Katika harakati za lowasa kutafuta wadhamini amekuwa akianda watu wengi wa kumsikiliza na kumdhamini,lkn yamekuwepo maneno ya chinichini kwa wanaojitokeza kuwa hana la maana analoliongea na wanasema kwa nini anakusanya watu, na kumuona kama hawezi kukizi haja ya siasa za sasa ambazo wanazipenda vijana kujenga hoja za maana kuepukana na kuzomewa pale watakapo kosa wanachoiitaji,wengine wanasema lowasa amekuwa anarudiarudia maneno tu mfano Haya ni
1,mafuliko,
2,sijawai hona mafuliko kama haya,
3,nitakuwa rais hata nje ya ccm,
4,kataa umasikini kwa kumkata shetani,
5,ikulu Siendi kungaa macho,
6,sipendi umasikini
7,hana hoja za maana
Kutokana na Haya machache na yapo mengi baadhi ya watu wanamuona kama hana jipya wala hats siasa za sasa za kuimili mikimiki ya jukwaa la siasa hawezi,na wengine wanasema kama ccm itampitisha na kukawepo mdahalo,je anaweza kupambana na,SLAA?
Je ni kweli lowasa ni zaifu kiasi hicho?