mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 956
mshana dtory zake za ajabu ajabu naye ???????
Kutakuwa na madhara endapo yule mbuzinakanuiwa maneno kwamba yoyote atayemla mbuzi huyu apatwe na jambo flani. Kumbuka maneno yanaumba na wachawi au watumishi wa Mungu wanafanya kazi kupitia maneno/Neno.
Ukienda kwa waganga huwa wanakwambia mda mwingine nuia maneno unayotaka wewe, kwahiyo ktk ulimwengu wa roho yale maneno yanaumbika kabisa.
Ogopa sana kula hovyo kwenye mashuhuli ambayo hujui watu washeherekea nini, ogopa kula chakula kwenye matambiko hata kama ni ya kwenu a hujui wanatambika nini n.k
Kwahiyo huyo mbuzi kama alinuiwa maneno basi atakuwa na madhara kama huyo aliyemla hana kinga.
Mkuu mbona kwenye hiyo biblia mapepo yaliwaingia nguruwe na si mbuzi au ni wapi katika biblia wameonesha uhusiano kati ya mapepo na mbuzi?Bavaria naona wengi wameondoka kabisa nje ya mada, hebu pitia tena kuna kitu zaidi ya uchawi nimekiongea hapa wengi hawakijadili, nacho ni uhusiano wa mapepo kuwaandama zaidi mbuzi na wanawake na nikaonyesha kwa michoro picha mfanano wa genial parts za mwanamke na kichwa cha beberu
Tukiachana na uchawi, Kichwa cha beberu ni alama muhimu katika dini ya mashetani
Tukiachana na uchawi wanawake ndio waathirika wakuu wa mapepo mashetani na majini
Tukiachana na uchawi sio siri kuwa kuna makundi maelfu ya mbuzi wasio na mmiliki na sio hapa Tanzania tu
Hivyo vitu ni kuviacha tu mkuu, shetani anatumia udhaifu wako kukukamata, kumbuka alimjia Yesu akiwa na njaa kisha akabeba na mkate.Primary school nilisoma Tanga miaka ya 80. Tukiwa tunatoka shule tulishazoea kukuta ungo au sinia lina vyakula ipo sehemu hasa njia ya panda. Unaweza kukuta pilau, kachumbari, maji ya zamzam au unaweza kukuta chai ya maziwa, vitumbua, visheti. Kwa kweli ilikuwa mtihani na ukizingatia then njaa imekamata kisawasawa.
huu ni uongo uliotukuka.mshana umeanza lini uongo?hata ukienda india ng'ombe ni batili kula.je kwenye ng'ombe nako kuna pepo?mbona tunakula mbwa,kenge, hadi nyoka waliotupiwa pepo na tunda la kati.isifikie pahala huna uwezo wa kununua nyama ya mbuzi unatudanganya na pepo.stop mshana tafadhali mkuu
Kitu kikitukuka kinapewa nishani. .. ngalelefijo naomba uanze mchakato fastahuu ni uongo uliotukuka.mshana umeanza lini uongo?hata ukienda india ng'ombe ni batili kula.je kwenye ng'ombe nako kuna pepo?mbona tunakula mbwa,kenge, hadi nyoka waliotupiwa pepo na tunda la kati.isifikie pahala huna uwezo wa kununua nyama ya mbuzi unatudanganya na pepo.stop mshana tafadhali mkuu
AMEZUNGUMZIA TUMBO LA UZAZI LA MWANAMKE NDIO LENYE UHUSIANO NA KICHWA CHA MBUZI KIMWONEKANO..MEANING...= MASONIC SIGNS HIVYO NGURUWE JIKE WANALO HILO TUMBO PIA, NDIO MAANA WAKAVAMIWA NA MAPEPOMkuu mbona kwenye hiyo biblia mapepo yaliwaingia nguruwe na si mbuzi au ni wapi katika biblia wameonesha uhusiano kati ya mapepo na mbuzi?
Tena pita kabisaaaa huku hakuku fai.Embu nijipitie zangu kimya kimya!
Tena pita kabisaaaa huku hakuku fai.