Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

Mara nyingi makosa sio ya mke mdogo Makosa ni huyo Mume baadhi ya wanaume akiaza uhusiano huko nje mpaka aanze kumponda mke wake au kumsema vibaya au kumuonyesha kimada kuwa hamuogopi au kumuheshimu, sasa yule kimada akija kuingia kwenye ndoa nae anafanya muendelezo, wa kumcontrol bwana kupitia mkewe na yale madhaifu yake,

KAMA MUME UNAMUHESHIMU MKE WAKO, NA KUMJENGEA HESHIMA KWA VIMADA/MKE, BASI HUYO MKE WA PILI NAE ATAJENGA HESHIMA HATA KAMA YA KUFAKE.
 
Kwanza hakuna mwanaume timamu anayeweza kuoa mke wa pili pasipo sababu ya msingi. Pili: Mwanamke mdogo (mke) wa pili kuwa mkorofi kwa mke mkubwa chanzo ni madhaifu ya mwanaume (mme). Tatu: Namna unvyomheshimu mke wako mkubwa ndivyo mke mdogo atakavyomheshimu na atamdharau mke mkubwa (ukorofi) kwa namna wewe mme unavyomdharau mke wako mkubwa.
kote umeongea vyema ila hapo mwanzo umeharibu kabisa ila anyway ni mtazamo wako.
 
BIBLIA INASEMA NA KUTUONYA KWAMBA HUWEZI TUMIKIA MABWANA WA WILI MANA HUWEZI ZUIA HISIA ZA UPENDELEO KWA KUONYESHA UPENDO MWINGI KWA MMOJA NA MWINGINE USIONYESHE. NDO MANA MNASHAULIWA KUO MKE MMOJA. AU BASI KAMA UMESHINDWA ACHA KUOA KABISA ILA UJUE NA UWE NA UWEZO WA KUZUHIA HISIA ZA ZINAA.
 
Kwanza hakuna mwanaume timamu anayeweza kuoa mke wa pili pasipo sababu ya msingi. Pili: Mwanamke mdogo (mke) wa pili kuwa mkorofi kwa mke mkubwa chanzo ni madhaifu ya mwanaume (mme). Tatu: Namna unvyomheshimu mke wako mkubwa ndivyo mke mdogo atakavyomheshimu na atamdharau mke mkubwa (ukorofi) kwa namna wewe mme unavyomdharau mke wako mkubwa.
Inataka mwanamme mwenye Busara na uwelewa Hasa wa Dini..
 
Kwa hili wanawake wa kiislam mna mtihani, japo kidini ruksa lakini .....
 
Mke wa pili ni janga ndani ya familia ya mke wa kwanza. Ushuhuda ni mwingi na wengi kama hawakusambaratisha ndoa ya kwanza basi mke mkubwa alijiongeza hadi huyo wa pili akafukuzwa.
 
Kwa hiyo bora nchepuko kuliko nke wa pili.
 
Mke wa pili ni janga ndani ya familia ya mke wa kwanza. Ushuhuda ni mwingi na wengi kama hawakusambaratisha ndoa ya kwanza basi mke mkubwa alijiongeza hadi huyo wa pili akafukuzwa.
Wengi wakiingia hua ni shidaaa wanakua na vishindo mpaka unajiuliza nimekosanini mie?
 
BIBLIA INASEMA NA KUTUONYA KWAMBA HUWEZI TUMIKIA MABWANA WA WILI MANA HUWEZI ZUIA HISIA ZA UPENDELEO KWA KUONYESHA UPENDO MWINGI KWA MMOJA NA MWINGINE USIONYESHE. NDO MANA MNASHAULIWA KUO MKE MMOJA. AU BASI KAMA UMESHINDWA ACHA KUOA KABISA ILA UJUE NA UWE NA UWEZO WA KUZUHIA HISIA ZA ZINAA.
Mara nyingi sana wa pili ndio anakua na sauti...
 
Back
Top Bottom