Kwanini mbuzi tu na si mnyama mwingine?

Kwanini mbuzi tu na si mnyama mwingine?

Hakuna madhara zaidi ya ule ugonjwa wa kawaida wa gout

Kutakuwa na madhara endapo yule mbuzinakanuiwa maneno kwamba yoyote atayemla mbuzi huyu apatwe na jambo flani. Kumbuka maneno yanaumba na wachawi au watumishi wa Mungu wanafanya kazi kupitia maneno/Neno.
Ukienda kwa waganga huwa wanakwambia mda mwingine nuia maneno unayotaka wewe, kwahiyo ktk ulimwengu wa roho yale maneno yanaumbika kabisa.
Ogopa sana kula hovyo kwenye mashuhuli ambayo hujui watu washeherekea nini, ogopa kula chakula kwenye matambiko hata kama ni ya kwenu a hujui wanatambika nini n.k
Kwahiyo huyo mbuzi kama alinuiwa maneno basi atakuwa na madhara kama huyo aliyemla hana kinga.
 
Hapo ni sahihi kabisa, hasa mbuzi au chochote cha albadiri
 
Nilishawahi kuweka mada ya mbuzi wa ndafu kuwa ni ibada ya kishetani, mjadala ulikuwa mzito na nilishutumiwa sana mpaka pm, hii ni kwa sababu iligusa Mila na tamaduni za makabila ya watu.

Kulikuwa pia na mada ihusuyo mbuzi wanaozurura mitaani, wanaitwa wa laana ikawa nayo ni mjadala uliogusa hisia za wengi
Si mara moja au mara mbili kusikia kuhusu mbuzi wa shughuli... Ni shughuli gani hiyo??? Kwanini asiwe kondoo au punda au Ng'ombe?

Mbuzi hasa beberu ni alama ya kuzimu, ni alama ya shetani na imani za kishetani na dunia ya giza, ndio maana laana na mapepo yote hutupiwa mbuzi kwakuwa kule ni Kama nyumbani kwao.

Mbuzi hawa wanaoitwa kwa jina lingine mbuzi wa albadiri hawafi hawaugui hawagongwi na magari na kamwe huwezi kuwakuta kwenye sehemu zisizo na watu, kamwe huwezi kukuta Mzoga wa hawa wanayama, na kama ukiukuta basi huyo alikuwa kenge kwenye msafara wa mamba.

Waganga wengi wa kienyeji na mambo ya Kiza humtumia Sana mbuzi Kama sehemu ya kafara na kinachochukuliwa ni damu na Kichwa tuu, hiki ndio hutengeneza muungano na nguvu za kuzimu.

Cha kushangaza ni kwamba mapepo huwaingia wanawake zaidi kuliko wanaume, na kwa wanyama mbuzi ndio hutumika zaidi kuliko wanyama wengine unajua ni kwanini?

Mniwie radhi kwa picha nitakayoweka, ni sehemu ya kuelimishana na kujuzana visivyosemwa, Nina Heshima na adabu kwa kila mtu, hasa mama zetu, picha hii isitafsiriwe Kama dhihaka... Nimetoa angalizo hili mapema.

Mfanano wa via vya uzazi vya mwanamke na kichwa cha mbuzi beberu ndio vinatengeneza colabo ya ajabu unaovutia nguvu za kuzimu na mapepo

Yaani we jamaa ni mshirikina.mzinzi,mnafiki,mchawi,kigagula,alwatani,mlozi,mwanga,

Sijawahi ona mtu wa kaliba yako hapa jf. Afu mtindo wa kunitumia pm za vitisho ukome kuanzia leo.

Mshirikina mkubwa weweeeee
 
Naitwa mshana jr, ndio jina langu halisi, na hiyo picha ni Mimi mwenyewe sijawahi kutoa vitisho bali nikisema kitu ujue nitafanya Chukua hii kama reference
 
Last edited by a moderator:
................,

Nijuavyyo kuna siri kubwa mno ya binadamu kupewa uongozi wa hivi viumbe, naomba ijulikane kwamba mbali na uwepo wa viumbe kama wanyama , wadudu, ndege na viumbe wa kwenye maji pia hawa viumbe wanakazi kubwa katika kurahisisha maisha ya mwanadamu..na pia katika tabia za hao viumbe tunajifunza mengi katika maisha

La msingi ni kuwaheshimu na kuwa waadilifu kwa viumbe vyote bila kujali uharamu wao au matumizi yao katika jamii..

Mwisho hongereni wenye elimu na endeleeni kusoma na kuelimika kwa manufaa ya ulimwengu.
 
Kutakuwa na madhara endapo yule mbuzinakanuiwa maneno kwamba yoyote atayemla mbuzi huyu apatwe na jambo flani. Kumbuka maneno yanaumba na wachawi au watumishi wa Mungu wanafanya kazi kupitia maneno/Neno.
Ukienda kwa waganga huwa wanakwambia mda mwingine nuia maneno unayotaka wewe, kwahiyo ktk ulimwengu wa roho yale maneno yanaumbika kabisa.
Ogopa sana kula hovyo kwenye mashuhuli ambayo hujui watu washeherekea nini, ogopa kula chakula kwenye matambiko hata kama ni ya kwenu a hujui wanatambika nini n.k
Kwahiyo huyo mbuzi kama alinuiwa maneno basi atakuwa na madhara kama huyo aliyemla hana kinga.
Asante kwa somo zuri Mkuu
 
Je ni mbuzi tu au wanyama wote wanaonenewa?
 
Oya habari za siku? Hivi ile tabia yako ya kuvua nguo na kubinua makalio vichochoroni ukishalewa umeacha? Na vipi shemeji kurudi au bado? Maana ile ishu ya mwisho kurudi he unanuka kinyesi ilifedhehesha famiria yote na majirani

K la mama yako
 
yaani dada una vituko wewe. Ah nilisahau kumbe ndo upo mwezini....

Chagua lowassa

Hahahaaa nimecheka sana hapo juu huyo mdau aliyekuacha uchi badala ya kujibu umeishia kutukana...
Sikujua kumbe ndio tabia zako nitakutafuta kama nilivyokuahidi nikupe ofa, kisha nikajifaidie
 
Oya habari za siku? Hivi ile tabia yako ya kuvua nguo na kubinua makalio vichochoroni ukishalewa umeacha? Na vipi shemeji kurudi au bado? Maana ile ishu ya mwisho kurudi he unanuka kinyesi ilifedhehesha famiria yote na majirani

Asante kwa somo zuri Mkuu

Hahhahaaaa Duuu, ungemjibu kama si kweli au la
 
Na kuku imekaaje maana waganga wanazipenda sana

Mbuzi....kuku...Ng'ombe...hizo ni Kafara sasa unapokwenda kwa mganga nakueleza shida yako....Mganga atauliza Madhabahu yake kwamba kutokana na shida yako Madhabahu inadai kafara gani ili kz yako ifanikiwe ndio huyo Kuhani wa Shetani atakwambia....
 
Mshana jr embu tusaidiane hapa ikiwa hivi viumbe ambavyo Mungu kavimilikisha kwa binadamu leo vinapataje power kwa shetani, kuna uhusiano gani kati ya ndafu au kichwa cha mbuzi na mji wa uzazi kwa wanawake katika uumbaji, je Mungu anasiri na shetani

Vyote vilivyo Chini ya jua na milki ya Ulimwengu alipewa shetani baada ya kufukuzwa mbinguni
 
Back
Top Bottom