Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

Kila siku ninaomba, lakini usiishie tu kuomba, pia jiulize ikitokea uta deal nalo vipi? Inasaidia kuwa na back up plan la sivyo waweza pata uchizi. That is my back up plan!
Very true lv,mie plan yangu tangu mwanzo kila tunachonunua hua naandika jina langu 50% na 50ya watoto na am glade he is okay with it,ila sikutaka kua unfair tume jenga nyumba kwao anaishi mama yake ina jina lake na watoto mie simo,
akisema tumemalizana itaniuma as nimemzowea na he is the father of my kids lakini haitouma sana kama pale utakapo toka patupu..
 
Me and hubby, we go 50-50 and the plan is to stay together till death do us part, but life has no guarantees! So kudos to you for having a back up plan hun[emoji108]
 
Uwii radhi au maradhi ya moyo
ahahahah Radhi maradhi yanatoka wapi tena na ndio utazidisha MAHABA kwa mume manake mashindano sio mchezo,
wewe umeweka asumini mwenzio kaweka vilua,wewe ukiweka wardi mwenzio kaweka kikuba,basi ilimradi tafran..
 
Me and hubby, we go 50-50 and the plan is to stay together till death do us part, but life has no guarantees! So kudos to you for having a back up plan hun[emoji108]
Thanks lov,Inshallah muwepamoja mpaka mwisho wa maisha yenu...
 
Anakuwa mkorofi kwa kuwa,, asilimia kubwa ni kuwa alichokitegemea wakat wa tongozo sicho alichokikuta..

Asilimia kubwa ya wanawake hawapendi kuwa mke wa 2 au wa3.. Wanataka wawe kwanza....hivyo ili umpate inakulazmu wakat wa tongozo umuambie kuwa ww ndie wakwanza.

Baada ya ndoa anakuja kugundua kuwa ulimdanfanya wakat wa tongozo...

hivyo KIBURI kuonekana ni jambo lisilokwepeka maana hamna namna nyingne
 
Wako waanaodanganywa lakini wengine wanajua kua mume anamkewe lakini still anajiingiza humo humo..
 
Wala usijali KARANJA,mie mbona nimeshajipanga na Tukio kama hili as kila nnachochuma hua ni cha watoto 50% na 50% ni yangu yeye anaekuja aanze nae upya manake haikua rahisi kwangu iweje mwengine aje ale bata as if tulitabika wote,na still bado natabika labda aoe nisijue nikijua atahama yeye lol..
Daah hakika wewe una siasa kali,yaani ungekuwa mke wangu nisinge hata jaribu kuota kuongeza mke,maana unaweza ukanikaanga kama samaki,anyway hongera kwa msimamo.
 
Hii ya kushea uume ni aina ya unyanyasaji mkubwa wa kijinsia, sema umejificha kwa mwamvuli wa imani!!!
 
Funguka tu mkuu fiddi, tunajifunza kupitia makosa
swala la kuoa mmke zaidi ya mmoja kwa uelewa wangu na I mani yangu ni sunna na c lazima,pia katika kuoa kuna mambo lazima yaangaliwe uzuri na cyo kila mwanaume anaweza kumiliki mmke zaidi ya mmoja,pia unaambiwa kabla ya kuoa lazima uwe na uwezo wa kuwatimizia mahitaji yao kwanzia mavaz malaz chakula matibabu na kimapenz.kimsingi kinachozingatiwa mwanaume lazima awe mwadilifu kama uadilifu hakuna huwez miliki wake wengi bora kuacha.ila kwa mtazamo wa kawaida kuwa na wake wengi ni maumbile huwez kukwepa ila wa chache ndo wanaelewa wengi huishia kupinga tu mkuu
 
Back
Top Bottom