Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

EL anahangaika bure uraisi ataishia kuusikiliza kwenye radio.
VOTE FOR UKAWA
 
Mkuu ni hatari sana. ... tukiingia mkenge na kumchagua t usije kulalamika.
 
maneno tu hayo hatutak rais anayekuja kutafuta utajir tunataka rais mchapa kazi kama lowasa
 
Sijaona sera yoyote ya Lowassa zaidi ya kuonesha nia ya kutaka kujiongezea utajiri.
 
slaa akiwa rais hadi akatajirike,na wapambe kima yerico wakaotesha vitambi ndo aanze kuleta maendeleo saa ngapi?.
 
Lowassa hafai. CCM haifai pia! Tunataka mabadiliko ya uongozi na mfumo ili nchi isonge mbele
 
Elungata Hayo nimawazo finyu. Slaa siyo maskini wala si tajiri nimtu wakawaida mwenye kipato kisicho kuwa na mawaa.

Dr.Slaa the only one in Tanzania to be a President. Mtu mwenye maono. Subiri wakati utakwambia
 
hivi kumbe ufisadi​ ni dini?

Ni dini ya kiibilisi mkuu ndiyo maana kuna watu wanaamini na wanaishi kwa ufisadi na wanawafuasi kibao wanaofurahia matunda ya hii dini na nguzo mojawapo nikutowajibishana na kuukana ukweli wowote watuhuma
 
na tulivyo wajinga tutamchagua na kuja kulalamika.
May God forbid! Jamani miaka kumi ni mingi sana ... tusifanye makosa ... kila ntu na ntu ... jitahidi kumuonya jirani yako kwamba huyu ntu ni hatari
 
May God forbid! Jamani miaka kumi ni mingi sana ... tusifanye makosa ... kila ntu na ntu ... jitahidi kumuonya jirani yako kwamba huyu ntu ni hatari
Hahahaah......ni kutoa elimu kwa kila tunayekutana naye.
 
'Ukimuona mtu anakimbilia ikulu muogope kama ukoma'- Nyerere.
"Ikulu hakuna biashara yoyote pale, sasa ukimuona mtu ananunua watu jiulize atarudishaje fedha hizo akishaingia Ikulu-Nyerere.
 
Back
Top Bottom