NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
- #41
Kwanza hata sijui wanaona nini wake wengi maisha yenyewe haya jamani tafrani moja kwa zote..Mara nyingi makosa sio ya mke mdogo Makosa ni huyo Mume baadhi ya wanaume akiazna uhusiano huko nje mpaka aanze kumponda mke wake au kumsema vibaya au kumuonyesha kimada kuwa hamuogopi au kumuheshimu, sasa yule kimada akija kuingia kwenye ndoa nae anafanya muendelezo, wa kumcontrol bwana kupitia mkewe na yale madhaifu yake, KAMA MUME UNAMUHESHIMU MKE WAKO, NA KUMJENGEA HESHIMA KWA VIMADA/MKE, BASI HUYO MKE WA PILI NAE ATAJENGA HESHIMA HATA KAMA YA KUFAKE.