Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,417
- 25,276
Mbona unacheka mkuu[emoji23][emoji23]
Sawa
Mbona unacheka mkuu[emoji23][emoji23]
Sawa
Nimefurahia andiko lakoMbona unacheka mkuu
Hahahaha single mazaz walivyowengi hivi
Mara nyingi atakuambia hivyo hawezi sema Mimi ndo nilikuwa na kiburi, yaani wanawake huwa wanaona wanaume ndo wenye makosa hata wakishindwa kusimama kwenye nafasi zaoWote nmeona wakilalamika wao ndio walitendwa na baba za watoto wao
Ndio maana utaona ndoa za zamani zilidumuUmenena vyema,asomaye na afahamu.
Mkuu suala la kudumu si linajulikana, ni kuvunjika kwa mkataba kama mkataba wenu ulikuwa mpaka mwisho wa maisha mkaachana kabla ya huo mwisho kufika hapo ndoa haijadumuHuwa nashangaa sana, unakuta mtu anayekwambia ndoa za siku hizi hazidumu hajawahi kufunga ndoa hata ya kusingiziwa.
Nachosema ni tabia ya watu kufanya judgement kwa mambo ambayo hawajawahi kuya experience even once.Mkuu suala la kudumu si linajulikana, ni kuvunjika kwa mkataba kama mkataba wenu ulikuwa mpaka mwisho wa maisha mkaachana kabla ya huo mwisho kufika hapo ndoa haijadumu
Usijifanye unawajua sana wazaramo kisa wamekukaribisha mjiniHabari wakuu.
Mnajua hakuna kitu kibaya kama kutofika mwisho wa kile ulichotaka kifike mwisho.
Sidhani kama kuna mtu anapenda aanze mapenzi halafu yasifike mwisho.
Ni jambo lililozoeleka kwa tamaduni za asili ya pwani hasa kabila la kizaramo
kwa makadirio ya asilimia 85 ya mapenzi yao wakazi wa maeneo haya mapenzi yao hayafiki mwisho na wengi wao hudumu kwa muda mchache
Mi sijui tatizo likuwa wapi au ni laana ya vizazi vyao vya nyuma .
Unahisi nini tatizo ?
Unahisi nini kifanyike kuokoa kizazi hicho ili tusitengeneze jamii yenye watu wengi wenye majonzi na upweke mioyoni?