Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Sa na nyie akili ndogo kweli sa anawezaje kupiga vita rushwa wakati it is inside him..rushwa in his veins yani mwizi ajikamate au?
Kweli kabisa Mkuu. Rushwa na ufisadi kwa Lowasa ni kama mishipa ya damu ndani ya mwili wa binadamu. Bila mishipa ya damu hakuna uhai. Vivyo hivyo bila ya rushwa Lowasa hawezi kusurvive
 
Samahani ningetamani ni kuulize kiwango cha elimu yako ila inawezekana ukanielewa vibaya

naamini vijana wengi au kiasi kikubwa cha wananchama wa ccm wamekumbwa na ugonjwa unaoitwa

imagination belief kuamini hisia.zaidi ya nusu ya wana ccm huamini sana propaganda na uongo

they don't have ability to search the truth.biblia inasema mtaifahamu kweli nayo kweli itakuweka huru

inawezekanaje ccm ndio yenye serikali inayotawala nchi.vyombo vyote vya dola wanavyo na taasisi

zote zenye mamlaka ya kisheria na kikanuni kuweza kumchukulia hatua mtu yeyote alivunja sheria

na kwenda kinyume cha matakwa ya katiba ya nchi.

Tangia 2007 lowassa amejiuzuru uwaziri mkuu haikuchukuliwa hatua yoyote ya kumfikisha mahakamani

badala yake 2010 katika uchaguzi mkuu rais kikwete alimnadi pale monduli kuwa si fisadi ila ilikuwa

ajali za kisiasa akasema lowassa ni mchapa kazi na mpenda maendeleo.

Wakati lowassa anajiunga na ukawa aliulizwa kuhusu richmond alijibu kuwa muhusika wa richmond

ni kikwete na kama mnasema yeye ndiye muhusika pelekeni kesi mahakamani mbona kikwete hajawahi

kukataa na wala hamjampeleka mahakamani? Sasa mnataka lowassa aomgee nini? Sayansi ya siasa

inasema bora kunyamaza unapotuhumiwa kwa tuhuma za uongo zenye lengo la kukutoa kwenye lengo
 
Nyie mnaozungumzia ufisadi kukomesha au kuuendeleza? Maana tangu Lowasa ametoka uwaziri mkuu ufisadi ndio umepamba Moto..

#mabadiliko2015
 
Ni swali ambalo huwa linanitatiza sana, labda wadau mnaweza kunikumbusha ni lini, tuseme tangu baada ya uchaguzi mkuu uliopita au hata kabla huyu mjamaa ambaye inadaiwa anautaka urais kwa udi na uvumba, amezungumzia ufisadi.

Ni katika kikao, mkutano au hafla gani amewahi kulizungumzia suala hilo ambalo majority ya Watz linawakera na linaashiria kutuletea machafuko huko tuendako.

Jibu la mara moja linaloonekana ambalo ni plausible ni kwamba mtu huyu binafsi kaguswa na ufisadi, ni mtuhumiwa wa kansa hiyo, hivyo hawezi kulizungumzia kwa kulikemea kwa nguvu zote, labda wakati anafanya hivyo, macho yake ayaelekeze chini.

Wasiwasi wangu ni kwamba akitiunga Ikulu, hawezi kulishughulikia suala hilo, atakuwa kama huyo mwenzake aliyepo sasa hivi. Ni nadra sana JK kuzungumzia ufisadi katika hafla za hadhara, hata katika kampeni zake za 2010, mada hii alikuwa anaikwepa sana. Tusisahau alikwepa midahalo na akina Slaa na Lipumba bila shaka kukwepa suala la ufisadi ambalo lazima lingeibuliwa.

Hivyo EL akitinga Ikulu, ina maana kwamba kwa miaka 20 suala la ufisadi hapa nchini halitakuwa linapiganwa kwa dhati.

What a waste of time. Watz tuamke, tusidanganyike hapa.

Pole sana Zak Malang, kumbe wewe bado umelala, wenzio tulishaamka zamani; Tunamchagua LOWASSA... Hatudanganyiki!
 
Hiyo AkA nimeikubali
INAONESHA KATIBA YA WARYOBA MLIIKATAAA KUENDEKEZA MAFISAD MAANA SERA YA UKAWQ NI KATIBA MPYA AMBAYO HATA RAIS ANARUHUSIWA KUSHTAKIWA THATS Y CCM WALIIKATAAA NA HIYO NIKIBOKO YA UFISADI tumia akili
 
Huyu mgombea sijawahi kumsikia akikemea rushwa na ufisadi na huku akituahidi maendeleo na mabadiliko kwa kuboresha hali zetu kimaisha lakini rushwa na ufisadi ni tatizo kubwa na ndio vilivyotufikisha hapa,sasa namuomba azungemzie hayo mambo hata kiuongo tu ili tumsikie

Huo ndio unafiki wa ccm tucoupenda. wangapi wamesema hatuoni walichofanya zaidi ya kuishia kuunda tume zisizo na majibu na bado ktk utawala wao imezd kushamr
 
Huyu mgombea sijawahi kumsikia akikemea rushwa na ufisadi na huku akituahidi maendeleo na mabadiliko kwa kuboresha hali zetu kimaisha lakini rushwa na ufisadi ni tatizo kubwa na ndio vilivyotufikisha hapa,sasa namuomba azungemzie hayo mambo hata kiuongo tu ili tumsikie

Watu tumetoka kuhakikisha majina yetu vituoni na vichinjio kuwekwa sawa, wewe endelea kuimba ngonjera humu ila jitahidi hii ndio wiki ya mwisho.
VIVA UKAWA!!!!
 
Hana majibu yenye tija dhidi ya suala hili na ndio maana hawezi katu kuongelea mambo hayo
 
Binafsi, angalau ningempa uzito kama angeweka ahadi namba 1/2/3 yake ni kupambana na ufisadi!
lakini ukimya wake ndo unanifanye nimpinge kwa nguvu zoote
 
Ni kweli kabisa Kwa lowassa hatoweza kusema hayo hata siku moja,anajua hatoweza kujidhalilisha mwenyewe,hakuna mkosaji akaweka makosa yake hadharani,na Kama serikali haiweki wazi suala la rushwa na ufisadi ujue hiyo serikali itakuwa mbaya na mbovu sana.
 
Siasa hizi zitapita na kuyeyuka, we subir tu, EL anatuhumiwa, kujiteteaa kwake ni mahakamani sasa ajitetee kwenye vyombo vya habari ili kuwe na taarabu ee, ndio unavyotaka?, kama mwizi apelekwe kwa pilato na sheria ichukue mkondo wake huko ndio atajitetea kwa kumaanisha na sio kwa joke, bravo EL.
 
Lowasa siyo mzungumzaji koz mambo mengi tu katukanwa sana na kudharirishwa sana hajawai lizungumzia hilo je atazungumzia ufisadi?
 
Hatutaki viongozi wanaozungumzia ufisadi, tunataka viongozi watakaopambana na ufisadi.
 
Richmond Kahamia Ukawa Tutambana Hataiba Tena Ila Je Una Majibu Ya Epa Escrow Meremeta Mikataba Feki Ya Madini Yetu Ndege Ya Rais Mabehewa Feki Nyumba Za Serikali Kuuzwa Na Watumishi Wa Umma Kupanga Mtaani Vivuko Feki,usijione Tz Unaijua Ww Tu Utaumbuka.
 
Back
Top Bottom