Ally7
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 517
- 770
Narudia kusema kuoa mke mwingine kuna sababu zake za msingi na ukifata sababu hizo faida ni kubwa kuliko hasara ila ukioa kwa matamanio hasara itakuwa kubwa kuliko faida ukielewa hivyo hutopata shida wala kuwa na maswali mengi mpaka mengine ya kufikirika.
[HASHTAG]#dini[/HASHTAG] haijamlazimisha mwanaume kuongeza mke baada ya mke wa kwanza
Au sababu za msingi kama huzijuwi uliza kwanza.
[HASHTAG]#dini[/HASHTAG] haijamlazimisha mwanaume kuongeza mke baada ya mke wa kwanza
Au sababu za msingi kama huzijuwi uliza kwanza.