GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi boiling point ingesubiri hiyo tarehe 29?
Isingesubiri tarehe tajwa..
Nilichokisema ni kwamba malalamiko yanayotokana na uonevu,dhuluma na ukosefu wa haki kwa watu kiasi cha kufanya watu kuandamana yatatokana na namna yalivyowajaa watu wenyewe...,na yaapowafika pomoni..boiling point, ni suala la tukio moja tu dogo linatosha kuwaingiza watu barabarani bila kutarajia. Ndo maana nikasema siyo sahihi ukisema maandamano yaliyotajwa tarehe 29 Okt, hayatakuwepo kwa vile yanakosa COMMITTEE ya kuratibu.
Maandamano yanayotokana na fukuto kuzidi,.. hayasubiri kupangiwa tarehe maalum wala committee maalum for that matter. After the grievances reaches a boiling point in people's tolerance,..all it takes is just a little catalyst and sperk to ignite those volcanic grivances ...and out of control...
Na nikakuonesha mashaka yangu kuhusu kufikiwa kwa hiyo boiling point kiasi cha kutosha...kwa sababu kwa kupitia tukio la kutekwa Mzee Kibao, lilitosha kuwalipua wapenda haki na wapinga utekaji wote....japo kwa namna fulani Mbowe alitumia ujanja fulani kuipoozesha hiyo hali ya fukuto isifikie pomoni..
 
MAANDAMANAO YA 29OCT YATAFELI VIBAYA MAPEMA SANA KUTOKANA NA SABABU KUU ZIFUATAZO;

Anaandika, Robert Ng'apos Heriel
Mtibeli

1️⃣ Ukosefu wa Miundombinu ya Kiufanisi.

Maandamano makubwa yenye lengo la mabadiliko ya utawala yanahitaji:

a) Kamati za mipango (planning committees)
Hizi kamati naona hazipo. Ukimfuatilia Mange Kimambi na Maria Sarungi ambao ndio vinara wa maandamano haya unagundua hawana kamati zozote zaidi ya vikao vyote vinafanyika mitandaoni na inakuwa live.
Kamati ndio msingi mkuu wa goo organization na mobilization ya maandamano haya. Kama hazipo atafanikiwa vipi? Embu msaidieni Mtibeli aelewe.

b) Mfumo wa mawasiliano ulio salama,
Udukuzi, kufuatiliwa kuliko kupitiliza, usaliti wa mawasiliano ndani ya wenye nia ya kuandamana. Hayo yote yatakwamisha maandamano.

c) Mpangilio wa uongozi wa ngazi mbalimbali (national → regional → district → ward).
Unaweza kujiuliza kama wewe ni muandamanaji. Kwenye kata au mtaa wako kuna mfumo wowote wa kuyaratibu ili yatokee. Au ndio upo pekeako kwenye actual ground lakini mtandaoni ndio upo na na wenzako?
Tumia hiyo kama scale yako.

Mazingira ya Tanzania ya sasa, upinzani au wanaharakati wengi hawana mtandao thabiti wa ndani (grassroot network).
Hii inamaanisha hawana uwezo wa kuunganisha watu hata Laki moja kwa wakati mmoja bila kutambulika mapema.
Serikali inamiliki taasisi zote za mawasiliano, usalama, na inafanya doria usiku na mchana katika mitandao ya kijamii, hivyo hufahamu mipango kabla haijatekelezwa.
Kwa mantiki ya kiintelijensia, maandamano hayo yatakufa kabla hayajaanza, kwa sababu mpangilio wake utavujishwa na kusambaratishwa mapema.

2️⃣ Ukosefu wa Uratibu wa Malengo.

Maandamano yenye mafanikio lazima yawe na lengo moja linaloeleweka na kukubalika kitaifa.
Lakini maandamano haya yana malengo zaidivya moja yanayokinzana, mfano;

a). Kupinga uchaguzi,
b). Kuiondoa serikali iliyoko madarakani kumaanisha kuindoa CCM
c) Kupinga utekaji na mauaji. Wasiojulikana. Na sababu zingine.

Lengo la kwanza ni la kisiasa (kupinga uchaguzi)
lakini la pili ni la mapinduzi (kuiondoa serikali ya Samia madarakani) ambalo kisheria na kiusalama linachukuliwa kama uhaini au uasi.
Lengo la tatu ni la kijamii na haki za binadamu za msingi yaani haki ya kuishi. (Hili lingeunganisha watu wengi zaidi).

Hivyo, wapo wanaoamini wanapigania haki za uchaguzi, na wapo wanaoamini ni vita dhidi ya serikali. Na wapo wanaoamini wanatetea haki za binadamu za kuishi kwa waliotekwa na kuuawa na kutojulikana walipo.
Kukosekana kwa umoja wa tafsiri ya malengo kunafanya maandamano hayo yasifanane kihoja, kimkakati, wala kiitikadi, hivyo yatakosa mwelekeo mapema.

3️⃣ Udhaifu wa Uongozi wa Harakati.

Harakati yoyote ya kisiasa inahitaji:

a) Kiongozi mwenye karisma,
Najaribu kuangalia nani ni kiongozi aliyenyuma ya haya maandamano mwenye ushawishi. Kama ni Tundu Lisu yupo zake gerezani anapambana na kesi yake ya mchongo.

b) Mtu anayeaminika na umma,
Mwenye uwezo wa kujenga hadithi ya matumaini, hadithi zenye kuchochea chuki ya wananchi kwa serikali. Humphrey Polepole naye alitoa matumaini lakini amekamatwa dakika ya sabini ya mchezo kipindi cha pili.

Tanzania kwa sasa, licha ya kuwa na wanasiasa wa upinzani, hakuna kiongozi mmoja anayekubalika kitaifa kama sauti ya mabadiliko ya kweli.
Wengi wamechoka, wamegawanyika au wamo katika mikakati ya kisiasa ya muda mfupi. Na serikali inajaribu kila njia kuwavunja vunja na kuwagawanya kadiri inavyowezekana. Jana mumemwona Ezekiel Wenje. Ni kwamba wanawakatisha tamaa na kuwavunja moyo watanzania.

Bila kiongozi thabiti mwenye command structure, watu wanakuwa kama kundi lisilo na kichwa. Yaani kundi linajiendea endea bila mwelekeo. Hayatakuwa na tofauti na vuguvugu la Luddism kwa wale mliosoma Advance History 2.
Ndiyo maana kwa kitaalamu, maandamano kama haya huanza kwa makelele mitandaoni na kufa siku ya tukio. Haitakuwa mara ya kwanza.

4️⃣ Udhibiti Mkali wa Vyombo vya Usalama.

Kitaalamu, Tanzania ni nchi yenye mfumo wa ulinzi na usalama ulio wa kiintelijensia zaidi kuliko wa nguvu.
Taasisi kama:

I). TISS (Usalama wa Taifa),

ii) Jeshi la Polisi,

Iii) JWTZ (Jeshi la Wananchi)
Na vitengo vya cyber intelligence
vina uwezo mkubwa wa kutambua, kuvuruga, au kuzuia matukio kabla hayajafanyika.

Kwa mfano:

a) Mawasiliano ya Wapanga maandamano hufikiwa kupitia “surveillance”,

b) Viongozi wa maandamano hufuatiliwa kimyakimya,

c) Wengine huchukuliwa “preventive custody” kabla ya siku ya tukio.
Ndio hao unasikia kila siku wanakamatwa mara leo huyu kesho yule.
Wahamasisha maandamano mtandaoni au watu wenye mrengo huo nao huchukuliwa mapema kabisa kabla ya siku husika.
Mtu kama John Heche, John Mnyika, na wenzake hawawezi kuwa uraiani kufikia tarehe 29.

Watahifadhiwa kwa muda huku wakipewa usumbufu kidola mpaka upepo utakapotulia wataachiwa.

Hii inaondoa uwezekano wa maandamano kuanza kwa wingi au kwa ufanisi.
Kitaalamu, tunaita hii “preemptive disruption model” njia ambayo huzima uasi kabla haujaanza.

5️⃣ Hofu ya Kijamii.

Wengi wetu Watanzania ni watu wa amani tusiopenda vurugu, na tumelelewa kwenye misingi ya “amani ni bora kuliko vurugu, au funika kombe mwanaharamu. Apite".
Kisaikolojia, jamii imejengwa kuwa risk-averse (uepukaji wa hatari).
Hivyo, hata kama wanakubaliana kimoyomoyo na hoja za maandamano, wengi hawatashiriki hadharani.

a) Mfumo wa kiutamaduni, kiimani (dini), na kijamii unahimiza utii kwa mamlaka.
Wengi wataishia kusema “Mungu ataingilia” "Mungu atajibu", "tumuachie Mungu" au “Tusubiri uchaguzi mwingine”, hivyo kuua nguvu ya umoja wa kuandamana.

Kwa hivyo, uungwaji mkono utakuwa wa moyoni na mitandaoni lakini si wa miguu kwa mguu sako kwa bako. Watu wanakubaliana mtandaoni, lakini hawatokei barabarani.

6️⃣ Udhibiti wa Habari na Mitandao.

Serikali ina uwezo wa:

a) Kufunga mitandao ya kijamii.
Ikifunga mitandao wananchi wangapi wanauelewa wa kutumia VPN na mambo ya kidijitali. Wangapi?

b) Kudhibiti vyombo vya habari,
Media zote, redio zote, na wenye followers wengi watadhibitiwa iwe kinguvu au kwa kupewa pesa kuwatuliza
Si ndio yale mtaishia kumlaumu Millard Ayo wa watu. Atafanya nini?

c) Kuendesha kampeni za kupotosha

Vitengo vya propaganda kwa sasa vipo kazini: hakuna wakati vinatakiwa kufanya kazi kama wakati huu. Propaganda za kupotosha jamii mfano
“Maandamano yamehairishwa,”
“Viongozi wamekamatwa,”
“Maeneo fulani ni hatari.”
" Wanataka kuchafua nchi"
"Wanavuruga amani"
" Wanatumiwa na mabeberu"
" Watanzania ni waoga sana" hii pia ni. Propaganda iliyofanikiwa sana na ambayo kwa sasa watawala huipigia msumari ili iwe ni kama culture ya watanzania

Hii hufanya hata waliokuwa tayari kushiriki wakose maelekezo sahihi na motisha ya pamoja. Kwa mtazamo wa psychological operations (PSYOPS), hii ni silaha ya kisaikolojia inayotawanya umoja wa wanaharakati. Niliwaambia Saikolojia na soshiolojia ni msingi mkuu wa serikali kutawala watu.

Matokeo yake, maandamano hufa kabla ya saa sita mchana, na wale wachache waliotoka hukamatwa bila upinzani. Kisha baadaye watu huanza kulaumiana. Hoo hamjatoka. Nyie waoga n.k.

Kufikia hapa TaikonMaster sina la ziada. Nimejaribu kujadili. Kwa uhalisia na kwa kuzingatia siasa za nchi yetu, Saikolojia ambayo ninaifahamu kwa sehemu, intelijensia ambayo naifahamu kidunchu, na kwa kutumia falsafa (mantiki na hoja).
So kama utakuja kichwa kichwa na kutoa matusi yako sitaingilia uhuru wako na jinsi unavyoelewa mambo.

Nawatakia sikukuu njema ya Nyerere day.

Acha nipumzike sasa.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam

wakiweka mipango siwatakuwa wamewapangia Mapolisi ! tusubiri. vituo vinajulikana familia za watekaji zinajulikana inatosha
 
Maandamano mengi yaliyoziangusha tawala duniani huwa hayaanzi kwa mipangilio.

Huwa yanaanza tu ‘organically’.

Maandamano yaliyomtoa Ben Ali kule Tunisia au Hosni Mubarak kule Misri, hayakuanza kwa mipangilio iliyopo kwenye makaratasi.

Yalianza tu na raia wa kawaida waliochoshwa na udhalimu wa watawala wao halafu yakashika kasi.

Haya ya kwetu yatafeli si kwa kukosa mipangilio. Yatafeli kutokana na ukondoo na uoga tulionao.
 
Chai
 
Hizi zako ni hadithi tu, hoja za.kutomtaka sa100 ni valid sana tu;
1. Hana uwezo wa kuongoza, ana uelewa mdogo wa mambo mengi. Amekuwa kwenye mifumo ya serikali kwa miaka mingi ila ni kama anajifunza, hajui na hawezi.
2. Ameshindwa kulinda raia wake, mauaji, kutekwa kwa watanzania wenzake na hasa watanganyika ni doa kubwa kwa utawala wake, she's inept wala hakuna mjadala.
3. Rushwa, ufisadi, wizi, uzembe makazini. Unataka tuseme huyu maza ameweza kumaliza haya matatizo makubwa, basi utakuwa hamnazo kichwani
4. CCM imechokwa inside out, usione watu kujazana kwenye kampeni za ccm ukadhanj wanakubalika, ni umasikini wetu ndio unasababisha tukubali dhihaka ya t-shirt, kofia, fulana, vitenge na rushwa za 10k-100k. CCM imechoka.
5. Elimu duni ya mtanzania, kujua kusoma na kuandika tu sio suluhu ya kututoa hapa tulipo, maadui wameongezeka sana na bahati mbaya mtanzania yeye ili mradi anakula basi hana shida.
Mkuu wakati unafanya mjadala na hawa machawa chukua tahadhali pale wanapoweka data, ni waongo sana. Huyo katoka kukuambia uchumi wa Tanzania unakua kwa 6% ndio unakua kuliko nchi zote za EAC na SADC. Wakati si kweli, Rwanda na Uganda wametupita
Rwanda uchumi wao unakua kwa 7% mpaka 8%. Kuwa makini na data za machawa
Screenshot_20251014-152835_1.jpg
 
Tatizo lenu kubwa ni uongo. Tanzania haiongozi kwa ukuaji uchumi EAC
Uganda na Rwanda wametupita. Uganda Ni zaidi ya 6% na Uganda ni zaidi ya 7%
My bad;

Ni kweli Rwanda ina 7% lakini bado kwa EAC tunafanya vizuri sana ukizingatia uchumi wetu 2021 ulikuwa Na growth kati ya 4% hivi.
 
Mkuu wakati unafanya mjadala na hawa machawa chukua tahadhali pale wanapoweka data, ni waongo sana. Huyo katoka kukuambia uchumi wa Tanzania unakua kwa 6% ndio unakua kuliko nchi zote za EAC na SADC. Wakati si kweli, Rwanda na Uganda wametupita
Rwanda uchumi wao unakua kwa 7% mpaka 8%. Kuwa makini na data za machawa
View attachment 3488522
Mkuu kutofautiana kwenye jambo fulani hakutufanyi tuwe machawa; tunatype haraka lakini tukireference tunakubali na kusonga mbele; na haifanyi mjadala kuwa out of scope; mimi nilireference data zisizo sahihi lakini nimebadilisha...bado TZ ni steady sana na uchumi wake unaendelea kukua.. lakini kumbuka hata pre covid uchumi wetu haukuwahi kufika above 8% maana yake kafanya vizuri during recovery kuirudisha kwenye 6%...
 
My bad;

Ni kweli Rwanda ina 7% lakini bado kwa EAC tunafanya vizuri sana ukizingatia uchumi wetu 2021 ulikuwa Na growth kati ya 4% hivi.
Nchi zote EAC zinafanya vizuri chumi zao zinakua vizuri. Nilichokataa uliposema tunaongoza. Hiyo 2020, 2021 ni sababu ya covid. Huo ukuajia wa 6% wala sio ajabu tulishakuwa nao miaka 8 nyuma
 
Mkuu kutofautiana kwenye jambo fulani hakutufanyi tuwe machawa; tunatype haraka lakini tukireference tunakubali na kusonga mbele; na haifanyi mjadala kuwa out of scope; mimi nilireference data zisizo sahihi lakini nimebadilisha...bado TZ ni steady sana na uchumi wake unaendelea kukua.. lakini kumbuka hata pre covid uchumi wetu haukuwahi kufika above 8% maana yake kafanya vizuri during recovery kuirudisha kwenye 6%...
Mkuu sijakueleza kwa bahati mbaya, vitu vingi unaongopa sio hapa tu hata kwenye threads zingine.
 
MAANDAMANAO YA 29OCT YATAFELI VIBAYA MAPEMA SANA KUTOKANA NA SABABU KUU ZIFUATAZO;

Anaandika, Robert Ng'apos Heriel
Mtibeli

1️⃣ Ukosefu wa Miundombinu ya Kiufanisi.

Maandamano makubwa yenye lengo la mabadiliko ya utawala yanahitaji:

a) Kamati za mipango (planning committees)
Hizi kamati naona hazipo. Ukimfuatilia Mange Kimambi na Maria Sarungi ambao ndio vinara wa maandamano haya unagundua hawana kamati zozote zaidi ya vikao vyote vinafanyika mitandaoni na inakuwa live.
Kamati ndio msingi mkuu wa goo organization na mobilization ya maandamano haya. Kama hazipo atafanikiwa vipi? Embu msaidieni Mtibeli aelewe.

b) Mfumo wa mawasiliano ulio salama,
Udukuzi, kufuatiliwa kuliko kupitiliza, usaliti wa mawasiliano ndani ya wenye nia ya kuandamana. Hayo yote yatakwamisha maandamano.

c) Mpangilio wa uongozi wa ngazi mbalimbali (national → regional → district → ward).
Unaweza kujiuliza kama wewe ni muandamanaji. Kwenye kata au mtaa wako kuna mfumo wowote wa kuyaratibu ili yatokee. Au ndio upo pekeako kwenye actual ground lakini mtandaoni ndio upo na na wenzako?
Tumia hiyo kama scale yako.

Mazingira ya Tanzania ya sasa, upinzani au wanaharakati wengi hawana mtandao thabiti wa ndani (grassroot network).
Hii inamaanisha hawana uwezo wa kuunganisha watu hata Laki moja kwa wakati mmoja bila kutambulika mapema.
Serikali inamiliki taasisi zote za mawasiliano, usalama, na inafanya doria usiku na mchana katika mitandao ya kijamii, hivyo hufahamu mipango kabla haijatekelezwa.
Kwa mantiki ya kiintelijensia, maandamano hayo yatakufa kabla hayajaanza, kwa sababu mpangilio wake utavujishwa na kusambaratishwa mapema.

2️⃣ Ukosefu wa Uratibu wa Malengo.

Maandamano yenye mafanikio lazima yawe na lengo moja linaloeleweka na kukubalika kitaifa.
Lakini maandamano haya yana malengo zaidivya moja yanayokinzana, mfano;

a). Kupinga uchaguzi,
b). Kuiondoa serikali iliyoko madarakani kumaanisha kuindoa CCM
c) Kupinga utekaji na mauaji. Wasiojulikana. Na sababu zingine.

Lengo la kwanza ni la kisiasa (kupinga uchaguzi)
lakini la pili ni la mapinduzi (kuiondoa serikali ya Samia madarakani) ambalo kisheria na kiusalama linachukuliwa kama uhaini au uasi.
Lengo la tatu ni la kijamii na haki za binadamu za msingi yaani haki ya kuishi. (Hili lingeunganisha watu wengi zaidi).

Hivyo, wapo wanaoamini wanapigania haki za uchaguzi, na wapo wanaoamini ni vita dhidi ya serikali. Na wapo wanaoamini wanatetea haki za binadamu za kuishi kwa waliotekwa na kuuawa na kutojulikana walipo.
Kukosekana kwa umoja wa tafsiri ya malengo kunafanya maandamano hayo yasifanane kihoja, kimkakati, wala kiitikadi, hivyo yatakosa mwelekeo mapema.

3️⃣ Udhaifu wa Uongozi wa Harakati.

Harakati yoyote ya kisiasa inahitaji:

a) Kiongozi mwenye karisma,
Najaribu kuangalia nani ni kiongozi aliyenyuma ya haya maandamano mwenye ushawishi. Kama ni Tundu Lisu yupo zake gerezani anapambana na kesi yake ya mchongo.

b) Mtu anayeaminika na umma,
Mwenye uwezo wa kujenga hadithi ya matumaini, hadithi zenye kuchochea chuki ya wananchi kwa serikali. Humphrey Polepole naye alitoa matumaini lakini amekamatwa dakika ya sabini ya mchezo kipindi cha pili.

Tanzania kwa sasa, licha ya kuwa na wanasiasa wa upinzani, hakuna kiongozi mmoja anayekubalika kitaifa kama sauti ya mabadiliko ya kweli.
Wengi wamechoka, wamegawanyika au wamo katika mikakati ya kisiasa ya muda mfupi. Na serikali inajaribu kila njia kuwavunja vunja na kuwagawanya kadiri inavyowezekana. Jana mumemwona Ezekiel Wenje. Ni kwamba wanawakatisha tamaa na kuwavunja moyo watanzania.

Bila kiongozi thabiti mwenye command structure, watu wanakuwa kama kundi lisilo na kichwa. Yaani kundi linajiendea endea bila mwelekeo. Hayatakuwa na tofauti na vuguvugu la Luddism kwa wale mliosoma Advance History 2.
Ndiyo maana kwa kitaalamu, maandamano kama haya huanza kwa makelele mitandaoni na kufa siku ya tukio. Haitakuwa mara ya kwanza.

4️⃣ Udhibiti Mkali wa Vyombo vya Usalama.

Kitaalamu, Tanzania ni nchi yenye mfumo wa ulinzi na usalama ulio wa kiintelijensia zaidi kuliko wa nguvu.
Taasisi kama:

I). TISS (Usalama wa Taifa),

ii) Jeshi la Polisi,

Iii) JWTZ (Jeshi la Wananchi)
Na vitengo vya cyber intelligence
vina uwezo mkubwa wa kutambua, kuvuruga, au kuzuia matukio kabla hayajafanyika.

Kwa mfano:

a) Mawasiliano ya Wapanga maandamano hufikiwa kupitia “surveillance”,

b) Viongozi wa maandamano hufuatiliwa kimyakimya,

c) Wengine huchukuliwa “preventive custody” kabla ya siku ya tukio.
Ndio hao unasikia kila siku wanakamatwa mara leo huyu kesho yule.
Wahamasisha maandamano mtandaoni au watu wenye mrengo huo nao huchukuliwa mapema kabisa kabla ya siku husika.
Mtu kama John Heche, John Mnyika, na wenzake hawawezi kuwa uraiani kufikia tarehe 29.

Watahifadhiwa kwa muda huku wakipewa usumbufu kidola mpaka upepo utakapotulia wataachiwa.

Hii inaondoa uwezekano wa maandamano kuanza kwa wingi au kwa ufanisi.
Kitaalamu, tunaita hii “preemptive disruption model” njia ambayo huzima uasi kabla haujaanza.

5️⃣ Hofu ya Kijamii.

Wengi wetu Watanzania ni watu wa amani tusiopenda vurugu, na tumelelewa kwenye misingi ya “amani ni bora kuliko vurugu, au funika kombe mwanaharamu. Apite".
Kisaikolojia, jamii imejengwa kuwa risk-averse (uepukaji wa hatari).
Hivyo, hata kama wanakubaliana kimoyomoyo na hoja za maandamano, wengi hawatashiriki hadharani.

a) Mfumo wa kiutamaduni, kiimani (dini), na kijamii unahimiza utii kwa mamlaka.
Wengi wataishia kusema “Mungu ataingilia” "Mungu atajibu", "tumuachie Mungu" au “Tusubiri uchaguzi mwingine”, hivyo kuua nguvu ya umoja wa kuandamana.

Kwa hivyo, uungwaji mkono utakuwa wa moyoni na mitandaoni lakini si wa miguu kwa mguu sako kwa bako. Watu wanakubaliana mtandaoni, lakini hawatokei barabarani.

6️⃣ Udhibiti wa Habari na Mitandao.

Serikali ina uwezo wa:

a) Kufunga mitandao ya kijamii.
Ikifunga mitandao wananchi wangapi wanauelewa wa kutumia VPN na mambo ya kidijitali. Wangapi?

b) Kudhibiti vyombo vya habari,
Media zote, redio zote, na wenye followers wengi watadhibitiwa iwe kinguvu au kwa kupewa pesa kuwatuliza
Si ndio yale mtaishia kumlaumu Millard Ayo wa watu. Atafanya nini?

c) Kuendesha kampeni za kupotosha

Vitengo vya propaganda kwa sasa vipo kazini: hakuna wakati vinatakiwa kufanya kazi kama wakati huu. Propaganda za kupotosha jamii mfano
“Maandamano yamehairishwa,”
“Viongozi wamekamatwa,”
“Maeneo fulani ni hatari.”
" Wanataka kuchafua nchi"
"Wanavuruga amani"
" Wanatumiwa na mabeberu"
" Watanzania ni waoga sana" hii pia ni. Propaganda iliyofanikiwa sana na ambayo kwa sasa watawala huipigia msumari ili iwe ni kama culture ya watanzania

Hii hufanya hata waliokuwa tayari kushiriki wakose maelekezo sahihi na motisha ya pamoja. Kwa mtazamo wa psychological operations (PSYOPS), hii ni silaha ya kisaikolojia inayotawanya umoja wa wanaharakati. Niliwaambia Saikolojia na soshiolojia ni msingi mkuu wa serikali kutawala watu.

Matokeo yake, maandamano hufa kabla ya saa sita mchana, na wale wachache waliotoka hukamatwa bila upinzani. Kisha baadaye watu huanza kulaumiana. Hoo hamjatoka. Nyie waoga n.k.

Kufikia hapa TaikonMaster sina la ziada. Nimejaribu kujadili. Kwa uhalisia na kwa kuzingatia siasa za nchi yetu, Saikolojia ambayo ninaifahamu kwa sehemu, intelijensia ambayo naifahamu kidunchu, na kwa kutumia falsafa (mantiki na hoja).
So kama utakuja kichwa kichwa na kutoa matusi yako sitaingilia uhuru wako na jinsi unavyoelewa mambo.

Nawatakia sikukuu njema ya Nyerere day.

Acha nipumzike sasa.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Watu wenye mawazo km yako nawaonea huruma
 
Kuhusu turnout kuwa ndogo hii ni hadithi tu; tuliona uchaguzi wa CCM wa ndani wa wabunge na madiwani namna ambavyo zaidi ya wajumbe wa mikitano mikuu kwenye ngazi mbalimbali zaidi ya Million tatu walivyojitokeza kupiga kura.. hawa kwa lugha nyingine ni viongozi tu.

Kama kila mjumbe akibeba familia yake tu yenye wanafamilia 4 wenye uwezo wa kupiga kura on average (Baba, Mama, watoto Wawili) zitakuwa kura karibu milioni 10 au zaidi.. bado wanaoitwa wnaachama wa CCM, bado mashabiki, nk nk.. subiri utaona dissapointmemt itakavyokiwa kubwa... watapost misururu kwa misururu ya wapiga kura ili 'kujustfy' na hata wakiongeza kura zaidi za maruhani mtu wala asilalamike...
Huu sio uhalisia
Just wait utaona km unachokusema kitatimia
 
Nachoshangaa kwann mnajipa tabu kuwaza ,kuandika ,kuongea?
Kwann msisubiri muone itakavyokua?
Maandishi mengiii ambayo hayana tija. Bira umgetoa ushauri na sio kukatisha tamaa..
We toa ushaur kifanyike hiki kile etc.
Muamko ni mkubwa mnoo
 
Siku watakayokuja-kugundua ya kwamba haya Wanayoyaita maandamano ni (toy/geresha!)... ni baina ya Taasisi kubwa.... dhidi ya serikali iliyoko madarakani...watakuwa wamechelewa sana!.... inatafutwa entry point tu!... hata wakijitokeza wananchi wawili tu!.... TAYARI NCHI INAKOMBOLEWA!

Mimi sio nabii...lakini ndivyo itakavyokuwa!... Kwa maana kila mwenye akili timamu ANAJUA TAIFA LIMEPORWA NA WAHUNI!
 
Back
Top Bottom