Bavaria naona wengi wameondoka kabisa nje ya mada, hebu pitia tena kuna kitu zaidi ya uchawi nimekiongea hapa wengi hawakijadili, nacho ni uhusiano wa mapepo kuwaandama zaidi mbuzi na wanawake na nikaonyesha kwa michoro picha mfanano wa genial parts za mwanamke na kichwa cha beberuUkishaanza kuamini mambo haya utaishi kuwa mtumwa wa mambo hayo.
yaan sijui hata unachomaanisha. Hujaeleweka hebu elezea vzr ueleweke.
Maana tunaweza kukufikiria vbaya kumbe upo kwenye sku zako. Maana naskia nyinyi wanawake mkiwa mp mnakuwa na akili za kushoto
kuna wakati nakuwa na hisia kwamba kuna baadhi ya watu wanataka kupenyeza hofu na imani zao za kishetani katika jamii.
they create fear so that to corrupt people's minds
Lisemwalo lipo, ukipita ununio mida ya saa nne usiku utakutana na mbuzi zaidi ya mia wakiwa wanajichunga wenyewe!
Umenikumbusha mwaka flan nikiwa mafinga jkt tulimkuta mbuzi mmoja alikuwa akiishi pangon. Alikuwa beberu mweus na rangi nyeupe shingon. Yule beberu tulimlia timing kwa mda kidogo kila asubuhi alikuwa anakuwa juu ya mlima anakula majan ikifika saa 5 anarudi eneo la pango.
Tukaanza kumuwinda sku ya kwanza alitushinda maana alikuwa anakimbia baraa na alikuwa hatoi saut kama mbuz wengne.
Sku ya pili tukampiga ambush moja matata sana tulifanikiwa kumkamata. Tulimchinja hukohuko porin na tukamla. Japo tulitishiwa sana na baadhi ya wenzet lakn tukawa matomaso.
Lakn hakuna aliyedhulika. Kwa wanaoijua mafinga pale maeneo ya changarawe ukinyooka na mbeya road kuna sehem panaitwa idetero hapo ndipo tulipo vunja matambiko ya watu
uku moro mjini kabisa kunasehem inaitwa sultani kunamimbuzi imenenepeana vbaya usiku wote utaikuta inazulula tu na kunamateja kibao maeneo hayo hukuti teja kukamata mbuzi hao akamalie shida zake inanichanganya sasana maana teja haofii kitu!!!
Mshana jr embu tusaidiane hapa ikiwa hivi viumbe ambavyo Mungu kavimilikisha kwa binadamu leo vinapataje power kwa shetani, kuna uhusiano gani kati ya ndafu au kichwa cha mbuzi na mji wa uzazi kwa wanawake katika uumbaji, je Mungu anasiri na shetani