Kwanini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"?

Kwa nini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"...?
Ema...
Wako wanaoita, "Mapinduzi Matukufu," na wako hawaiti hivyo katika jamii ya Wazanzibari.

Swali lako lilitakiwa liwe kwa ni matukufu na kwa nini vinginevyo?

DW wamenihoji kuhusu Mapinduzi kipindi kikirushwa nitaweka link hapa In Shaa Allah:

1704807459216.png

Mahojiano na Sauti ya Ujeruamni (DW) kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar 1964​
 
Hakuna Matukufu Yaani Utukufu Wake Umejaa Ujanja Mwingi Ila Hayastahiri

Zamani Kenya Walikuwa Wanamuita Rais Wao Kwa Nyadhifa Tele
Mtukufu Rais Daniel Arap Trotoich Moi

Baadaye Wakaona Ukakasi Wakaondoa Mtukufu
 
Kwa nini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"...?
Waafrika walio na akili wakiongozwa na Kamanda au dume la mbegu Karume, walitimua kimabavu Waarab wanyanyasaji ambao walikuwa wanatesa wananchi na kuwafanyia unyama wa kijinga
 
Hakukuwa na mapinduzi kulikuwa na uvamizi:

View attachment 2873079
Waafrika walio na akili wakiongozwa na Kamanda au dume la mbegu Karume, walitimua kimabavu Waarab wanyanyasaji ambao walikuwa wanatesa wananchi na kuwafanyia unyama wa kijinga
Jamaa...
Unazungumza kuhusu, ''Waarabu wanyanyasaji...''
Una yakini na ushahidi wa haya usemayo?

Je, unajua kuwa Zanzibar imeshuhudia jela za utesaji na watu kuuliwa baada ya mapinduzi?

Haya yote yana ushahidi.
 
Ushahidi upo na haya unayoyasema yalifanyika kwa sababu watu weusi walikuwa wanalipiza visasi
 
Wanalipiza kisasa Wamakonde kutoka Kipumbwi Tanga?

Analipiza kisasi John Okello kutoka Uganda?

Kwa ubaya upi waliotendewa na Wazanzibari?
 
Ema...
Wako wanaoita, "Mapinduzi Matukufu," na wako hawaiti hivyo katika jamii ya Wazanzibari.

Swali lako lilitakiwa liwe kwa ni matukufu na kwa nini vinginevyo?

DW wamenihoji kuhusu Mapinduzi kipindi kikirushwa nitaweka link hapa In Shaa Allah:

View attachment 2866392
Mahojiano na Sauti ya Ujeruamni (DW) kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar 1964​
Huyu bwana na matata kweli kweli. Kaandika kitabu kizuri sana kinaitwa THE LIFE AND TIMES OF ABDULWAHEED SYKES, THE MUSLIM STRUGGLE FOR THE INDEPENDENCE OF TANGANYIKA. Kila mwenye nia ya kujua historia sahihi ya Nji hii ni lazima akisome kitabu hiki kinauzwa pale TPH. Angalizo ni kwamba baada ya miaka mitatu mine hivi - WHEN HE GOT CIVILISED - akaandika tafsiri ya Kiswahili, maudhui yakawa tafauti kabisa. Sasa kikawa ni cha Mwislamu siasa kali, kila kitu kosa la Nyerere, kila kitu dola Kristo. Kitu kingine kidoogo ni Ukabila. Huyu bwana ni Mmanyema kwa hiyo katika tafsiri ya Kuswahili hata Wazanzibari wakawa Wazanzibara, yaani kumbe Waislamu sasa kukawa na Waislamu Wamanyema na Waislamu baki. He is a learned fellow, no doubt about that, kashoma IFM ambayo kwa maoni yangu ni bora kuliko Harvard. Sasa mirejee hili la Zanzibar. Kwenye kitabu cha Abdulwaheed alimsifu Rais Karume kwa ushipavu wake na uzalendo wake - kuna Waislam siasa kali wakiitwa AMNUT walimwendea kumuomba msaada dhidi ya Nyerere akawafukuzilia mbali kwamba Nyerere hawezi kugombana na Waislam. Kwa hiyo hii dhana ya mapinduzi MATUKUFU iko kwenye Kitabu orijino ila kwenye translation feki kaingiza siasa kali hizo za kibaguzi nilizosema. Sasa tusubiri atatoa wapi jibu kama ni orijino au feki.
 
LGF,
Soma hapo chini jina la kitabu kwani umelikosea.

1706217978018.png

1997​

1706217404070.png

2014​
Tafsiri huwa haiandikwi kikawa kitabu kipya.
Tafsiri ya kitabu ilichapwa na Phoenix Publishers, Nairobi.

Hiyo hapo chini:

1706217655220.jpeg

2002
1706217879190.png

2014
Inaelekea unaandika vitu ambavyo huna ujuzi wala elimu yake.
Katika kitabu changu hakuna popote liko neno, ''Mfumo Kristo,'' au kujadili ukabila.

Hakuna katika kitabu changu habari za Karume au Zanzibar.

Kitabu kina historia ya AMNUT na wala chama hiki hakikuwa cha Waislam wa siasa kali.

Nakushauri ukisome kitabu hiki ikiwa una hamu ya kukijadili kwani inaonyesha hujakisoma.
 
Waafrika walio na akili wakiongozwa na Kamanda au dume la mbegu Karume, walitimua kimabavu Waarab wanyanyasaji ambao walikuwa wanatesa wananchi na kuwafanyia unyama wa kijinga

Usiwaseme vibaya wajukuu wa mtume utamkwaza mzee side boi na genge lake,bora umtukanie wazee wake kuliko waarabu.
 
Aishie mbali huko, tatizo la Waarab huwa hawapendi kuambiwa ukweli, wanatumia sana uwongo kutaka kuficha ukweli na ukiwaambia ukweli wanakufanyia makafara ili ufe waendeleze kudanganya watu bila kupingwa.
 
Huyu bwana na matata kweli kweli. Kaandika kitabu kizuri sana kinaitwa THE LIFE AND TIMES OF ABDULWAHEED SYKES, THE MUSLIM STRUGGLE FOR THE INDEPENDENCE OF TANGANYIKA. Kila mwenye nia ya kujua historia sahihi ya Nji hii ni lazima akisome kitabu hiki kinauzwa pale TPH. Angalizo ni kwamba baada ya miaka mitatu mine hivi - WHEN HE GOT CIVILISED - akaandika tafsiri ya Kiswahili, maudhui yakawa tafauti kabisa. Sasa kikawa ni cha Mwislamu siasa kali, kila kitu kosa la Nyerere, kila kitu dola Kristo. Kitu kingine kidoogo ni Ukabila. Huyu bwana ni Mmanyema kwa hiyo katika tafsiri ya Kuswahili hata Wazanzibari wakawa Wazanzibara, yaani kumbe Waislamu sasa kukawa na Waislamu Wamanyema na Waislamu baki. He is a learned fellow, no doubt about that, kashoma IFM ambayo kwa maoni yangu ni bora kuliko Harvard. Sasa mirejee hili la Zanzibar. Kwenye kitabu cha Abdulwaheed alimsifu Rais Karume kwa ushipavu wake na uzalendo wake - kuna Waislam siasa kali wakiitwa AMNUT walimwendea kumuomba msaada dhidi ya Nyerere akawafukuzilia mbali kwamba Nyerere hawezi kugombana na Waislam. Kwa hiyo hii dhana ya mapinduzi MATUKUFU iko kwenye Kitabu orijino ila kwenye translation feki kaingiza siasa kali hizo za kibaguzi nilizosema. Sasa tusubiri atatoa wapi jibu kama ni orijino au feki.
Ulisoma shule ya kimapinduzi ?? Unaandika mwandiko wa kimapinduzi mapinduzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom