KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Hongera kwa msimamo,pia usisahau ibada na maombi.Unajua KARANJA nimepitia mengi sana wakati mdogo na niliapa sitofanya kosa alofanya mzazi kwa watoto wangu,labda mwenyezi mungu atake lakini ntajitahidi na nazidi kumuomba mwenyezi mungu,wanaume hawa kawii kubadilika,ndio mana staki kuja kujuta when its too late,hapa nna nusu ya Team ya mpira ukiondoka kwake huyu bwana atakae chukua mzigo wote nani?lol bora nijipange Karanja ...