Kwanini mbuzi tu na si mnyama mwingine?

Kwanini mbuzi tu na si mnyama mwingine?

Hawa mbuzi hawa...wanatoa ishara gani?
IMG-20201018-WA0017.jpg
 
Saa ingine MUNGU anazungumza nasi mshana kupitia wanyama,unakumbuka sunami, nasikia wanyama waliondoka Siku Tatu kabla ya sunami
Yeah wanyama wako vizuri kwa kutangulia kuona mambo
 
Zamani alisema mama, kuna wakati baba aliugua sana karibia kufa, babu akamshika mbuzi miguu huku na miguu huku akamtupa yaani kupitia juu ya mgonjwa akamtupa kwa kishindo, mbuzi alikufa mgonjwa akapona ni zamani na imani zao.

Mbeya miaka ya 199s kulikuwa na mbuzi wa mandondo, huyo alikuwa mchawi, mbuzi wanapishana na magari kama watu na hawagongwi.

Wezi wakiiba mbuzi wa mandondo ukifika huko uendako hashuki kwenye gari ukimbeba mabegani hashuki.

Mpaka urudi umtafute mandondo na anakuambia kwa vile umempenda chukua.

Hapo lazima ikutoke faini kubwa na kuomba msamaha.
 
Hapo lazima ikutoke faini kubwa na kuomba msamaha. .!!!!DUUU
 
Nilishawahi kuweka mada ya mbuzi wa ndafu kuwa ni ibada ya kishetani, mjadala ulikuwa mzito na nilishutumiwa sana mpaka pm, hii ni kwa sababu iligusa Mila na tamaduni za makabila ya watu.

Kulikuwa pia na mada ihusuyo mbuzi wanaozurura mitaani, wanaitwa wa laana ikawa nayo ni mjadala uliogusa hisia za wengi
Si mara moja au mara mbili kusikia kuhusu mbuzi wa shughuli... Ni shughuli gani hiyo??? Kwanini asiwe kondoo au punda au Ng'ombe?

Mbuzi hasa beberu ni alama ya kuzimu, ni alama ya shetani na imani za kishetani na dunia ya giza, ndio maana laana na mapepo yote hutupiwa mbuzi kwakuwa kule ni Kama nyumbani kwao.

Mbuzi hawa wanaoitwa kwa jina lingine mbuzi wa albadiri hawafi hawaugui hawagongwi na magari na kamwe huwezi kuwakuta kwenye sehemu zisizo na watu, kamwe huwezi kukuta Mzoga wa hawa wanayama, na kama ukiukuta basi huyo alikuwa kenge kwenye msafara wa mamba.

Waganga wengi wa kienyeji na mambo ya Kiza humtumia Sana mbuzi Kama sehemu ya kafara na kinachochukuliwa ni damu na Kichwa tuu, hiki ndio hutengeneza muungano na nguvu za kuzimu.

Cha kushangaza ni kwamba mapepo huwaingia wanawake zaidi kuliko wanaume, na kwa wanyama mbuzi ndio hutumika zaidi kuliko wanyama wengine unajua ni kwanini?

Mniwie radhi kwa picha nitakayoweka, ni sehemu ya kuelimishana na kujuzana visivyosemwa, Nina Heshima na adabu kwa kila mtu, hasa mama zetu, picha hii isitafsiriwe Kama dhihaka... Nimetoa angalizo hili mapema.

Mfanano wa via vya uzazi vya mwanamke na kichwa cha mbuzi beberu ndio vinatengeneza colabo ya ajabu unaovutia nguvu za kuzimu na mapepo
Cha kushangaza ni kwamba mapepo huwaingia wanawake zaidi kuliko wanaume, na kwa wanyama mbuzi ndio hutumika zaidi kuliko wanyama wengine unajua ni kwanini?

hapo kunafikirisha.andaa uchambuzi
 
Cha kushangaza ni kwamba mapepo huwaingia wanawake zaidi kuliko wanaume, na kwa wanyama mbuzi ndio hutumika zaidi kuliko wanyama wengine unajua ni kwanini?

hapo kunafikirisha.andaa uchambuzi
Wanawake kwa sababu ya maumbile yao na menstrual period....mbuzi kama alama ya mkuu wa giza
Baphomet-Eliphas-Levi.jpg
 
Back
Top Bottom