Kwanini mbuzi tu na si mnyama mwingine?

Kwanini mbuzi tu na si mnyama mwingine?

Duh!umesema supu ya mbuzi nimekumbuka mbali enzi za utoto tumeingia chaka kuwinda ndege mara tukakurupusha katoto ka mbuzi tukakakamata faster dogo mmoja akajipa jukumu la kurudi kwao kuchukua sufulia akaelekezwa qibla na mambo yakajipa tumekaa tunapiga story ili tule nyama kuni za kutosha zimechochewa.Jamaa kuja kufunua ili aone nyama imeiva anakuta uji watu tukapagawa kuwahadithia washkaji ndo kutuambia kalikuwa hakajakomaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Nilishawahi kuweka mada ya mbuzi wa ndafu kuwa ni ibada ya kishetani, mjadala ulikuwa mzito na nilishutumiwa sana mpaka pm, hii ni kwa sababu iligusa Mila na tamaduni za makabila ya watu.

Kulikuwa pia na mada ihusuyo mbuzi wanaozurura mitaani, wanaitwa wa laana ikawa nayo ni mjadala uliogusa hisia za wengi
Si mara moja au mara mbili kusikia kuhusu mbuzi wa shughuli... Ni shughuli gani hiyo??? Kwanini asiwe kondoo au punda au Ng'ombe?

Mbuzi hasa beberu ni alama ya kuzimu, ni alama ya shetani na imani za kishetani na dunia ya giza, ndio maana laana na mapepo yote hutupiwa mbuzi kwakuwa kule ni Kama nyumbani kwao.

Mbuzi hawa wanaoitwa kwa jina lingine mbuzi wa albadiri hawafi hawaugui hawagongwi na magari na kamwe huwezi kuwakuta kwenye sehemu zisizo na watu, kamwe huwezi kukuta Mzoga wa hawa wanayama, na kama ukiukuta basi huyo alikuwa kenge kwenye msafara wa mamba.

Waganga wengi wa kienyeji na mambo ya Kiza humtumia Sana mbuzi Kama sehemu ya kafara na kinachochukuliwa ni damu na Kichwa tuu, hiki ndio hutengeneza muungano na nguvu za kuzimu.

Cha kushangaza ni kwamba mapepo huwaingia wanawake zaidi kuliko wanaume, na kwa wanyama mbuzi ndio hutumika zaidi kuliko wanyama wengine unajua ni kwanini?

Mniwie radhi kwa picha nitakayoweka, ni sehemu ya kuelimishana na kujuzana visivyosemwa, Nina Heshima na adabu kwa kila mtu, hasa mama zetu, picha hii isitafsiriwe Kama dhihaka... Nimetoa angalizo hili mapema.

Mfanano wa via vya uzazi vya mwanamke na kichwa cha mbuzi beberu ndio vinatengeneza colabo ya ajabu unaovutia nguvu za kuzimu na mapepo

Blod... Hii habari haiko huru kujadilika.
Red[/red]... Hapo ndo imekingwa kabisaa..
 
Mshana Jr kuna pahala nilienda nikamkuta kondooo wa mizimu, anaachiwa muda wowote, hata usiku alala nje ndo kitu gani hiki
 
Kwa macho ya kawaida unaona ni kondoo lakini kiuhalisia ni kitu kingine kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Yaani ndugu yangu utoto una mambo mazito so na wale mbuzi wa Kinondoni wakoje wale maana wana akili hata wakitaka kuvuka barabara wanatizama kushoto kulia kisha kushoto.
 
Sio bure kuna kitu kinawaongoza na kuwalinda popote waendapo
 
Nilishawahi kuweka mada ya mbuzi wa ndafu kuwa ni ibada ya kishetani, mjadala ulikuwa mzito na nilishutumiwa sana mpaka pm, hii ni kwa sababu iligusa Mila na tamaduni za makabila ya watu.

Kulikuwa pia na mada ihusuyo mbuzi wanaozurura mitaani, wanaitwa wa laana ikawa nayo ni mjadala uliogusa hisia za wengi
Si mara moja au mara mbili kusikia kuhusu mbuzi wa shughuli... Ni shughuli gani hiyo??? Kwanini asiwe kondoo au punda au Ng'ombe?

Mbuzi hasa beberu ni alama ya kuzimu, ni alama ya shetani na imani za kishetani na dunia ya giza, ndio maana laana na mapepo yote hutupiwa mbuzi kwakuwa kule ni Kama nyumbani kwao.

Mbuzi hawa wanaoitwa kwa jina lingine mbuzi wa albadiri hawafi hawaugui hawagongwi na magari na kamwe huwezi kuwakuta kwenye sehemu zisizo na watu, kamwe huwezi kukuta Mzoga wa hawa wanayama, na kama ukiukuta basi huyo alikuwa kenge kwenye msafara wa mamba.

Waganga wengi wa kienyeji na mambo ya Kiza humtumia Sana mbuzi Kama sehemu ya kafara na kinachochukuliwa ni damu na Kichwa tuu, hiki ndio hutengeneza muungano na nguvu za kuzimu.

Cha kushangaza ni kwamba mapepo huwaingia wanawake zaidi kuliko wanaume, na kwa wanyama mbuzi ndio hutumika zaidi kuliko wanyama wengine unajua ni kwanini?

Mniwie radhi kwa picha nitakayoweka, ni sehemu ya kuelimishana na kujuzana visivyosemwa, Nina Heshima na adabu kwa kila mtu, hasa mama zetu, picha hii isitafsiriwe Kama dhihaka... Nimetoa angalizo hili mapema.

Mfanano wa via vya uzazi vya mwanamke na kichwa cha mbuzi beberu ndio vinatengeneza colabo ya ajabu unaovutia nguvu za kuzimu na mapepo
niliwahi kusoma mahali, cant recall ila the goat and the beast have the same facial appearance
 
Mwanangu umeelezea vizuri sana, wanaokubishia na kukukejeli ni madunga embe..

Nimejifunza 7bu inayowafanya wanawake kukumbwa na mapepo sana...

Asante
 
Mie huwa naamini binadamu akikosa muongozo sahihi ambao utakuwa na logic pamoja na majibu ambayo ni vigumu kujibika basi atakuwa pure bila hofu au some stress
 
Nilishawahi kuweka mada ya mbuzi wa ndafu kuwa ni ibada ya kishetani, mjadala ulikuwa mzito na nilishutumiwa sana mpaka pm, hii ni kwa sababu iligusa Mila na tamaduni za makabila ya watu.

Kulikuwa pia na mada ihusuyo mbuzi wanaozurura mitaani, wanaitwa wa laana ikawa nayo ni mjadala uliogusa hisia za wengi
Si mara moja au mara mbili kusikia kuhusu mbuzi wa shughuli... Ni shughuli gani hiyo??? Kwanini asiwe kondoo au punda au Ng'ombe?

Mbuzi hasa beberu ni alama ya kuzimu, ni alama ya shetani na imani za kishetani na dunia ya giza, ndio maana laana na mapepo yote hutupiwa mbuzi kwakuwa kule ni Kama nyumbani kwao.

Mbuzi hawa wanaoitwa kwa jina lingine mbuzi wa albadiri hawafi hawaugui hawagongwi na magari na kamwe huwezi kuwakuta kwenye sehemu zisizo na watu, kamwe huwezi kukuta Mzoga wa hawa wanayama, na kama ukiukuta basi huyo alikuwa kenge kwenye msafara wa mamba.

Waganga wengi wa kienyeji na mambo ya Kiza humtumia Sana mbuzi Kama sehemu ya kafara na kinachochukuliwa ni damu na Kichwa tuu, hiki ndio hutengeneza muungano na nguvu za kuzimu.

Cha kushangaza ni kwamba mapepo huwaingia wanawake zaidi kuliko wanaume, na kwa wanyama mbuzi ndio hutumika zaidi kuliko wanyama wengine unajua ni kwanini?

Mniwie radhi kwa picha nitakayoweka, ni sehemu ya kuelimishana na kujuzana visivyosemwa, Nina Heshima na adabu kwa kila mtu, hasa mama zetu, picha hii isitafsiriwe Kama dhihaka... Nimetoa angalizo hili mapema.

Mfanano wa via vya uzazi vya mwanamke na kichwa cha mbuzi beberu ndio vinatengeneza colabo ya ajabu unaovutia nguvu za kuzimu na mapepo
umeongea ukweli ndugu yangu,mara nyingi ni mbuzi,mbuzi,mbuzi kwenye kila shughuli ya mila
 
Vyote vilivyo Chini ya jua na milki ya Ulimwengu alipewa shetani baada ya kufukuzwa mbinguni
Mshana Jr

Embu fafanua kidogo hapa kwani sijakuelewa. Ina maana hata sisi wanadamu tupo kwenye milki ya shetani?
 
'Hakuna mkamilifu la hata mmoja..'hebu litafakari kwa makini hilo andiko .kumbuka pia laana ya Eden...kumbuka pia maisha ya toba na utakatifu
 
Napingana na wewe kidogo.

Ukisoma Biblia kuna watu ambao Biblia imewataja kabisa ni wenye haki Mbele za Mungu. Na kuna wengine hadi walichukuliwa mawinguni mbinguni.

Kwa mfano Ayubu, alikuwa ni Mwenye haki Mbele za Mungu na hata maandiko yanasema hivyo.

Sasa unavyosema tupo chini ya milki ya shetani nashindwa kuelewa. Labda uniambie kuna baadhi ya watu wapo chini ya "sheria za shetani"
 
Hapana Ayubu ni baada ya kuyashinda majaribu makuu ya shetani, wako wengi soma habari za samson na wengine pia...kumbuka pia Mungu alimpa shetani milki ya dunia baada ya kiasi mbinguni na mwanadamu naye akifukuzwa kutoka Eden baada ya kuharibu Eden
Ndio maana huwa tunahitaji toba na msamaha wa Kimungu kuweza kurudi kwake tena
 
Back
Top Bottom