....ni kama kutafuta kitimoto msikitini
Natafuta speach ya Lowassa akikemea ufisadi, na matumizi mabaya ya mali ya umma.
Natanguliza shukrani zangu za dhati. Bujibuji
kwa mfano...Lowasa anapinga ufisadi kwa vitendo sio maneno matupu kama Chadomo
....ni kama kutafuta kitimoto msikitini
Lowasa ni rais anaesubiri kuapishwa october
Natafuta speach ya Lowassa akikemea ufisadi, na matumizi mabaya ya mali ya umma.
Natanguliza shukrani zangu za dhati. Bujibuji
Natafuta speach ya Lowassa akikemea ufisadi, na matumizi mabaya ya mali ya umma.
Natanguliza shukrani zangu za dhati. Bujibuji
hawezi pata,labda tumpatie ya Nyerere akimkataa Lowasa kwa ufisadiHahahahahhah.... hilo balaa si kitoto!!!!
BACK TANGANYIKA
Kinachokufurahisha nini kama si ulimbukeni endapo si kaka, shemeji, mdogo , binamu, hawara, mke mdogo, wifi, bibi, baba, wa huyo unayemfurahia.Kila nikiamka asubuhi naskia lowassa,nikienda Lala lowassa,duhh naiyona njia nyeupe kwa lowassa kuingia ikulu,na nilishasema kadri mnavyomtaja lowassa kwa ubaya au uzuri ndio mnazidi kumpaisha
Rafiki yangu sikujui unatetea nini na unapinga nini? Nadhani hujui Lowassa ni nani katika siasa za Kibongo, nikuulize ile kampuni gani inatengeneza kadi za simu za kampuni letu la mafisadi? Ukitaka kumaliza kazi si unakata kichwa? Lowassa = Ufisadi. Unachekesha tena kusema jamaa aliingia mweupe, kwa ni sasa mweusi? Hujui wanasiasa, jiulize kwa nini Zengwe la ESCROW linamshinda? Na kama bunge, unajua kiingereza ni Parliament na kundi la bundi linaitwa parliament kwa hiyo hilo la kwenu limejaa bundi wengi kazi yao kulia na kushangilia.Kwa akili yako wewe unaona kupambana na ufisadi ni kuongea sio. Kweli wewe mbulula. Nenda Rwanda ufikiri utasikia hayo mambo bungen. Vita ya rushwa nivitendo zaid sio maneno kisha kimya inatusaidia nini sasa. Wewe ungekuwa muungwana ungesema cjawahi kuisikia CCM ikijal maslahi ya wananchi wa nchi hii ungeeleweka. Hv unafikir kuna ufisadi wa kutisha unaoweza kuuzungumzia ndan ya nchi hii kama hiki kitendo cha CCM kuchakachua rasimu ya Warioba kweli. Naona kila anaekuja hapa oo lowassa cjui Lowassa hv kwa akili yako maisha yote ya nchi hii ni magum coz ya Lowassa? Achen ungese bana kwenye mambo ya msingi usilete ushabiki. mimi ndan ya CCM namkubali zaidi Magufuli anafuatiwa na Lowassa halafu Mwakyembe japo kwa kiasi kikubwa nimeumizwa na kukaa kwao kimya pale Sitta na Chenge walivyoamua kuiuza nchi. tubadilike jaman nch ndio inaangamia usidanganyike na watu wanakwambia eti mimi sio fisadi. Nani alikuwa hamjui Kikwete. Kaingia ikulu mweupe yeye na familia yake sasa hiv ni bilionea na mwanae ndio usiseme.