GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivyo vituo wanavyoviongelea vipo miaka mingi vingine huenda vinamzidi hata huyo Abduli umri na wenyewe wanajulikana sasa mtu yuko marekani anasema tuchome vituo vya watanzania wenzetu anafikiria nini?

Ndio yaleyale ya ludist
 
Hatuhitaji hayo yote .Kwenye kata yangu nitaamana pekee yangu sihitaji mtu wapili Wala watu.

1.Nitaamka saa sita usiku tarehe 28.10.2025
-Nitablock njia zote pekee yangu
-Nitachoma mairi na kupiga paruti pekee yangu
-Wasimamizi wa uchaguzi(Walimu) hakuna atakaye toka nyumbani kwake
-Vituo vya KUPIGA kura vinavyoweza kuchomwa moto ,nitafanya hivyo pekee yangu

,😂😂😂
Unafurahisha sana Mkuu
 
Huu utabiri ni wa kijinga kijinga. Ni sawa na mimi niandike kwa nini timu ya Namungo haiwezi kuwa bingwa wa ligi msimu huu
 
Maandamano halisi yanayotokana na vitendo vya muda mrefu vya kukoseshwa wa HAKI,kutendewa UONEVU na DHULUMA hayahitaji uwepo wa kamati ulizotaja ili ziratibu mipango physically on the ground ili kuwafanya watu washiriki maanadamano.
Kama kiwango cha uonevu na ukandamizwaji kimefikia kiwango cha kutovumilika kabisa...kiasi cha kufikia BOILING POINT mithili ya fukuto ya volcano iliyokaribia kulipuka,..kitendo cha kutaja siku na muda na mahali pa kukutania kwa ajili ya maandamano, bila kujali taarifa kuwafikia watu kwa njia ya electronic kama walivyofanya akina Mange Kimambi na Maria Sarungi, inatosha kulipua volcano ya hasira ya watu...na kushiriki maandamano; hakutakuwa na polisi wala jeshi la kuwazuia.

Kwa hiyo watu kushiriki au kutoshiriki maandamano yaliyotajwa tarehe 29,Oktoba hayatategemea uratibu wa kamati ili yafanyike,....yatategemea zaidi ukubwa wa mkandamizo wa hasira waliyonayo watu kutokana na hali wanayoipitia kuhusu yale uliyoyataja....yaani kuanzia ukiukwaji wa haki katika sheria za uchaguzi, ukosefu wa kiusalama kama ilivyo masuala ya utekwaji, ubadhirifu na rushwa serikalini na ukosefu wa ajira..n.k.

Kwa mfano, maandamano yote yaliyotokea nchi za Afrika kaskazini hayakuratibiwa kwa committees unazotaja.
Watu wa Tunisia walikuwa na fukuto la malalamiko mchanganyiko dhidi ya serikali ya Ben Ali..kuanzia ukosefu wa ajira, rushwa na upendeleo wa wazi kwa wanafamilia ya rais. Cheche iliyolipua maandamano ni muuza matunda mtaani aliyepigwa na kuporwa bidhaa zake na askari wa jiji..na kisha kisha kuamua kujichoma moto. Muda mchache baada ya hapo..baada ya video clip kusambaa watu wakawasiliana kupitia mitandao ya kijamii na kufanya maandamano.
Kule Misri, pamoja na kwamba chama cha Muslim Brotherhood kilikuwa kikiratibu maandamano mara kwa mara kupitia kamati zake,lakini walishindwa kuwaunganisha watu kushiriki maandamano.
Ilikuwa ni vijana,bila kamati...,waliopeana taarifa kupitia online media kama Twitter na FB waliofanya maandamano yaliyomng'oa Hosni Mubarak..kwa kitendo cha kutaja tu kwamba kesho yake wakutane Tahrir Square. Kwa vile kiwango cha fukuto la hasira dhidi ya serikali kilikuwa kikubwa,watu hawakujali uwingi wa polisi na jeshi uliozingira eneo la kukutana mapema kabla yao...lakini uwingi wa washiriki ukafanya askari wanywee.

Kwa Tanzania,kama fukuto la hasira ndani ya mioyo ya watu lingekuwa kubwa kiasi cha kutosha,..kitendo cha mzee Ali Kibao kuchomolewa ndani ya gari mchana kweupe, kisha kuuawa....kingetosha kuwa cheche kubwa ya kuanzisha maandamano ya nguvu kuiondoa ccm madarakani au kuilazimisha idikie mabadiliko yanayotakiwa na wananchi.

Hivi boiling point ingesubiri hiyo tarehe 29?
 
Hivi boiling point ingesubiri hiyo tarehe 29
Sawa mkuu, naona hatutaelewana kwenye issue ya namna jeshi linavyofanya kazi.

Ila ukitaka jaribu kufuatilia hata hapo Kenya tu. Jeshi lazima liwe na vyombo independent vya kulidhibiti.

Mkuu naona hunipati vizuri
Hilo jeshi haalitoki mbinguni ni ndugu zetu. Linatoka kwetu. Wewe mwenyewe unandugu kama sio polisi basi ni majeshi.

Jamii ndio inayoamua iongozweje.
Ndio maana hata iweje Mungu hawezi ingilia mambo ya wanadamu kwa sababu sisi wenyewe ndio tunaamua.
 
Maandamano kwa nchi yetu labda yawe ya kuipongeza serikali au yale ya May Mosi ila mengine mengine haya wataandamana vijana wa miaka ya 2000 kuja mbele.
Wataandamana pale ambapo watakuwa wameamua wenyewe kwa kukosa
Ajira
maisha mazuri
Mambo ya msingi

Maandamano ya watu wasiopenda ukweli na haki hayawezi kufanikiwa
 
Ngoja tuone mambo yatakavyokuwa, ila vyovyote vile Sa100 amejua watanganyika hawamtaki, inaweza isiwe 80% ila walau 50-60% hawapo sawa na uongozi wake.
Na hiyo ndio changamoto kubwa kwa wasiomtaka. Sio kwamba hawaitaki CCM - hawamtaki Samia. Na sababu sio za uongozi wake, bali ni sababu nyinginezo ikiwemo yeye kuwa Mzanzibar tena mwanamke.

Niliwahi kusema, Mgombea Urais wa CCM akibadilika hata sasa akawa mwingine (Mwanaume, Mtanganyika), na pengine hata asiye na busara kama Bashite ataungwa mkono na anaweza kushinda kwa asilimia zaidi ya 90 kwenye uchaguzi ulio na TAL kama mgombea wa upinzani. Muweke Majaliwa, Nchimbi, Simbachawene, Bashiru na wengine wengi tu - huwezi kuona haya maruweruwe...

Na hapo ndio timu maandamano wanafeli - kudeal na mtu mmoja badala ya chama chote, inakuwa ni chuki tu dhidi ya mtu na ni ngumu sana kumshunda Samia. Unatakiwa kukishinda CCM ili umshinde Samia. Ukimshinda Samia pekeyake huwezi kuishinda CCM - unakuwa umefanya nini? Ndiyo maana maandamano yanakosa focus inayoeleweka.

Ukiuliza makosa ya Samia ni yapi ambayo huwa hayafanywi na CCM mtu hawezi kukuambia. Toka enzi za Nyerere CCM ni ileile na utaratibu wa kuongoza unafanana. Sasa Je, wananchi wako tayari kuongozwa na Chama kingine zaidi ya CCM? kwa kuzingatia oganaizesheni ya vyama vya upinzani hadi ngazi ya nyumba 10? Hilo ndio swali pekee upinzani wanatakiwa kilijibu. Haya maandamano kama yakifanyika hata kidogo tu - na kwa kuwa yakitoke, yatafanyika kidogo sana kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Mbeya ( DSM sidhani sana) implication yake inaweza kuua kabisa upinzani hata ule mdogo uliopo kwa miaka mingi ijayo..

Huu ni mtego mkubwa sana kwa CDM ambacho ndio chama kikuu cha upinzani. Propaganda zitakazoibuka hawataweza kuzihsndle. Kumbuka zile rapsha za CUF ya ngunguli iliogopesha baadhi ya watu kujiunga na CUF bara. Sijui wataukwepa vipi, ila kwa sayansi ya siasa huu ni mtego.
 
Hizi zako ni hadithi tu, hoja za.kutomtaka sa100 ni valid sana tu;
1. Hana uwezo wa kuongoza, ana uelewa mdogo wa mambo mengi. Amekuwa kwenye mifumo ya serikali kwa miaka mingi ila ni kama anajifunza, hajui na hawezi.
2. Ameshindwa kulinda raia wake, mauaji, kutekwa kwa watanzania wenzake na hasa watanganyika ni doa kubwa kwa utawala wake, she's inept wala hakuna mjadala.
3. Rushwa, ufisadi, wizi, uzembe makazini. Unataka tuseme huyu maza ameweza kumaliza haya matatizo makubwa, basi utakuwa hamnazo kichwani
4. CCM imechokwa inside out, usione watu kujazana kwenye kampeni za ccm ukadhanj wanakubalika, ni umasikini wetu ndio unasababisha tukubali dhihaka ya t-shirt, kofia, fulana, vitenge na rushwa za 10k-100k. CCM imechoka.
5. Elimu duni ya mtanzania, kujua kusoma na kuandika tu sio suluhu ya kututoa hapa tulipo, maadui wameongezeka sana na bahati mbaya mtanzania yeye ili mradi anakula basi hana shida.
 
Kazi ipo kwakweli kwa sasa kinachozungumzwa ni maandamano kuliko uchaguzi wenyewe
 
Kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.
 
Hizi zako ni hadithi tu, hoja za.kutomtaka sa100 ni valid sana tu;
1. Hana uwezo wa kuongoza, ana uelewa mdogo wa mambo mengi. Amekuwa kwenye mifumo ya serikali kwa miaka mingi ila ni kama anajifunza, hajui na hawezi.
Uwezo umeupimaje?
1. So far Uchumi unakua kwa karibu 6% (moja ya ukuaji mkubwa na imara sana ndani ya EAC na SADC)
2. Miradi mikubwa - SGR,Busidi, JNHEP kamaliza, Ujenzi wa njia za mwendokasi DSM unaendelea, na mengine mengi?
3. Difference kati ya Export na Import ndio kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu kuna negative ndogo zaidi...
Hicho asichoweza ni kipi (tukiweka facts unagundua hii sio hoja)
2. Ameshindwa kulinda raia wake, mauaji, kutekwa kwa watanzania wenzake na hasa watanganyika ni doa kubwa kwa utawala wake, she's inept wala hakuna mjadala
Hii ni hoja ya jumla ya Serikali karibu za awamu zote. Sio tatizo la Samia pekee. Maana yake tutarajie hata akija kiongozi mwingine haya utayaona. Waulize wazanzibar kipindi cha Mkapa watakuambia.
.
3. Rushwa, ufisadi, wizi, uzembe makazini. Unataka tuseme huyu maza ameweza kumaliza haya matatizo makubwa, basi utakuwa hamnazo kichwani
Rushwa, ufisadi na wizi ulikoma lini? JPM aliwahi kufukuza CAG kisa kasema kuna wizi wa TZS 1.5 T. Kimsingi sifa za serikali ni urasimu. Urasimu huchochea mlolongo mrefu wa manunuzi uliojaa 10% hasa kwenye miradi. Hili ni tatizo la Serikali karibu zote za Africa. Ndiyo maana mara nyingi Serikali zinalaumiwa na ufisadi. Kwenye uzembe nakubali -(labda kwa sababu ya hulka yake ya uzanzibar)
4. CCM imechokwa inside out, usione watu kujazana kwenye kampeni za ccm ukadhanj wanakubalika, ni umasikini wetu ndio unasababisha tukubali dhihaka ya t-shirt, kofia, fulana, vitenge na rushwa za 10k-100k. CCM imechoka.
CCM inashida kidogo mjini sio kijijini mkuu. Na vijiji ndio vingi. Upinzani kioganaizesheni umeshindwa kupenya hadi ndani..mfano Simiyu, Shinyanga, Dodoma, tabora, tanga, Singida nk karibu kila mtu ni CCM. Hata mijini majimbo kama kigamboni, kinondoni bado CCM itakuwa inashinda tu.
5. Elimu duni ya mtanzania, kujua kusoma na kuandika tu sio suluhu ya kututoa hapa tulipo, maadui wameongezeka sana na bahati mbaya mtanzania yeye ili mradi anakula basi hana shida.
Hii inaweza kuwa hoja, niliuliza - Je waTZ wako tayari kwa hiki timu maandamano wanachikitaka????
 
1. So far Uchumi unakua kwa karibu 6% (ukuaji mkubwa kuliko EAC Yote nadhani na SADC)
Tatizo lenu kubwa ni uongo. Tanzania haiongozi kwa ukuaji uchumi EAC
Uganda na Rwanda wametupita. Uganda Ni zaidi ya 6% na Uganda ni zaidi ya 7%
 
Back
Top Bottom