maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,493
- 3,382
Wanaume tunatofautiana sana yaani jinsi nilivyo nawaombeaga sana wanawake wapate MUME kama mimi,nina huruma na hekima pamoja na busara.Kitu kikubwa zaidi ni mcha mungu na kumuumiza mtu kwa vitendo au kwa maneno hua sipendi na hua nachukia sanaHapo safi,sema wanaume wengine hawaangalii walikotoka na wake zao,sasa wangekua wamefanyiwa wao,duu pangekua hapatoshi...