoo..
Wala usijali KARANJA,mie mbona nimeshajipanga na Tukio kama hili as kila nnachochuma hua ni cha watoto 50% na 50% ni yangu yeye anaekuja aanze nae upya manake haikua rahisi kwangu iweje mwengine aje ale bata as if tulitabika wote,na still bado natabika labda aoe nisijue nikijua atahama yeye lol..
Wapo wanaoshare uume bila mwamvuli wa imani, kwa Africa it is not the matter of imani..... It's a cultural practiceHii ya kushea uume ni aina ya unyanyasaji mkubwa wa kijinsia, sema umejificha kwa mwamvuli wa imani!!!
marahaba..............aiseee. nakusalimia.
Ruksaaa aende as long as watoto wangu na secured future please ki roho safii,ikiwa ameamua siwezi kumzuwia ni raha yake na furaha yake ni first priority yangu..Hivi ni kwanini wanawake mnakuwaga very conscious na mali /material things?
Vipi ukiachiwa kila kitu na mwanaume akaenda zake kuanza upya na mwanamke mwingine roho yako itakuwa kwatu?
Najua mkuu..Yaani mule mule, ndoa inalelewa haijiendei endei tu.
Mali ni mtihani Sana ndugu yangu...Hivi ni kwanini wanawake mnakuwaga very conscious na mali /material things?
Vipi ukiachiwa kila kitu na mwanaume akaenda zake kuanza upya na mwanamke mwingine roho yako itakuwa kwatu?
Mali ni mtihani Sana ndugu yangu...
Mtihani mkubwa mnoo haswa linapokuja suala la ukewenza.
Umechuma na mume, halafu anakuja mtu anaingia kwenye ile 'share' halafu anaanza kukudharau, anaona yeye kuolewa ni kwa sababu wewe hufai, inakera.
Namuomba Mungu hayo yakinifika yanikute nimejijenga kiasi cha kusimama mwenyewe kulea familia yangu.
Maana kwa uzoefu ni kuwa hata nyie waume zetu mkishaoa mke mdogo mapenzi mnahamishia huko. Wengine wanatelekeza kabisa wake wakubwa.
Hi MMU,
Nina Shogangu mumewe ameoa mke wa pili lakini yule mdada ni mkorofi utadhani yeye ndio mke wa kwanza, wakati mke wa kwanza ndio alokula dhiki na yule mume sasaivi mambo safi kiasi mume ndio kaongeza mke wa pili.
Wake jamani mnapoingia kwenye ndoa kama mke wa pili au wa 3 hebu muheshimu mwenzio, ujue na yeye ana moyo na sio rahisi kama mnavyodhania.
Na wanaume mkiongeza wake ebu msimsugue roho yule wa mwanzo ni mama wa watoto wako. Mtetee inapobidi na mpe priority kama mke wa kwanza sio kila kitu iwe kosa lake tuu.
Inshallah Mwenyezi Mungu awape Subra manake si mtihani mdogo, naona huruma mtu mumewe akioa. Mwenyezi Mungu aninusuru manake huyu wangu akioa sijui itakuwaje.
Unadhani hiyo ndio sababu yakumueke au kumfanya asio mke wengine? hawatabiriki hawa viumbe sema kujitahidi wajibu wangu ...ndo ujifunze kumrizisha bedi sasa,,kukalia muhogo na kukata feni,,styles kibao kifupi uwe unamchosha ,,,,akija kazini mkiingia ndani tuu unaanza kuchezea maiki,,hatatamani mwingine
Unajua KARANJA nimepitia mengi sana wakati mdogo na niliapa sitofanya kosa alofanya mzazi kwa watoto wangu,labda mwenyezi mungu atake lakini ntajitahidi na nazidi kumuomba mwenyezi mungu,wanaume hawa kawii kubadilika,ndio mana staki kuja kujuta when its too late,hapa nna nusu ya Team ya mpira ukiondoka kwake huyu bwana atakae chukua mzigo wote nani?lol bora nijipange Karanja ...