Kwanini mbuzi tu na si mnyama mwingine?

Kwanini mbuzi tu na si mnyama mwingine?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,548
Reaction score
860,682
Nilishawahi kuweka mada ya mbuzi wa ndafu kuwa ni ibada ya kishetani, mjadala ulikuwa mzito na nilishutumiwa sana mpaka pm, hii ni kwa sababu iligusa Mila na tamaduni za makabila ya watu.

Kulikuwa pia na mada ihusuyo mbuzi wanaozurura mitaani, wanaitwa wa laana ikawa nayo ni mjadala uliogusa hisia za wengi
Si mara moja au mara mbili kusikia kuhusu mbuzi wa shughuli... Ni shughuli gani hiyo??? Kwanini asiwe kondoo au punda au Ng'ombe?

Mbuzi hasa beberu ni alama ya kuzimu, ni alama ya shetani na imani za kishetani na dunia ya giza, ndio maana laana na mapepo yote hutupiwa mbuzi kwakuwa kule ni Kama nyumbani kwao.

Mbuzi hawa wanaoitwa kwa jina lingine mbuzi wa albadiri hawafi hawaugui hawagongwi na magari na kamwe huwezi kuwakuta kwenye sehemu zisizo na watu, kamwe huwezi kukuta Mzoga wa hawa wanayama, na kama ukiukuta basi huyo alikuwa kenge kwenye msafara wa mamba.

Waganga wengi wa kienyeji na mambo ya Kiza humtumia Sana mbuzi Kama sehemu ya kafara na kinachochukuliwa ni damu na Kichwa tuu, hiki ndio hutengeneza muungano na nguvu za kuzimu.

Cha kushangaza ni kwamba mapepo huwaingia wanawake zaidi kuliko wanaume, na kwa wanyama mbuzi ndio hutumika zaidi kuliko wanyama wengine unajua ni kwanini?

Mniwie radhi kwa picha nitakayoweka, ni sehemu ya kuelimishana na kujuzana visivyosemwa, Nina Heshima na adabu kwa kila mtu, hasa mama zetu, picha hii isitafsiriwe Kama dhihaka... Nimetoa angalizo hili mapema.

Mfanano wa via vya uzazi vya mwanamke na kichwa cha mbuzi beberu ndio vinatengeneza colabo ya ajabu unaovutia nguvu za kuzimu na mapepo
 
1443345088904.jpg 1443345116912.jpg
NB: mchoro picha wa pili kimetumika Kichwa cha kondoo lakini kikiakisi kitu kilekile, nimeliweka hili wazi mapema
 
Umenikumbusha mwaka flan nikiwa mafinga jkt tulimkuta mbuzi mmoja alikuwa akiishi pangon. Alikuwa beberu mweus na rangi nyeupe shingon. Yule beberu tulimlia timing kwa mda kidogo kila asubuhi alikuwa anakuwa juu ya mlima anakula majan ikifika saa 5 anarudi eneo la pango.

Tukaanza kumuwinda sku ya kwanza alitushinda maana alikuwa anakimbia baraa na alikuwa hatoi saut kama mbuz wengne.

Sku ya pili tukampiga ambush moja matata sana tulifanikiwa kumkamata. Tulimchinja hukohuko porin na tukamla. Japo tulitishiwa sana na baadhi ya wenzet lakn tukawa matomaso.

Lakn hakuna aliyedhulika. Kwa wanaoijua mafinga pale maeneo ya changarawe ukinyooka na mbeya road kuna sehem panaitwa idetero hapo ndipo tulipo vunja matambiko ya watu
 
huwa najiuliza sana kwanini mbuzi waachiwa hovyo hovyo. tena wengine wanaenda mpaka makaburini kabisa. tupe somo zaidi mshana jr
 
Last edited by a moderator:

Hawana wenyewe wale ni mapepo ndani ya miili ya wanyama mbuzi
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha mwaka flan nikiwa mafinga jkt tulimkuta mbuzi mmoja alikuwa akiishi pangon. Alikuwa beberu mweus na rangi nyeupe shingon. Yule beberu tulimlia timing kwa mda kidogo kila asubuhi alikuwa anakuwa juu ya mlima anakula majan ikifika saa 5 anarudi eneo la pango.

Tukaanza kumuwinda sku ya kwanza alitushinda maana alikuwa anakimbia baraa na alikuwa hatoi saut kama mbuz wengne.

Sku ya pili tukampiga ambush moja matata sana tulifanikiwa kumkamata. Tulimchinja hukohuko porin na tukamla. Japo tulitishiwa sana na baadhi ya wenzet lakn tukawa matomaso.

Lakn hakuna aliyedhulika. Kwa wanaoijua mafinga pale maeneo ya changarawe ukinyooka na mbeya road kuna sehem panaitwa idetero hapo ndipo tulipo vunja matambiko ya watu

Huyo walishamaliza naye shughuli ni Sawa na ile methali isemayo ganda la mua la Jana...chungu kaona kivuno...!!!
 
Huyo walishamaliza naye shughuli ni Sawa na ile methali isemayo ganda la mua la Jana... kaona kivuno...!!!

kwahyo mshana jr unataka kusema yule mbuzi walishamtumia kwenye mambo yao na pale alipokuwa hakuwa na mapepo?
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha mwaka flan nikiwa mafinga jkt tulimkuta mbuzi mmoja alikuwa akiishi pangon. Alikuwa beberu mweus na rangi nyeupe shingon. Yule beberu tulimlia timing kwa mda kidogo kila asubuhi alikuwa anakuwa juu ya mlima anakula majan ikifika saa 5 anarudi eneo la pango.

Tukaanza kumuwinda sku ya kwanza alitushinda maana alikuwa anakimbia baraa na alikuwa hatoi saut kama mbuz wengne.

Sku ya pili tukampiga ambush moja matata sana tulifanikiwa kumkamata. Tulimchinja hukohuko porin na tukamla. Japo tulitishiwa sana na baadhi ya wenzet lakn tukawa matomaso.

Lakn hakuna aliyedhulika. Kwa wanaoijua mafinga pale maeneo ya changarawe ukinyooka na mbeya road kuna sehem panaitwa idetero hapo ndipo tulipo vunja matambiko ya watu

...nakubaliana na wewe; siku zote mtu aliekosa imani au mwenye imani haba kila litalo mtokea lazima alifananishe na ushirikinaKwa hiki ulichoandika hapa hii mada imeshakosa maana coz umethibitisha yanayoongelewa hapa ni pumba tu,kupotezea muda mchana upite.
#no more no less!
 
1443347744598.jpg kaitafakari hii kwa makini Mungu akikupa hekima ya kuelewa utakuwa umeongeza kitu kwenye medula yako
 
Umenikumbusha mwaka flan nikiwa mafinga jkt tulimkuta mbuzi mmoja alikuwa akiishi pangon. Alikuwa beberu mweus na rangi nyeupe shingon. Yule beberu tulimlia timing kwa mda kidogo kila asubuhi alikuwa anakuwa juu ya mlima anakula majan ikifika saa 5 anarudi eneo la pango.

Tukaanza kumuwinda sku ya kwanza alitushinda maana alikuwa anakimbia baraa na alikuwa hatoi saut kama mbuz wengne.

Sku ya pili tukampiga ambush moja matata sana tulifanikiwa kumkamata. Tulimchinja hukohuko porin na tukamla. Japo tulitishiwa sana na baadhi ya wenzet lakn tukawa matomaso.

Lakn hakuna aliyedhulika. Kwa wanaoijua mafinga pale maeneo ya changarawe ukinyooka na mbeya road kuna sehem panaitwa idetero hapo ndipo tulipo vunja matambiko ya watu

Kaka napajua hapo full winter asee hamkudhurika?
 
Huyu mshana atakuwa na background ya ushirikina. Naona mara nyingi yeye anapenda sana kujadili mambo ya giza .

Nahisi anatoka sehemu inaitwa KISIWANI huko SAME.
 
yaan sijui hata unachomaanisha. Hujaeleweka hebu elezea vzr ueleweke.
Maana tunaweza kukufikiria vbaya kumbe upo kwenye sku zako. Maana naskia nyinyi wanawake mkiwa mp mnakuwa na akili za kushoto

Kaka napajua hapo full winter asee hamkudhurika?

Mbuzi ni mmojawapo ya wanyama wasumbufu Sana, ni Afadhali hata kuchunga kondoo kuliko mbuzi, hawatulii sehemu moja.. Sasa ukishaona mbuzi ana ratiba maalum tena anayoizingatia vizuri basi ujue huyo si kiumbe wa kawaida, lakini si lazima kuwa anaweza kukudhuru kwa njia yoyote kwakuwa wewe si mlengwa na ndio maana hata kuna vitu vya thamani hutupwa na kuokotwa na wengine na visiwadhuru
 
Back
Top Bottom