Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,355
- 13,146
Yup...nakumbuka sana.
Puza nae aliishia kujiua yeye mwenyewe na aliandaa eneo la kwao kwa kulisafisha vizuri watu walishangazwa na wakamuuliza kulikoni leo unafanya usafi akasema watakuja watu wengi sana... the akajiua na msiba wake... ila nahisi kuna kitu alikifanya hivyo nafsi ilikuwa inamsuta sana.... manake aliiba alifundisha watu kuiba uvutaji maovu mengi n.k