Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

Enzi hizo FOE mwaka wa pili na wanafanya mashambulizi kwa Ngwini..hasa wala wa ME baada ya kupewa michoro migumu ya ME 202..
 
Exactly mkuu ila nadhani Oldonyo ilikithiri zaidi, kuna wakati zile cubics za mwishoni kabisa (kama unakumbuka Oldonyo haina partitions kama Meru, Mawenzi, Kibo au Hanang) watemi walizigeuza zikawa kama gym vile.

Huko ni mwendo wa kuwasha bangi na kupiga chuma (makopo ya zege).


ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!! pipo zilikuwa zimewiva acha kabisa ,,,,,, kulikuwa kuna kina naibu , kina munanka n.k
 
Yaah! Nilishi Oldonyo O-level. Ilikuwa inaitwa wodi kwa sababu hakukuwa na partion. Cubics zilikuwa ni store za bangi na hakuna alikuwa anasuruhusiwa kuingia mle except wavutaji tu. Form one unaweza kuingia mle kama walikutuma kuwachukulia maji ya moto kwa mzee Alfayo (jikoni) short of that utaumia. Anyway, maisha ni magumu katikal evel ya ordinary. Too much bulling. Yale mavuta bangi mengi yanafeligi mitahani ya mwisho, sijui yanaendaga wapi baada ya hapo na bangi zao.

pole sana mkuu , ndiyo maisha hayo ya enzi hizo.........
 
naona tumetoka kuongelea like sahv tunakuja kuongelea manyanyaso, usinitoe nje ya mada. kwa heshima ya EMT, thread iheshimiwe isichakachuliwe. kwaheri.

bestiii Husninyo , mwambie kujua historia ni nguvu na ina faida sana , ndiyo maana umelike
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuonana na Mwandishi wa Makala hii imenigusa sana nataka kufanya kitu Fulani kwa Levina na mama Zangu wote tuwasiliane +255717963033
 
Inasikitisha sana, naamini waliosababisha hilo inawahaunt na they will take this kaburini.

Maskini Levina, l hope Mungu kamsamehe makosa yake na amepumzika kwa amani.
 
Inasikitisha sana, naamini waliosababisha hilo inawahaunt na they will take this kaburini.

Maskini Levina, l hope Mungu kamsamehe makosa yake na amepumzika kwa amani.
Nakubaliana na wewe. Damu ya mwanadamu haipotei bure. Ndio maana nimeomba wanaomjua huyo Sarota waweke picha yake hapa jamvini
 
nilikuwa primary school enzi hizo....., duuu kweli puch ilikuwa inatisha,
Levina asingejiua, au alikosa company ya kumshauri hasa kisaikolojia,
Lkn kama kweli ulikataa manyanyaso hongera sana kwani ulikufa kishujaa
ukithamini utu wako, REST IN PEACE LEVINA
 
EMT nini kime ku prompt kuileta hii story?
 
Mwenye picha ya huyu Sarota aianike hapa.

Picha ya Omary Sarota kwa sasa kuipata ni shida...alikua bonge la braza man kipindi hicho,nafikiri sasa hivi atakua mtu mzima sana maana mimi nilisoma na mdogo wake shule moja pale musoma mjini ambae pia kwangu ni mkubwa ..sarota kwa sasa atakua kwenye late fifties au early sixties siko sure sana na hilo ila nina uhakika atakua yuko huko kwao kamunyonge, musoma mjini.
 

Picha ya Omary Sarota kwa sasa kuipata ni shida...alikua bonge la braza man kipindi hicho,nafikiri sasa hivi atakua mtu mzima sana maana mimi nilisoma na mdogo wake shule moja pale musoma mjini ambae pia kwangu ni mkubwa ..sarota kwa sasa atakua kwenye late fifties au early sixties siko sure sana na hilo ila nina uhakika atakua yuko huko kwao kamunyonge, musoma mjini.
Nataka kuweka bounty on his head................
 
Inasikitisha sana, hao punch nadhani nafsi inawasuta sasa

Rest in peace levina
Mkuu EMT nashukuru kuni copy memo yako juu ya kifo cha huyu dada Lavina Mukasa.
Kweli PUNCH sasa ilikuwa inatumika visivyo, na kwa madumuni yasiyo endelevu.

Mimi nikiwa hapo chuoni, tena nikitokea Kitivo Cha Uhandisi, PUNCH iliheshimiwa kwa uadilifu wa ku punch only negative occurrences at the Hill.
Na PUNCH haikuwa ya kuopolea mabibi, freshers.

Mikasa ya kuonea mtu hayakuwepo ila wale waliofanya vituko.
Kitu ambacho wanafunzi wengi walikuwa hawaelewi ni kwamba hata mtu mmoja , au wawili au watatu hadi wanne wangewwza kujiita PUNCH, mradi wanafuata misingi ya kutojionyesha wala kuitumia PUNCH kama leverage tool.

Mimi nilikuwa hapo miaka ya mwanzoni mwa 80's na nakumbuka mwaka '78 vita ya Uganda tuliijua kupitia PUNCH.
Na miaka hiyo alipanchiwa kuanzia Rais,Vice Chancellor hata Deans wakware, na wanafunzi wakware.
Na PUNCH ilianza kuwa a strong illegal politicsl mouth piece, hasa baada ya chama cha wanafunzi , DUSO, kupigwa marufuku na Serikali.

Na hapo ni baada ya kuandamana kuipinga serikali, wabunge walipojiongezea marupurupu.

Inasikitisha kuwa malengo ya PUNCH yalibadilishwa, sasa kikawa chombo cha kuopolea mabibi, hasa freshers.

Pole zangu kwa Familia ya Levina, na hao waliosababidha mauti yake , lawama ziwe juu yao milele.
 
Last edited by a moderator:
Halafu tunashangaa. kwanini Tanzania iko nyuma katika kila Nyanja ya maendeleo ya kuishi kama binadamu aliyetukuka wakati asilimia kubwa ya watawala wetu wote wamepitia hapo udsm.Watu wenye mentality hizo hubakia kuwa wabinafsi,wasio na utu,wachoyo na wenye kukosa huruma milele.
 
Walaaniwe maisha,R.I.P dada Levina hii thread imenisikitisha na kunisononesha sana,wahusika wa PUNCH bado wako hai kweli?

Wahusika wa Punch wengi wao walikuwa ni wanafunzi...wale wa mwisho mwisho walimaliza miaka hiyo ya kati ya tisini...Punch ilikuwa inarithisha members wake. By the way kwa wakati ule ilikuwa unaweza kuhisi tu kuwa
fulani yuko Punch, lakini hakukuwa na jinsi ya kuweza kuwashika ama kuhakikisha. MZEE and his people were simply INCOGNITO!!
 
Mbona mimi nakumbuka kama huyu alijirusha ghorofani? Ilitangazwa kwenye vyombo vya habari enzi zile ni radio tanzania.

Vile vile ilikuwa ni hot issue na kulikuwa na discussion kwenye magazeti (sina uhakika kama ni lile la mfanyakazi) kuhusu role ya punch pale chuo kikuu.

Kwa kweli hili tukio lilishtua watu wengi miaka ile na ilionyesha jinsi gani wanawake walikuwa wanadhalilishwa pale chuoni.

Wale vijana waliosababisha hiyo walifanywa nini, au waliachiwa kuendelea na degree zao bila zahama?

I was too young kwa wakati huo, hii habari nimeisoma hapa, imenigusa na ndo maana nikashauri iwekwe maktaba na hata ikiwezekana wenye taarifa kama hizi za matukio mengine tuwe na forum ya historia/kumbukumbu itusaidie sisi wachanga/au watoto wetu. Kuhusu wahusika wa punch kuchukuliwa hatua nalo ni muhimu kujua, wametajwa kwa majina naomba mwenye taarifa zao abandike hapa. Pia nilishauri/kupendekeza kuwepo na maridhiano na utangamano iwapo mtu yeyote atajitokeza na ku confess juu ya uhusika wake na punch. Tena itapendeza iwapo atatupa chimbuko, madhumuni na hata ufadhili nyuma ya punch.
 
Tena enzi hizo nauli ya daladala kwa mwanafunzi ilikua shilingi moja basi makonda walitunyanyasaje wanafunzi, lkn wanafunzi wa tambaza walikua wanawapa kichapo makonda acha tu. kuna jina lilikua linavuma kama nakumbuka ni PUZA or something like that huyo alikua tishio.

haaa ha nauli sh. moja!!!!!! Ablessed.....shkamoo dada
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom